israel

  1. JamiiForums Tanzania Hatuhitaji vita vya kikanda na Iran-Waziri Mkuu wa zamani wa Israel

    Waziri Mkuu wa zamani wa Israel Ehud Barak amesema Israel ilifanya makosa ya kimahesabu kwa adui zake ,hivyo haoni kuna haja ya kufanya vita na Iran, na anajua tayari kuna upinzani kutoka Hamas, Hezbolla,Houthis na sasa Iran na itachukua muda mrefu sana katika operesheni zake katika miji ya...
  2. JamiiForums Tanzania Israel imekubali 3% ya makombora ya Iran yalipiga kambi mbili za jeshi. Yaliyodunguliwa sasa ni 97% tu

    Kilichoipata Israel kutokana na kipigo cha Iran ni siri kubwa japo kidogo kidogo ukweli unaanza kujitokeza. Marekani imesema makombora 9 ya ballistic hayakushikika na yalitua kwenye kambi mbili nyeti za jeshi la Isreael. Kati ya hayo makombora matano yalipiga kambi ya Nevatim kwenye jangwa la...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

    1. Hajatokea Natanyahu kutia neno hadharani tokea kipigo cha jumapili. 2. Inafahamika amekuwa na vikao vya baraza la vita kila siku tokea siku hiyo. 3. Ziarani Israel David Cameron kaliweka wazi: 4. Kwamba kama alivyofanya Iran, mwendo ni calibration ya mapigo kutoleta madhara sana: 5...
  4. JamiiForums Tanzania Mamia ya raia wa Israel waikimbia nchi yao ,hofu ya vita na Iran

    Kutokana na mgogoro mkubwa ulioibuka kati ya Iran na Israel pia uvamizi wa makombora na drones za Iran ndani ya ardhi ya israel kumekua na hofu kwa raia wa Israel hivyo kuikimbia nchi yao
  5. JamiiForums Tanzania Israel imeshambuliwa kwa aibu na uzito wa kujibu ndio huu hapa

    Kutokana na taarifa za ukubwa wa jeshi la Israel na umiliki wa silaha za kisasa,haikutarajiwa kwamba kungetokea nchi yoyote ile ikajiamini kuirushia makombora kulenga maeneo yake muhimu hasa ikizingatiwa kuwa iliwahi kuyashinda mataifa kadhaa ya kiarabu mwaka 1967 katika vita maarufu vya siku 7...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kama Israel imeweza kushawishi mataifa makubwa Duniani kuwa upande wao naona wana akili kubwa sana

    Wakuu naona watu wengi wanalalamika Israel kusaidiwa na mataifa makubwa hivyo kwa upande wangu naona tofauti Kwanza ndege wanaofana wanaruka pamoja Kama tunavyoona nchi zenye race Fulani zinaweza kusaidiana Au nchi zenye mrengo wa dini Fulani zikisaidiana Pia matajiri kwa matajiri husaidiana...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyotekeleza shambulio lake dhidi ya Israel

    Iran attacked Israel with seven "Fatah" hypersonic missiles - the Iron Dome did not shoot down a single one THOSE MISSILE ARE 15 TIMES FASTER THAN SOUND AND HAVE A RANGE OF 1400 KILOMETERS Moscow military expert Vladislav SHURIGIN: The Iranians carried out their night attack in waves. Since...
  8. JamiiForums Tanzania Makombola yanatumia saa manane angani halafu unategemea kumlipua Muisrael

    Kwa technologia yasasa huwezi kufanikiwa na vikombola alivyotumia Iran dhidi ya israel'. Iran hawakuwa serious. Hivi kweli wanatudanganya na vikombola vyao uchwala kwamba wanalipiza kisasi Vikombola na vidrone vinamwendo wa km 40 kwa saa alafu eti unamtishia Israel. Tuzungumze ukweli, Iran...
  9. JamiiForums Tanzania Kamanda wa Hezbollah auawa na jeshi la Israel

    Awahishwa kwa mabikira... The IDF on Tuesday announced it had assassinated a senior Hezbollah commander for the Lebanon coastal region, equivalent to the rank of an Israeli brigade commander. According to the IDF, Ismail Yusef Baz had served for decades with Hezbollah in a variety of posts...
  10. JamiiForums Tanzania Makombora mengi ya Iran yatua na yapiga vituo vya kijeshi nchini Israel

    licha ya ndege zisizo na rubani za Iran yaani drones kudunguliwa kabla ya kulenga shabaha imegundulika idadi kubwa ya makombora ya masafa marefu ya Hypersonic ya Iran yameteketeza vibaya kambi kadhaa za kijeshi nchini Israel
  11. B

