israel

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nchi za Kiarabu zakiri kuisaidia Israel dhidi ya shambulizi la Iran

    Tulishasema mara nyingi humu. Watawala wa nchi za Kiarabu na Israel damudamu Juzi wakati Iran ikiwapelekea fire wazayuni, Jordan ilishirikiana bega kwa bega na uingereza na Marekani kutungua mkombora ya Iran ili kuinusuru Israel. Leo Saudi Arabia nayo imekiri kushiriki nyuma ya pazia kuinusuru...
  2. JamiiForums Tanzania Israel yaendelea kutoa kipigo kwa HAMAS huku dunia ikiibembeleza isijibu Iran

    Napata wasiwasi kwanini dunia inatumia nguvu nyingi kuishawishi Israel isishambulie Iran, kipi wanachokijua tusichokua na habari nacho, maana kama tujuavyo Israel ni wazee wa mipango ya kimya kimya, hawapigi makelele kuhusu wanachotaka kukifanya, tunashtukia wamefanya. Kwa mfano kipigo...
  3. JamiiForums Tanzania Ikitokea Ukanda wa Middle East Waarabu wakaungana wakaipiga Israel na kuiangamiza. Je, asili ya Israel itabaki pale?

    Kwanza kabisa naomba nikosoe kitabu cha bibilia ambacho ndicho kinaipa mamlaka ISRAEL ya kuharibu amani ya Middle East na Inaonekana ni mkakati ambao umeandaliwa ili kuvuruga amani ya waarabu kwa kuwadhoofisha kwani ndiyo nchi pekee zinazomiliki nishati ya mafuta kwa wingi/utajiri hivyo...
  4. JamiiForums Tanzania Biden: Marekani haitashiriki katika Mgogoro kama Israel italipiza kisasi kwa Iran

    Rais Joe Biden amemwambia Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kwamba Marekani haitashiriki katika hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran, ambayo ni chaguo la Baraza la vita la Israel baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani na makombora usiku wa Aprili 13, 2024 Tishio la vita vya wazi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Israel yalalamika kuwa shambulio la Iran limeigharimu mno Israel na kuitia hasara kubwa

    Afisa muandamizi wa jeshi la Israel Brigedia Generali Reem Aminoach amelalamika kuwa "Muajemi" kaiingiza Israel kwenye hasara kubwa mno kwa shambulio lake la jana usiku ambalo limeifanya Israel kutumia kati ya shekel bilioni 4 hadi 5 (zaidi ya USD bilioni 1) kwa usiku mmoja tu ktk kujilinda...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo tunasemaje, majemedari wa Iran wamelipiwa kisasi kwa Iran kumjeruhi binti wa Israel

    Wakali wa kubet/betting kwenye mechi kama hizi huwa mnasemaje, maana mpaka sasa siamini, nimeshangaa sana kwa Iran kusema ndio basi, hawashambulii tena........ Kwamba wale makamanda wao waliouawa baada ya ubalozi kuchakazwa na Israel, wamelipiwa kisasi kwa Iran kumjeruhi binti mmoja wa Israel...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Israel imepewa ilicho kitaka kutoka Tehran

    1. Hata watoto wadogo huujibu uchokozi wa makusudi. 2. Ali beep Israel ubalozini, sasa kapigiwa kutokea nyumbani; anao ubavu wa kumpigia Ayatollah nyumbani? 3. Ni kawaida ahadi kuwa nzito nzito tokea kwa kila mpigiwa simu. Kumbe hadi wapi? 4. Inafahamika taarifa za kijeshi hata huku makwetu...
  8. JamiiForums Tanzania Kilichofanywa na Iran ni trela tu, ila watazamaji (Israel) wakataka movie nzima wataletewa

    Niaje waungwana, Inashangaza mpaka leo Israel pamoja na misaada yote ya kijeshi, kiuchumi na kijamii inayopewa na wazungu lakini bado inashindwa kujisimamia yenyewe dhidi ya taifa lenye vikwazo vya silaha na uchumi ambavyo vimedumu kwa zaidi ya miaka 70. Inachokoza wenye nguvu alaf inakimbilia...
  9. JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Teknolojia sasa, Baada ya Miaka 100 Israel Imefanikiwa kuunda hii kitu.

