israel

  1. Hizbullah wameipiga Iron dome yenyewe inayoilinda Israel dhidi ya makombora

    Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza. Mwezi uliopita Hizbullah walifanikiwa kuipiga rada kubwa ya jeshi la Israel ambayo kazi yake ni...
  2. Iran imetangaza kulipiza tena Kisasi kwa Israel baada ya shambulizi huko Syria

    Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar. Shambulizi hilo la anga ambalo limetokea Aleppo juzi June 3 limeua watu 17 ambao inaelezwa ni wapiganaji...
  3. U

    Israel kutangaza vita na Hezbollah muda wowote kuanzia sasa

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Mungu ibariki Israel Shmona, June 4, 2024. (Ayal Margolin/Flash90) IDF Chief of Staff Lt. Gen. Herzi Halevi said Tuesday that Israel is close to making a decision regarding Hezbollah’s daily attacks on northern Israel amid the Gaza war. “We...
  4. I

    Israel yaua Jenerali mwingine wa Iran nchini Syria

    Shambulizi linalodaiwa kufanywa na Israel karibu na mji wa Aleppo nchini Syria mapema jana Jumatatu, lilimuua jenerali wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Saeed Abiyar, chombo cha habari cha Tasnim cha Iran kinaripoti. Tasnim inamuelezea Abiyar kama mshauri, neno ambalo hutumia...
  5. Jeshi la Israel laanza kukumbwa na ukata wa askari mfano yaliyoikuta Ukraine. Ndio sababu wanashambulia na kuhama maeneo. Askari wote 15000 wametumika

    Wakati siri imefichuka kwamba pendekezo la kusimamisha vita limetoka Israel. Vile vile wafuatiliaji wa vita vya Gaza wametoa takwimu za kuonesha jeshi la nchi hiyo kwa sasa limechoka na lina upungufu mkubwa wa askari. Kwa mujibu wa mtandao huo wa ufuatiliaji vita imeelezwa kuwa askari wote...
  6. Yafahamu yaliyomo ndani ya mpango wa Biden kumaliza vita vya Gaza ambayo Israel wameyakubali na Hamas hawaoni shida kuyatia saini.

    Mpango wa raisi Biden ili kumaliza vita vya muda mrefu vya Israel na Hamas una hatua tatu muhimu. YA KWANZA Ni kusitisha vita kwa muda wa wiki sita(mwezi unusu) ili mateka wa Israel hasa wa kiraia,wanawake na wagonjwa waachiwe sambamba na kuachiwa kwa wafungwa wa kipalestina. Hatua hii...
  7. Israel: Mawaziri Wawili watishia kujiuzulu na Kuvunja Serikali ikiwa Israel itasitisha Mapigano Gaza

    Waziri wa Fedha Bezalel Smotrich na Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir wametishia kujiuzulu na kuvunja serikali iwapo Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atakubali pendekezo la kusitisha mapigano Gaza lililotolewa na Rais Joe Biden, wakisema wanapinga makubaliano yoyote kabla ya Hamas...
  8. T

    Chile yaungana na Mexico, Indonesia, Brazil na Afrika Kusini kwenye kesi dhidi ya Israel

    Nchi ya Chile imeamua kuungana na nchi za Mexico, Columbia, Brazil, Indonesia na South Africa kwenye kesi dhidi ya Israel kwenye mahakama ya kimatiafa. Rais Chile amesema inachofanya Israel kuua watoto na wanawake haikubaliki kwa mtu yeyote mwenye akili timamu. Chile joins developing nations...
  9. Jeshi la Israel walichokutana nacho kambi ya Jabalia ni lazima wakimbie. Rafah itakuwa ni hivyo hivyo

    Taarifa za kivita zimeonesha kuwa wiki tatu za mapigano kwenye kambi ya Jabalia kaskazini ya Gaza ni moja ya mapambano makali vikosi vya Israel ilivyokutana navyo palipokuwa hapakutarajiwa hasa ikizingatiwa jeshi hilo lilikwishatangaza ushindi awali na kujiondoa eneo hilo mara zaidi ya moja...
  10. Biden ameitaka Israel kukubali kusitisha vita Gaza

