israel

  1. JamiiForums Tanzania Kamanda wa jeshi la Iran auliwa na Israel, kule Beirut

    Naye hakusazwa, alikua kwenye harakati za kuratibu shughuli za magaidi wa Waislamu, Hezbollah. Kawahishwa kwa mabikira. Aise Myahudi namba mbaya. -------++ Iran Revolutionary Guards' deputy commander Abbas Nilforoushan was killed in the Israeli strikes on Beirut on Friday, Iranian media...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nasrallah"s fatal underestimation of Israel (Arab News)

    Hezbollah chief Nasrallah’s fatal underestimation of Israel Hezbollah chief Hassan Nasrallah has miscalculated, and in the process dragged Lebanon into a bloodbath that the already impoverished, isolated, and desperate Lebanese can ill afford. The world is trying to help him save face, although...
  3. JamiiForums Tanzania Ni vyema Israel imuue na Ayatollah wa Iran

    Ili Israel ijihakikishie ushindi dhidi ya maghaidi wa Kiislamu, ni lazima imuue Ayatollah wa Iran. Wamuue Ayatollah, wamuue na Rais wa Iran. Maliza kabisa hao watu. Lipua majengo yao yote. Wawarudishe katika enzi za ujima. Ua mpaka ngamia wao. Hata kondoo wao wakikatiza, tandika risasi. Hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Israel iendelee na safishasafisha tukafanye ibada mji mtakatifu Yerusalem, December hii

    Shalom, Kwa kweli kama imqni nyingine zinakwenda Ibada miji mitakatifu yao kuanzia wa budha huko tibet bila shida kabisa Waislam huko Mecca na Madina Wahindi na Hindu yao huko Bombay na New dehri Basi Israel iendelee na safisha safisha mpaka miji ile muhimu ambayo magaidi wanajitapa ipo...
  5. JamiiForums Tanzania Hasara ya Iran kuishambulia Israel ni kubwa. Kukaa kwao kimya si kwamba hawana akili. Russia, Korea na China...

    Russia na China ni washirika wakubwa wa Irani. Wanajua intelejensia. Wanamwambia kila mara Irani atulize kipago Israel aachwe kama alivyo. Vita ya 3 ya Dunia itaanzia Mashariki ya Kati. Israel Taifa kubwa ndilo litasababisha vita hiyo. Ni Taifa dogo kwa eneo na idadi ya watu lakini Kihistoria...
  6. JamiiForums Tanzania Hawa ndio Hizbollah waliokuwa wanasifiwa kwa ile vita ya 2006?

    Kila mwaka tulipokuwa tunaandika juu ya umahiri wa Israel tuliambiwa kiboko yake ni Hizbollah na kwamba wayahudi walipigwa mwaka 2006. Sasa miaka 18 baadae ndio hawa waliokuwa wanasifiwa? Ninaona wakati ule Israel iliwaachia wakajiona wako vizuri lakini safari hii wayahudi wameona wamalize...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ukicheza na Israel unacheza na moto: Viongozi wote wa juu wa Hezbollah wametunguliwa

    Hezbollah wametuangusha sana, pamoja na mikwara yao yote wamechakazwa nje ndani kwenye mfumo mzima wa uongozi, anaehema ni moja tu kati ya 11 waliomalizwa akiwamo kiongozi mkuu, huo msako anaopigiwa anaweza kujimaliza mwenyewe kwa msongo wa mawazo.
  8. JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

    Jeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana. Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake. Yasemekana kuwa ndani ya eneo hilo hakuna chochote kilichobaki kizima, na huenda mwili wa Nasrallah...
  9. JamiiForums Tanzania Maandamano ya Amani kupinga mashambulizi ya Israel huko Lebanon Kwa Hezbollah

    Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali ya Mzayuni huko Kwa ndugu zetu katika Imani, Lebanon kwa maandamano ya Amani. Tarehe: Ijumaa, 06 Disemba, 2024 baada ya Salat Al jummah Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja Wabillah Taufiq
  10. JamiiForums Tanzania Israel yapiga marufuku ndege za kijeshi kutua Lebanon

    Katika hali isiyo ya kawaida, jeshi la Israel limeanza kufatilia na kutawala anga lote la Lebanon na kupiga marufuku ndege zote za kijeshi kutua Lebanon. Mamlaka ya Anga ya Lebanon imekubaliana na Israel na imefuata matakwa ya Israel. Israel imesema yeyote atayeleta ndege itazuiwa au...
  11. JamiiForums Tanzania Ili kuleta Umoja nchini Tanzania nashauri Mh. Rais awakutanishe Israel na Hamas na Hezbollah kuwapatanisha.

