israel

  1. JamiiForums Tanzania Namna Israel ilivolemaza Iran kwa muda mfupi

    🇮🇱 Uwezo wa Jeshi na Ujasusi wa Israel: Sababu ya Mafanikio Dhidi ya Iran kwa Haraka Iwapo Israel ingeweza kuangamiza uongozi wa kijeshi wa Iran na wanasayansi wa nyuklia ndani ya masaa machache tu, hiyo haingekuwa bahati mbaya bali ni matokeo ya: Miaka ya maandalizi ya kimkakati Uwezo mkubwa...
  2. JamiiForums Tanzania Iran yapigwa mabomu na Israel kwa siku ya pili, Tehran inawaka moto

    Myahudi amechafukwa, mpaka sasa ngoma inazidi kuwa moto, Iran wamefaulu kuua mtu mmoja Israel ila wao wanaendelea kupoteza, wamepigwa makambi ya kijeshi, viwanja vya ndege, na miundo mbinu mingine ya muhimu na Israel wamesema hadi watimize malengo kipigo kiko pale, watapiga hadi mifumo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Unatabiri nini mwisho wa vita hii Iran vs Israel

    Moja ya kiumbe mwepesi kumuangusha katika vita ni mwarabu. Kwa sababu ni Rais kumnunua na kumtumia KUWA Adui wa NDUGU zake. Hii ndio maana maagents wa mossad walikuwa kwenye kazi maalumu KWA miaka mingi kufanikisha HIKI kinachofanyika ndani ya Iran. Iran itapigwa kirahisi sana kisha itafuatia...
  4. JamiiForums Tanzania Mfadhili mkuu Israel kaamrisha wanamgambo wake wote waingie kwenye mapango

    Marekani imeamrisha wanajeshi wake wote kwenye base za mashariki ya kati waingie kwenye bunker ili kuokoa viwiliwili baada Iran kuanza maangamizi ndani ya Israel U.S. Servicemembers at two bases in the Middle East were ordered into bunkers during tonight’s Iranian ballistic missile attacks...
  5. JamiiForums Tanzania General wa Israel kaliwa kichwa mapema

    General wa Israel aliyechelewa kuingia kwenye mapango ametafunwa mara moya na makombora ya Iran 🇮🇷🇮🇱 | BREAKING: Highly credible reports confirm the Israeli Navy Commander has been killed in Iran’s precision ballistic missile strike — a seismic blow to Tel Aviv’s military command.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyoshusha mvua ya mabomu Tel Aviv na miji jirani kujibu mashambulizi ya Israel ndani ya Iran!!

    Iran hajachukua muda mrefu, amejibu mapigo, tusubirie vita kamili kati ya Iran na Israthuku USA akiichagiza Saudia na vibaraka wake wamtulize Iran, safari hii USA atafeli kutumia vibaraka na itambidi aingie front mwenyewe, Houthi na wao nawaona punde wakiungana na Iran kushusha makombora kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Waonyesha uwezo wao Tel aviv na Jerusalem hapakaliki

    Iran imeidhabu Israel kwa makombora tiifu na kubomoa Jiji la Tel aviv Kambi za jeshi na makao mkuu ya Wizara ulinzi ❗️What is known about Iran's retaliatory attack on Israel: ▪️The Iranian Armed Forces have launched an operation against Israel in response to strikes on Iranian territory...
  8. W

    JamiiForums Tanzania baadhi ya makombora ya masafa marefu ya Iran yametua Israel muda huu, Israel yajiandaa kufanya shambulio zito zaidi usiku wa manane

    Baadhi ya makombora ya masafa marefu kutoka Iran yamefanikiwa kutua Israel huku mengi yakidakwa angani na mitambo ya ulinzi wa anga. Mashambulio haya yamelenga maeneo yenye wakazi wengi, lakini hadi sasa hakuna taarifa za vifo, kwani watu wamekuwa wakitafuta hifadhi kwenye vyumba maalum vya...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Je, Israel Imezuia Vita vya Nyuklia au Kuianzisha?"

