israel

  1. JamiiForums Tanzania Mwanaye mkuu wa HAMAS aomba Israel isisitishe mpango wa kupiga Rafah, papigwe haswa

    Asema Israel iache kuskliza makelele ya dunia, pigaaaa!!!! Mosab Hassan Yousef, the disowned son of a Hamas co-founder Sheikh Hassan Yousef, appeared on Piers Morgan Uncensored on Tuesday, where he defended his stance that a Rafah operation was essential for defeating Hamas. Yousef insisted...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Israel yaua tena afisa usalama wa jeshi la kimapinduzi la Iran.

    Kulingana na ripoti hiyo, mhudumu aliyeuawa alisababisha uharibifu kwa vituo vya Wayahudi nchini Ujerumani. Israel ilimlenga na kumuangamiza mfanyakazi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) mjini Tehran, Iran ambaye anadaiwa kuhusika katika kuwalenga Wayahudi nchini Ujerumani...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe shangwe zilizotawala kufurahia jaribio la kuiteka na kuua waisrael wote (river to sea) October 7, Leo hii vilio vimewageukia wao

    OCTOBER 7..... Raia wa Israel waliotekwa wakiingizwa Gaza, wapalestina wameachiwa wawapige kama sehemu ya kusherekea Mitaa ya Gaza waplestina wakifurahia jaribio lilioanza la kuisafisha israel te Shangwe mitaa ya London, Uingereza Fataki zilipigwa huko Iran Iraq Kahawa ya bure...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani yasema bataliani 5 za Israel ziliwafanyia uhalifu Wapalestina hata kabla vita vya Gaza. Iliyomuua Mpalestina Mmarekani kuwekewa vikwazo

    Marekani imefanya utafiti na kugundua ya kuwa jumla ya bataliani 5 za jeshi la IDF zilikuwa zikiwafanyia uhalifu mkubwa wapalestina kabla kuzuka vita vya Gaza. Miongoni mwa bataliani hizo ni ile ya wayahudi wahafidhina la Netzah Yehuda ambayo ilihusika na kumuua mpalestina Omar Assad, ambaye...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwandamizi Israel Jenerali Ben Gantz kufanyiwa upasuaji wa goti kufuatia ajali ya baiskeli

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri mwandamizi na Jenerali wa Jeshi la Israel Ben Gantz atafanyiwa upasuaji wa goti kufuatia ajali aliyoipata akiendesha baiskeli Kusini mwa Israel Waziri huyo amepata ajali hiyo wiki moja tu baada ya Waziri wa Usalama wa nchi hiyo takatifu Itamar Ben Gvirs Irael...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vita vya Gaza: Marekani ina ‘matumaini’ kwamba Hamas itakubali pendekezo jipya la Israel la kusitisha mapigano

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken amesema ana matumaini kuwa Hamas itakubali pendekezo la hivi punde la Israel la kusitisha mapigano Gaza na kuwaachilia mateka. Aliita pendekezo hilo kuwa la "ukarimu usio wa kawaida", wakati ujumbe wa Hamas ulipojadiliana na wapatanishi mjini...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Israel kuanza kujifungia ndani kuogopa kukamatwa na ICC

    Ule wasi wasi uliowahi kuwapata Omar Albashir na Vladmir Putin sasa umehamia kwa viongozi wa Israel. Hiyo inafuatia na dokezo lilitolewa na wizara ya mambo ya nje ya Israel baada kuangalia mwenendo wa kesi zinazofunguliwa dhidi yao kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita. Nchi kadhaa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Israel inapewa msaada wa kijeshi/ silaha na Marekani?

    Katika mambo ambayo yamekuwa yakieleweka vibaya, kukanganya na pia kuzua dhihaka kutoka kwa watu wasioipenda Israel ni pamoja na hili la kupewa misaada wa jeshi/ silaha na Marekani pamoja na kuwa ni nchi tajiri iliyoendelea. Ni vizuri tujifunze na kuelewa mambo bila ushabiki, kuna sababu kadhaa...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama Israel anusurika kwenye ajali mbaya akimbizwa hospital

    Wadau hamjamboni nyote Waziri wa Usalama mwenye msimami mkali wa Israel Itamar Ben Gvir anusurika kwenye ajali mbaya ya gari na amekimbizwa hospital anakopatiwa matibabu Polisi wanaendesha uchunguzi mkali kubaini chanzo cha ajali hiyo mbaya iliyotokea leo ijumaa Mungu ibariki Israel...
  10. JamiiForums Tanzania Wa Israel wanakaribia kumchinja ng'ombe mwekundu. Ni ishara mbaya