    JamiiForums Tanzania Israel uchumi taabani, Vita si Lele mama

    1. Hii ni vita dhidi ya wanamgambo tu, Tena walio dhaifu zaidi katika mahasimu wao: 2. Kwamba uchumi wa Israel ndiyo huu? 3. Kwamba madeni ndiyo haya? 4. Wanaeleweka washirika waliojiapiza kusimama nao daima. 5. Kwa hakika ni kipi bora kuliko amani?
  12. JamiiForums Tanzania Israel yataka Vikwazo dhidi ya Mradi wa Makombora wa Iran

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Israel Katz kupitia Mtandao wa X amesema "Asubuhi hii nilituma barua kwa nchi 32 na kuzungumza na Mawaziri wengi wa Mambo ya Nje na Viongozi Waandamizi Duniani nikitaka vikwazo viweke kwenye mradi wa makombora wa Iran" Pia ametoa wito wa Jeshi la Walinzi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Israel yatoa hofu kwa mataifa ya Kiarabu kwamba haitawagusa

    Yatoa hakikisho kwa mataifa ya Kiarabu yawe na amani kwamba chochote inachokusudia kufanya haitawadhuru. Dunia sasa hivi inatumia nguvu nyingi kuibembeleza Israel maana tatizo la Israel huwa na usiri mkubwa sana, wao hufanya mnaamka asubuhi na kukuta wamefanya, yaani hata Marekani huwaona kama...
  14. JamiiForums Tanzania Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

    Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki? Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana Makombora 300 plus si kitu kidogo wadau. Au nasema uongo? Lakini nashangaa bado makafir wanadunda...
  15. JamiiForums Tanzania Kila anayeichukia Israel awe anatazama hii ramani na kupata aibu

    Nimejikuta natafuta Israel kwenye hii ramani, inabidi uitafute sana tu yaani, majitu ya uarabuni yanatia aibu, halafu na huku Afrika kuna wavaa kanzu ambao wanapaswa kuitazama hii picha wajipige vibao vya uso, ni aibu sana kwa kweli, haileti mantiki, nashindwa nicheke, nilie au nihuzunike. Na...
  16. JamiiForums Tanzania Kupigana kwa Israel na Iran ni mipango ya Mungu kuipa ushindi Hamas

    Inaposemwa Mungu si Asumani wengine huwa hawafahamu maana yake.Sisi wengine tunaomfahamu Mungu(Allah) pamoja na ugumu tuliouona tulijua kuwa mwishowe Hamas ndio watakaoshinda vita kati yake na Israel. Mara ngapi Netanyahu amezungumza maneno ya kiburi kwa rafiki zake na mbaya zaidi kwa Mungu...
  17. JamiiForums Tanzania IRAN; anga yetu si salama kwa ndege za Israel, zitakutana na pigo zito kutoka kwa ulinzi wetu

    Wanaukumbi. Kamanda wa kituo cha pamoja cha ulinzi wa anga cha Khatam al-Anbiya cha Iran: Anga zetu si salama kwa ndege za Israel, zitakutana na pigo zito kutoka kwa Ulinzi wetu wa Anga. Marekani na Ulaya wamemwambia Israel Usijaribu kurudisha mashambulizi Israel. Sisi itakuwa ngumu...
  18. JamiiForums Tanzania Naombeni majibu: Mnaosema hawa sio wana wa Israel. Je, waisraeli asilia walienda wapi?

    Jamani naombeni elimu. Na mimi nikae niwasikilize. Nasikia mnasema Israel hawa sio wale waliochukuliwa na Musa kutoka Misri kwenda Canaan. If so, okay, wale wa Musa wapo wapi? Waliishia wapi? Na hawa wapya wametoka wapi? Daudi alitaka ajenge hekalu la Mungu, Mungu akamzuia, akamwambia mikono...
  19. JamiiForums Tanzania Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

    Kwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele Iran ukimwangalia, ni kama amejiweka kwenye nafasi za USA huko na siyo nchi kama Israel na kwamba...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nchi za Kiarabu zakiri kuisaidia Israel dhidi ya shambulizi la Iran

    Tulishasema mara nyingi humu. Watawala wa nchi za Kiarabu na Israel damudamu Juzi wakati Iran ikiwapelekea fire wazayuni, Jordan ilishirikiana bega kwa bega na uingereza na Marekani kutungua mkombora ya Iran ili kuinusuru Israel. Leo Saudi Arabia nayo imekiri kushiriki nyuma ya pazia kuinusuru...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…