    ISRAEL NA IRAN 2025 KUCHOKOZA FUKUTO LA VITA KUBWA ZAIDI MASHARIKI YA KATI Je, Israel Imezuia Vita vya Nyuklia au Kuianzisha?" Na MALEKOGJ Katika saa za giza alfajiri ya Ijumaa, jeshi la anga la Israel lilianzisha kile kinachoitwa Operation Rising Lion shambulizi la anga kubwa zaidi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vimondo vya Iran vyaanza kutua Israel

    Fuatilia live hapa https://www.youtube.com/live/9gIWtJP2rAQ?si=BssY2fnzyNQvaTkf
  11. W

    JamiiForums Tanzania Orodha ya viongozi na wanasayansi waliouawa na viwanda vya nuclear vilivyoharibiwa na Israel

    Mashambulizi haya yametikisa misingi ya ulinzi wa Iran, uu si mzozo wa kawaida, ni vita ya akili, ujasusi na teknolojia. Ndani ya lisaa pekee usiku wa manane Israel waliweza kushambulia viongozi wakuu wa majeshi ya Iran na wanasanyansi wakubwa wa nuclear, Israel haipigani vita, Inajilinda...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Iran yarusha makombora ya masafa marefu kwenda Israel muda huu

    Sirens are sounding across Israel amid a major Iranian ballistic missile attack. An estimated 100 missiles were launched from Iran at Israel, according to an Israeli military source. Detecting missile attack from Iran, IDF orders civilians to enter shelters By Emanuel Fabian Follow Today, 9:07...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Israel yashambukia kinu kingine Cha nuclear Iran

    Wadau hamjamboni . nyote Milipuko miwili imetokea karibu na kituo cha nyuklia cha chini ya ardhi cha Fordo nchini Iran, shirika la habari la Fars linalohusiana na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limethibitisha. Two explosions hit areas near Iran's Fordo nuclear site - IRGC...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza azungumza na Netanyau na kusema Israel has the right to self defense

    Wadau hamjamboni Britain has “grave concerns” over Iran’s nuclear program and believes Israel has the right to self-defense, Prime Minister Keir Starmer told his Israeli counterpart Benjamin Netanyahu on Friday, Starmer’s spokesperson says. “The prime minister was clear that Israel has a right...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani imehusika kwa kiwango cha kutosha kabisa katika kuisaidia Israel kuitandika Iran

    Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran. Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani. Uwezo huo wa midair refueling Israel haina. Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo. Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan...
  16. JamiiForums Tanzania Video: Ndege ya kivita ya Israel kwenye anga la Iran!

    Hiyo ni video ya leo ndege ya F 35 Ikionekana ikiambaa ambaa anga la iran ikicheza alafu ikapotea[emoji23][emoji23][emoji23] Namna iran ilivyokuwa inajisifia na ilivyobondwa aibu sana Mtu kaingia nchi yako kauwa hadi mkuu wa majeshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tarehe 13 Juni 2025...
  17. JamiiForums Tanzania Ujerumani yaishutumu Iran kwa kuishambulia Israel maajabu duniani hayawezi kwisha

    Taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya Ujerumani baada ya mashambulizi ya Israel katika nchi ya Iran. Taarifa ikiishutumu Iran kwa kuishambulia Israel. Inaonekana Ujerumani inateswa na historia yake Hali ya Mashariki ya Kati imezidi kuwa mbaya kwa kasi kubwa usiku wa kuamkia leo. Israel...
  18. JamiiForums Tanzania Israel watajutia milele kwa walichokifanya huko Iran

    Netanyahu na wenzake wamefanya kosa kubwa sana. Kinachoenda kufuata itabaki kuwa Story Majibu ya Iran yataishangaza dunia Kwasababu Iran wanaenda kumaliza kazi waliokua wanaingoja kwa hamu siku zote Waliita Iran baba lao sasa wamemgusa kichwa cha Pweza Yajayo yanasikitika, Hii ni vita ya...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Israel yaanza kuitandika Iran tena muda huu

    Wadau hamjamboni nyote. Mlipuko mkubwa ulisikika muda mfupi uliopita karibu na kambi ya kijeshi ya kijeshi katika mkoa wa Hamedan magharibi mwa Iran, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti, kufuatia shambulio kubwa la Israel dhidi ya nchi hiyo. "Saa chache zilizopita, mlipuko mkubwa...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Baraza la Usalama la UN kukutana kwa dharula kujadili shambulizi la Israel dhidi ya Iran

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kukutana baadaye leo Ijumaa kujadili mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran, wamesema wanadiplomasia. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, aliomba kikao hicho kupitia barua kwa Baraza hilo lenye wanachama 15, akisema kuwa "Israel sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…