    Kabla ya Ujenzi wa hekalu La Suleiman, Mambo yafatayo yanatangulia kwanza 1) Kutoa sadaka ya ng'ombe mwekundu. 2) Hii sadaka ni kwa ajili ya kutakasa eneo la Ujenzi wa hekalu. 3) Tayari wa Israel wanakaribia kumchinja huyu ng'ombe 4) Kunyakuliwa kwa kanisa 5) Ubomowaji wa msikiti wa alqsa...
  11. JamiiForums Tanzania Tokea october 7 wanajeshi zaidi ya 2000 wa Israel wameuliwa na Hezbollah

    Tokea October 07 Mashambulizi ya Hezbollah kaskazini mwa Israel yamewaangamiza wanajeshi zaidi ya 2000 wa Israel na kuwaacha maelfu wakiwa vilema Hezbollah wamefanya zaidi ya operesheni 1650 dhidi ya Israel https://twitter.com/PressTV/status/1783463849414295849?s=19 Hezbollah wenyewe...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wanaposimama imara dhidi ya Israel na serikali yao

    1. Alisema Abraham Lincoln: 2. Hawa ndiyo wale vijana jeuri akiwataka sana Nyerere (RIP): 3. Sasa kimenuka Marekani; kumeibuka vijana jeuri wasiotaka kuwaona wala kuwasikia tena wa aina ya kina Biden, Blinken, Bibi au washirika zao. Kuliko kisiwa cha demokrasia sasa kama Kwa akina Muroto...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mataifa yaipuuza Israel kuhusu UNRWA

    Miezi kadhaa iliyopita kulitokea wimbi la Mataifa Tajiri kujitoa kufadhili Taasisi ya Kimataifa inayohusika na kuhudumia Wapalestina ya UNRWA. Taasisi hii ya UN iliundwa zaidi ya miaka 70 iliyopita kuhudumia Wakimbizi iliyopita kufuatia Majeshi ya Israel kuvamia vijiji vya Wapalestina ambao...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya mwezi wa 6+ leo Israel angali anapigana na nani Gaza?

    1. Gaza ni kaeneo kadogo ka size ya kinondoni, ilala au temeke huko; kigamboni, bagamoyo, Pemba au Mafia ni kukubwa mno kuliko Gaza. 2. Vi kinondoni, ilala, au temeke huko ni vi mikoa vya kipolisi tu ambapo kamanda Muliro mguu wake mmoja hauenei. 3. Israel leo mwezi wa 6+ anapigana kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Israel anamlalamikia Biden kuwa anaiumiza nchi yao

    Amichai Chikli: Biden admin. doesn't project power, I would choose Republicans Jamaa analalama Biden anaiumiza Israel kwa sera na kauli zake. Ameenda mbali zaidi na kusema laiti kama angekuwa mwananchi wa US basi angempigia Trump kura yake. Anachozungumza huyu waziri wa mambo ya diaspora...
  16. JamiiForums Tanzania Israel inavyorudi upya Gaza kwa nguvu, ni wazi kulikuwa na njama kati yake na Marekani kuiwacha Iran ishinde ili kupata ushindi wa Gaza

    Yapo mambo mengi ambayo yametoa picha ya namna Israel na Marekani wanavyoshirikiana kimkakati ili kuhakikisha Israel inaitawala Gaza na Palestina yote bila upinzani. Ni kweli Israel ilikuwa na nia ya kuipiga Iran kwa nguvu kubwa na kuleta madhara zaidi lakini kwa kushauriana na Marekani na...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Nani anastahili huruma kati ya Israel na Palestine?

    Sina maelezo mengi wote wenye akili timamu tumeona biasness, hypocrites, na double standard nyingi kwenye huu mgogoro. Media coverages ni full of biasses kila mmoja amechukua upande, je nani anastahili huruma. Alianza kushambuliwa israel kisha akajibu mapigo je who deserve sympathy.
  18. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Idara ya Ujasusi ya Jeshi la Israel ajiuzulu

    Mkuu wa ujasusi katika jeshi la Isarel Meja jenerali Aharon Haliva amethibitisha na kukiri kufeli katika vita vinavyoendelea hasa katika kuzuia shambulio la Hamas la Oktoba 7, aidha kwa maelezo hayo Mkuu huyo wa ujasusi jeshini IDF amejiuzulu wadhifa wake huo ------- Israeli military...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Video ambazo ni fake zilivyotumika kipropaganda kuelezea Shambulio la Iran kwa Israel

    Sina maneno mengi, video inajitosheleza https://www.youtube.com/watch?v=P3iuOjJ0yyY&ab_channel=DWNews
  20. JamiiForums Tanzania Nini kinakuongoza kuzipenda ama kuzichukia Marekani na Israel?

    Dunia nzima imegawanyika hivyo. Wapo wanaozipenda ama kuzichukia Israel na Marekani. Wewe binafsi nini kinakuongoza kwenye kuzichukia ama kuzipenda nchi hizo mbili??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…