    Naona kabisa kumekuwa na mpasuko nchini kuna ambao wameamua kushabikia au kuunga mkono Hamas na Hezbollah na wengine ambao wanaunga mkono Israel. Huu mpasuko si mzuri kwa nchi. Inabidi kuangalia namna ambavyo Rais wetu anaweza kuwakutanisha hawa watu akawapatisha. Sababu ni rais anayesikilizwa...
  12. JamiiForums Tanzania Bomu Jipya GBU-72 lililongusha majengo ya Hezbollah ni Jipya, lingine pia lipo njiani kufumua mahandaki yenye hazina ya Silaha. maeneo hayo hayo

    New ‘bunker buster’ bombs used in Beirut attack Bomu limeetoa moshi wa rangi ya Chocolate - This is why Iran hataki War na Israel anawatumui Arabs wajinga wake. Bomu hilo halijawahi tumika kabla kilo 2,200 lilianza kuundwa Mwaka 2021 Elijah Magnier, a military analyst, says the ordnance used...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

    Makao makuu ya Hezbollah mjini Beirut yamechakazwa vibaya kwa ndege za kivita za Israel na kuharibu eneo lote kabisa, shambulio Hilo lilimlenga kiongozi wa Hezbollah Hassan nasrallah ambaye haijulikani alipo mpaka sasa Hamas huko aliko anachekelea shoo anayokutana nayo mwenzake. Hezbollah...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel limesema limefanya “shambulio la kiufundi” mji mkuu wa Lebanon, Beirut

    Hali ni mbaya sana Majeshi ya Israel yamelipua Kamandi kuu ya Hezbollah.Milipuko mikubwa imeutikisa mji wa kusini wa Beirut katika shambulio jipya la anga la Israel. Mawingu mazito ya moshi yanaonekana yakipanda kutoka mji mkuu wa Lebanon, Beirut, baada ya milipuko kadhaa. Jeshi la Israel...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Netanyahu aiambia UN hakunaga wa kulitishia Nyau Israel hapa Duniani, Waarabu watoka ukumbini kabla ya Hotuba!

    Alipopanda tu jukwaani Waziri Mkuu wa Israel baadhi ya Wajumbe Wakiongozwa na mataifa ya Kiarabu walitoka ukumbini Netanyahu amesema hakunaga wa kuitisha Israel kwa sababu Mipaka yao ni mitakatifu na imebarikiwa hivyo watairejesha Credit: Al Jazeera news Baadae Mlale unono 😃🌹
  16. G

    JamiiForums Tanzania Wajue Wayahudi wa Haredi: wanatemea mate Wakristo, wanapinga uwepo wa taifa la Israel, hujitenga na wayahudi wengine, hutegemea misaada kujikimu

    Wengi wetu sio wageni kuziona video za wakristo wanatemewa mate wakienda Israel, Ni matukio yanayotokea mara chache lakini kwa jinisi yanavyotrend yanajenga picha kwamba ni matukio ya kila siku na wayahudi wote wapo hivyo, LA HASHA !! Ni jamii ya wayahudi wa Heredi, Kwa idadi yao kuna myahudi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Mbona mlikaa kimya sakata la rushwa ya Qatar kwa maafisa wa E.U au kwa sababu haikuwa Israel au U.S.A

    Hapo juu ni pesa alizokutwa nazo mwanadada Eva Kaili aliekuwa makamu rais wa bunge la EU. Eva Kalili alikuwa mmoja kati ya watano waliokamatwa katika sakata hili linalohusu kupokea rushwa kutoka katika serikali ya Qatar ili wawa peti peti Qatar katika umoja wa ulaya na kuinfluence umoja wa EU...
  18. JamiiForums Tanzania Russia yatungua makombora 13 Israel huko Syria

    🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨 Jeshi la Russia limetungua makombora 13 ya Israel yaliyolenga mji wa Tartus ilipo Naval Base ya Russia 🇮🇱🇸🇾🇷🇺 Russia shoots down Israeli missiles? Israel launched missiles to attack targets in the Syrian city of Tartus, where a Russian naval base is located. As a result, all 13...
  19. JamiiForums Tanzania Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

    At least 50 people have been killed and more than 300 wounded by Israeli air strikes in Lebanon, the ministry of health said Monday. Also read >Wakazi wa Kusini mwa Lebanon wamepokea SMS zikiwataka kuhama kwenye nyumba zao Smoke billows over southern Lebanon following Israeli air attacks...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Ayatollah Khomen kwa Israel Hawezi Mshinda vita Hezbullah

    Ayatollah Khomen anasema Israel wana ota kama wanaweza kumshinda vita Hezbullah. Anasema Hezbullah haihitaji msada wa Iran, silaha alizo nazo ni nyingi sana. Israel amekadiria vibaya sana hawezi kujua silaha za Hezbullah hata siku moja. Ujumbe ndio huo hapo kuna wajinga walisema Iran kamkimbia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…