    Kwa zaidi ya miongo miwili iliyopita wanasayansi na wahandisi wa Israeli walibuni na sasa mfumo huo wa mihale (wave) wa kukatiza makombora ya balistiki. Kwa mara ya kwanza katika historia ya Teknolojia ya vita, leo mfumo huo umefanikiwa kwa asilimia 100% kuyapereka makumi ya makombora ya...
  10. JamiiForums Tanzania Aibu nyingine kubwa kwa Israel

    Baada ya Israel kupata kipigo cha makombora na drone toka Iran sasa Sasa inafuata Jordan kwa kujifanya kiherehere ⚡️BREAKING Iran says it is watching Jordan and it can become a target if it helps Israel in its next move!
  11. JamiiForums Tanzania Iran kazabuliwa kofi la uso yeye karudisha kwa kumsukuma tu Israel

    Kinachoitwa shambulizi la Iran kwa Israel jana ni kelele kubwa tu za majidai na usumbufu ambazo hazikuleta chochote cha maana. Unashambulia nchi iliyo umbali wa KM 2300 kwa kutuma drones ambazo zinakatiza anga za nchi nyingine kadhaa kwa masaa na karibia zote kuishia kutunguliwa au kuanguka...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    #LIVE UPDATES: SHAMBULIZI LA IRAN DHIDI YA ISRAEL Jumanne April 16, 2024 Jeshi la anga la Israel linakamilisha maandalizi ya mwisho Ili kuivamia Iran Israel yaitaarifu Marekani kuwa italipiza kisasi dhidi ya Iran Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak kuzungumza na Waziri Mkuu Benjamin Netanyau...
  13. JamiiForums Tanzania Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

    Wanaukumbi. Mambo yanazidi kuwa mazito Israel walikuwa wanadhani Iran ni kama Gaza. Vyombo vya Habari vya Israeli: Kwa hatua hii, Wairani walituma ujumbe wazi kwa Amerika. Ukiingilia kati kwa niaba ya Israeli, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu...
  14. JamiiForums Tanzania Iran imeteka meli ya Israel ikiwa na shehena ya mizigo

    Meli ya mizigo ikiwa na shehena ya container imekamatawa nakuchukuliwa na Iran kama ile Tank ya US yenye mafuta wizi toka Mashariki ya kati Tehran, Iran – Iranian armed forces have seized a container ship near the Strait of Hormuz amid rising tensions across the region after a deadly Israeli...
  15. JamiiForums Tanzania Indonesia, nchi ya kiislamu yakubali kuwa na uhusiano na Israel

    Hawa wametia akili na kuacha muarabu abaki na bifu zake kwenye dini yake.... ==== OECD Secretary-General Mathias Cormann Indonesia, the largest Muslim country in the world, will normalize ties with Israel in exchange for Jerusalem’s approval of its request to join the Organization for...
  16. JamiiForums Tanzania Israel yaanza kushusha mvua ya mabomu Rafah

    Magaidi yote ya dini yaliyojificha pale lazima yaliwe.... The Israel Air Force struck various targets across the Rafah area in the Gaza Strip. https://twitter.com/Jerusalem_Post/status/1778155611923841222
  17. JamiiForums Tanzania Netanyahu na Waziri wake wa Ulinzi waliwambia Israel kuwa Hamna tena Hamas Gaza angalia Video Hamas wanachofanya

    Wanaukumbi. ⚡️Hamas wamebadili namna ya kupigana vita sasa hivi wanapigana vita vya kuvizia vimejipanga vyema kiasi kwamba walitega kamera kwenye maeneo ya kuua wanajeshi wa IDF na kujua ni wapi askari wanakwenda kutembea na mizinga itaingia wapi na ni jengo gani kwa askari watakimbilia...
  18. JamiiForums Tanzania Israel yatoa tahadhari kwamba Iran ikiishambulia, itakuwa mwanzo wa vita

    Kwamba Iran ikishambulia kutokea ndani mwake huko Iran, basi hapo itakua ndio vita kamili ya moja kwa moja ambayo itapelekea anguko la Ayatollah na maugaidi yao. Ifahamike kwamba Israel imekua ikiitamani sana Iran, au taifa lolote linatumia ugaidi wa kiislamu kusumbua dunia. Hawa HAMAS sio...
  19. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Israel akiri kushindwa na Hamas

    Allahu Akbar. Mkuu wa majeshi ya Israel kwa kauli yake mwenyewe, amekiri kushindwa vita na Hamas. Israel imethibitisha kuwa imeshindwa kufikia malengo yake ya vita katika Ukanda wa Gaza wakati waasi wa IDF wakijiondoa kutoka sehemu kubwa ya eneo la Palestina baada ya mapigano ya miezi kadhaa...
  20. JamiiForums Tanzania Siri yafichuka, Israel imepania kupiga vinu vya nyuklia iwapo Iran itafanya chochote

    Israel walipiga ubalozi wakijua Iran itaingia kwenye mtego wa kujaribu kulipa kisasi, ambapo hao Israel walitaka watumie fursa hiyo kutatua issue ya Iran kuendelea kuzalisha nyuklia, walipania kupiga vinu vyote hapo Iran. Iran washashtukia mchezo hivyo wameufyata maana hamna namna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…