israel

  1. Hata iweje tutalipenda taifa la Israel (taifa teule)

    Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka. Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel umeshamiri Sana. Ni kweli wa Israel wanawanyanyasa Sana wa kristo. Wanafanya hayo kwa kutojuwa Pamoja na...
  2. Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Israel Yitzhak Brik: Netanyahu anajua kwamba kuendelea na mchakato huu kutapelekea kuporomoka kwa Taifa la Israel kijesh

    Wanaukumbi. Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Israel Yitzhak Brik: Netanyahu anajua kwamba kuendelea na mchakato huu kutapelekea kuporomoka kwa Taifa la Israel kijeshi, kiuchumi, kisiasa na kijamii. Hata kama Hamas na Hezbollah wataendelea kupigana kama wanavyofanya leo, bila mshangao wa kijeshi...
  3. Mamlaka za Israel wavamia sherehe za kanisa huko yerusalem hawataki ukiristo

    Wanakumbi. MAMLAKA ZA ISRAEL WAVAMIA SHEREHE ZA KANISA HUKO YERUSALEMU Matukio ya machafuko leo wakati wa sherehe za kila mwaka za Moto Mtakatifu. Mamlaka iliwakamata maafisa wa usalama wa kanisa hilo wakati wa Jumapili ya Pasaka kwa Wakristo wa Orthodox...
  4. Marekani watoa sharti kwa Qatar kwamba HAMAS wafukuzwe mara moja kama watakaidi azimio la sasa la Israel

    Sijui watahamia wapi au waje huku kwa wanaopenda kufia haya mavitu... US Secretary of State Anthony Blinken warned Qatar last month that they should expel Hamas senior officials if the terror group rejects another ceasefire proposal, the Washington Post reported Saturday morning. Qatar...
  5. Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania ikiwa operesheni ya Rafah itaanzishwa na Israel

    Wanakumbi ⚡️⭕️🔻#YEMEN : Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania mara moja na kuidhinisha usafirishaji wa kampuni zote ambazo zina uhusiano na #Israel ikiwa operesheni ya Rafah itaanzishwa : Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Yemen: Vikosi vya Wanajeshi...
  6. Wamalawi 12 Wakamwatwa Israel kwa kutoroka kazi za Mashambani

    Raia 12 wa Malawi ni miongoni mwa raia 40 wa Kigeni waliokamatwa baada ya kuacha kazi kwenye mashamba ya Arava na Lion kutokana na kulipwa Ujira mdogo na kwenda kutafuta kazi za zenye malipo bora zaidi Mjini Bnei Brak Austin Chipeta, Kiongozi wa Jamii ya Wamalawi nchini humo amesema Watu hao...
  7. U

    UTEUZI Jenerali Shlomi Binder ateuliwa kuwa Mkuu wa idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel

    UTEUZI Jenerali Shlomi Binder ateuliwa kuwa Mkuu wa idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel Wadau hamjamboni nyote? Uteuzi wa Maofisa wakuu wa Jeshi la Israel Jeshi la Israel IDF limefanya uteuzi mpya kwa kumteua Jenerali shlomi Binder kuongoza idara ya ujasusi ya Jeshi la nchi hiyo akichukua...
  8. American Israel Public Affairs Committee (AIPAC ) ndio moja ya makundi yanayo iendesha marekani juu ya Israel kwa kiasi kikubwa ?

    The American Israel Public Affairs Committee (AIPAC) is a lobbying group that advocates pro-Israel policies to the legislative and executive branches of the United States. One of several pro-Israel lobbying organizations in the United States, AIPAC states that it has over 100,000 members, 17...
  9. G

    Sababu ya kuisapoti Israel!! Ikiwa chini ya Palestina itageuzwa kuwa dola ya kisasi, ubaguzi na ukandamizaji wa kidini, yalishatokea Iran, Iraq, n.k

    Kumbuka lengo la kushambulia Israel ni kuua waisrael wote, ndicho kitachotokea Israel ikitekwa na Palestina, Hawa watu wakivamia huwa ni chinja chinja tu kujaribu kuua waisrael wote kwa kiasi wanachoweza, Hata watanzania wenzetu walioenda kusoma huko walikutwa kwenye ardhi ya Israel na wakauawa...
  10. Mwanaye mkuu wa HAMAS aomba Israel isisitishe mpango wa kupiga Rafah, papigwe haswa

    Asema Israel iache kuskliza makelele ya dunia, pigaaaa!!!! Mosab Hassan Yousef, the disowned son of a Hamas co-founder Sheikh Hassan Yousef, appeared on Piers Morgan Uncensored on Tuesday, where he defended his stance that a Rafah operation was essential for defeating Hamas. Yousef insisted...
  11. I

    Israel yaua tena afisa usalama wa jeshi la kimapinduzi la Iran.