    Wanakumbi. BREAKING: 🇺🇸🇮🇱 Biden: "Baada ya diplomasia ya kina kufanywa na timu yangu, na mikutano na wanadiplomasia wa kigeni, Israel imetoa pendekezo jipya." Ramani ya njia ya usitishaji mapigano unaodumu na kuachiliwa kwa mateka wote. Pendekezo hili limetolewa na Qatar kwa Hamas...
  11. The Satanic and Talmudic nature of Benjamin Netanyahu’s ideology in Israel is effectively under the control of Satanic forces

    The Satanic and Talmudic nature of Benjamin Netanyahu’s ideology in Israel is purely under Satanic forces, and Benjamin Netanyahu seems to have imbibed a Satanic ideology through the teachings of the Talmud.If you haven’t noticed, over 20,000 civilians, mostly children, have lost their lives in...
  12. Erdogan azitaka nchi za kiislamu kuungana dhidi ya taifa la Israel

    Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel. Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
  13. Jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kufanya unyama Palestina, wasiingie nchi yoyote duniani kuamrisha ujinga ujinga wao

    Silaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika . Ubaya wa uvamivi wa Gaza na uporaji wa ardhi unaofanywa maeneo mengine ya Palestina tena kupingana na amri za mahakama na...
  14. Israel imeshaichukua Rafah yote. Hakuna bataliani za Hamas wala mateka. Inaua tu bila kizuizi ikipingana na amri ya ICJ

    Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama. Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel...
  15. Rasmi wanajeshi wa Israel waingia Rafah mjini kati

    Asiye na mwana aelekee jiwe, ni mwendo wa kikomando na kufyatua fyatua, mnaojificha nyuma ya watoto pole zenu, hawa ni Wayahudi (sio Wakristo mliozoea) wanapiga tu. Shukrani sana IDF, malizeni hii shughuli tuwaze mengine, wawahisheni kwa mabikira... ================== Several Israeli tanks have...
  16. Gustavo Petro, Rais wa Colombia ashangaa kuona mataifa makubwa ya kidemokrasia yakishindwa kuizuia Israel kuua watu Gaza

    Raisi Gustavo Petro ameonesha kutoamini kinachoendelea Gaza mbele ya mataifa makubwa yanayojinadi kusimamia utawala bora wa kidemokrasia. Hata hivyo mbele ya mshangao wake raisi huyo alipata jawabu kwa kusema,hayo yanayotokea ni kutokana na kuwa wamiliki wengi wa mabenki na taasisi za kifedha...
  17. Misri na Israel waanza kupigana Rafah. Askari wa Misri afa

    Kumetokea urushianaji wa risasi baina ya vikosi vya Israel na vile vya Misri vilivyo upande wa pili wa mpaka eneo la Rafah ambapo askari kadhaa wa Misri wamejeuhiwa na mmoja kati yao kufa. Tayari kuna mazungumzo ya kupunguza hamasa za kivita huku kila upande ukisema unafanya uchunguzi kujua...
  18. Hamas wateka askari wapya wa Israel ndani ya Gaza.Mateka wa zamani baadhi wapatikana wakiwa wamekufa.

    Abu Ubaida,yule msemaji machachari wa Hamas ametoa video ikionesha askari kadhaa wa Israel waliotekwa nyara baada ya wenzao kufa na wengine kujeruhiwa. Kwa mujibu wa Abu Ubaida tukio hilo lilitokea ndani ya kambi ya Jabalia kaskazini ya jiji la Gaza ambayo kwa wiki kadhaa imekuwa kitovu cha vita...
  19. Israel imefanikiwa kupata miili Mingine mitatu ya mateka waliouwawa na Kushikiliwa Mateka tokea October 7, 2023

    Bodies of 3 hostages recovered from Gaza IDF, Shin Bet, locate and recover bodies of Michel Nisenbaum, Hanan Yablonka, and Orion Hernandez Radoux, who were murdered on October 7. The bodies of three, hostages Hanan Yablonka, Michel Nisenbaum, and Orion Hernandez Radoux, were rescued overnight...
  20. Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) yaagiza Israel kukomesha mara moja ushambuliaji wa kijeshi huko Rafah

    Wanaukumbi. Kwa Upendeleo: 13 Dhidi ya: 2 Mahakama ya kimataifa ya uhalifu pia ilitoa kauli zifuatazo: ✅ Mahakama inabainisha kuwa hali ya kibinadamu huko Rafah ni janga baada ya wiki za mashambulizi ya mabomu. ✅ Mahakama inakumbuka kwamba hali ya maisha ya wakazi wa Ukanda wa Gaza imezorota...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…