    Kulingana na ripoti hiyo, mhudumu aliyeuawa alisababisha uharibifu kwa vituo vya Wayahudi nchini Ujerumani. Israel ilimlenga na kumuangamiza mfanyakazi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) mjini Tehran, Iran ambaye anadaiwa kuhusika katika kuwalenga Wayahudi nchini Ujerumani...
  12. G

    Tujikumbushe shangwe zilizotawala kufurahia jaribio la kuiteka na kuua waisrael wote (river to sea) October 7, Leo hii vilio vimewageukia wao

    OCTOBER 7..... Raia wa Israel waliotekwa wakiingizwa Gaza, wapalestina wameachiwa wawapige kama sehemu ya kusherekea Mitaa ya Gaza waplestina wakifurahia jaribio lilioanza la kuisafisha israel te Shangwe mitaa ya London, Uingereza Fataki zilipigwa huko Iran Iraq Kahawa ya bure...
  13. Marekani yasema bataliani 5 za Israel ziliwafanyia uhalifu Wapalestina hata kabla vita vya Gaza. Iliyomuua Mpalestina Mmarekani kuwekewa vikwazo

    Marekani imefanya utafiti na kugundua ya kuwa jumla ya bataliani 5 za jeshi la IDF zilikuwa zikiwafanyia uhalifu mkubwa wapalestina kabla kuzuka vita vya Gaza. Miongoni mwa bataliani hizo ni ile ya wayahudi wahafidhina la Netzah Yehuda ambayo ilihusika na kumuua mpalestina Omar Assad, ambaye...
  14. U

    Waziri Mwandamizi Israel Jenerali Ben Gantz kufanyiwa upasuaji wa goti kufuatia ajali ya baiskeli

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri mwandamizi na Jenerali wa Jeshi la Israel Ben Gantz atafanyiwa upasuaji wa goti kufuatia ajali aliyoipata akiendesha baiskeli Kusini mwa Israel Waziri huyo amepata ajali hiyo wiki moja tu baada ya Waziri wa Usalama wa nchi hiyo takatifu Itamar Ben Gvirs Irael...
  15. M

    Vita vya Gaza: Marekani ina ‘matumaini’ kwamba Hamas itakubali pendekezo jipya la Israel la kusitisha mapigano

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken amesema ana matumaini kuwa Hamas itakubali pendekezo la hivi punde la Israel la kusitisha mapigano Gaza na kuwaachilia mateka. Aliita pendekezo hilo kuwa la "ukarimu usio wa kawaida", wakati ujumbe wa Hamas ulipojadiliana na wapatanishi mjini...
  16. Viongozi wa Israel kuanza kujifungia ndani kuogopa kukamatwa na ICC

    Ule wasi wasi uliowahi kuwapata Omar Albashir na Vladmir Putin sasa umehamia kwa viongozi wa Israel. Hiyo inafuatia na dokezo lilitolewa na wizara ya mambo ya nje ya Israel baada kuangalia mwenendo wa kesi zinazofunguliwa dhidi yao kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita. Nchi kadhaa...
  17. Kwanini Israel inapewa msaada wa kijeshi/ silaha na Marekani?

    Katika mambo ambayo yamekuwa yakieleweka vibaya, kukanganya na pia kuzua dhihaka kutoka kwa watu wasioipenda Israel ni pamoja na hili la kupewa misaada wa jeshi/ silaha na Marekani pamoja na kuwa ni nchi tajiri iliyoendelea. Ni vizuri tujifunze na kuelewa mambo bila ushabiki, kuna sababu kadhaa...
  18. U

    Waziri wa Usalama Israel anusurika kwenye ajali mbaya akimbizwa hospital

    Wadau hamjamboni nyote Waziri wa Usalama mwenye msimami mkali wa Israel Itamar Ben Gvir anusurika kwenye ajali mbaya ya gari na amekimbizwa hospital anakopatiwa matibabu Polisi wanaendesha uchunguzi mkali kubaini chanzo cha ajali hiyo mbaya iliyotokea leo ijumaa Mungu ibariki Israel...
  19. Wa Israel wanakaribia kumchinja ng'ombe mwekundu. Ni ishara mbaya

    Kabla ya Ujenzi wa hekalu La Suleiman, Mambo yafatayo yanatangulia kwanza 1) Kutoa sadaka ya ng'ombe mwekundu. 2) Hii sadaka ni kwa ajili ya kutakasa eneo la Ujenzi wa hekalu. 3) Tayari wa Israel wanakaribia kumchinja huyu ng'ombe 4) Kunyakuliwa kwa kanisa 5) Ubomowaji wa msikiti wa alqsa...
  20. Tokea october 7 wanajeshi zaidi ya 2000 wa Israel wameuliwa na Hezbollah

    Tokea October 07 Mashambulizi ya Hezbollah kaskazini mwa Israel yamewaangamiza wanajeshi zaidi ya 2000 wa Israel na kuwaacha maelfu wakiwa vilema Hezbollah wamefanya zaidi ya operesheni 1650 dhidi ya Israel https://twitter.com/PressTV/status/1783463849414295849?s=19 Hezbollah wenyewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…