iran

  1. U

    JamiiForums Tanzania Iran yadai Israel inapenda kuchochea migogoro na vita nchi nyingine lakini yenyewe Haina Uwezo Wala Nguvu za kuanzisha Vita dhidi yake!

    Iran yadai Israel inapenda kuchochea migogoro na vita nchi nyingine lakini yenyewe Haina Uwezo Wala Nguvu za kuanzisha Vita dhidi ya Iran! Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu hayo ni mapya kutoka Tehran Kwa naibu waziri mambo ya nje Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ALI BAGHER. Naibu waziri...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Kizayuni: Kiyama kitaishukia Israel kama Iran na Hizbullah zitashambulia kwa pamoja

    Gazeti moja la Kizayuni limetangaza kuwa, kiyama kitaishukia Israel iwapo Iran na Hizbullah zitaamua kufanya mashambulio ya pamoja dhidi ya utawala wa Kizayuni. Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronot limetangaza habari hiyo katika toleo lake jipya kabisa na kusisitiza kuwa, utabiri wa mashirika...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Palestina ni wahanga, Iran na Israel hawachekani, ila Marekani wapewe maua yao

    Ni bahati mbaya kuwa mashariki ya kati mpalestina ni mhanga wa udhwalimu. Kwamba yalimkuta tokea 1947 huko, kumbe ana uchaguzi upi mwingine? Kwa hakika Gen Z wamepata funzo: "Haki hupiganiwa kwa wivu mkubwa hata kama ni kwa kupoteza kila kitu yakiwamo maisha." Kwamba vita ni rasilimali ziwe...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais wa Iran amuomba Ayatollah Khamenei kutokuishambulia Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litalopelekea kuanguka Dola hilo

    Breaking News Rais wa Iran amsihi Kiongozi Mkuu Ayatollah khamenei asithubutu kuishambuli Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litakalopelekea kuanguka Kwa utawala wa Kiislamu nchini humo Wadau Hamjamboni nyote? Hizo ni taarifa mpya kabisa za ndani Rais amemuonya Kiongozi wake Mkuu kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania VOA; Mshirika wa Putin afanya mazungumzo nchini Iran huku Mashariki ya Kati ikielekea ukingoni mwa vita vikubwa

    Wanaukumbi. MOSCOW - Mshirika mkuu wa Rais Vladmir Putin aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatatu kwa mazungumzo na viongozi wa Iran akiwemo rais na maafisa wa ngazi za juu wa usalama huku Jamhuri ya Kiislamu ikitathmini majibu yake kwa mauaji ya kiongozi wa Hamas. Urusi imelaani mauaji ya...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Iran yaweza kuishambulia Israel ndani ya saa 48

    Iran imesema kwamba itaishambulia nchi ya Israel ndani ya masaa 24 yajayo Iran haijajulikana itafanya mashambulizi Gani lakini marekani wamesema kwamba Iran unaweza kuyatumia makundi yake yanayowaunga mkono kutoka nchi za Lebanon, Syria na Yemen kuishambulia ISRAEL apo kesho usiku. Na katika...
  7. JamiiForums Tanzania Israel yaenda kwa swahiba yake Misri kutaka mazungumzo ya kusitisha vita na Hamas, huku Iran ikikataa unafiki wa nchi za kiarabu kutaka kuzuia vita

    Hapo juzi wajumbe wa Israel walielekea nchini Misri bila mwaliko rasmi ikitaka mazungumzo yaliyodorora ya kusitisha vita yafufuliwe tena.Hiyo ilikuwa ni siku mbii tangu kuuwawa kwa Ismail Haniye ndani ya Iran ambapo Iran imeahidi kulipiza kisasi. Sambamba na hatua hiyo ya Israel leo Iran...
  8. JamiiForums Tanzania Urusi kuisaidia Iran Tujiandae kuona nchi za kiarabu zikiingia kwenye matatizo makubwa.

    Hili lipo wazi kabisa kwa sasa . Kitendo cha Urusi kutangaza wazi ushirikiano wake na Irani Tujiandae kuona nchi za kiarabu kuwa uwanja wa vita. Kambi za kijeshi za wamarekani zilizopo katika nchi za kiarabu kwa sasa zitakua ni shabaha ya silaha za urusi na Iran. Hii ndio chance pekee aliyopata...
  9. JamiiForums Tanzania Afisa Mwandamizi wa Jeshi la Urusi Sergey Shoigu kaingia Iran

    Viongozi Waandamizi wa Jeshi la Urusi wameanza kuingia Iran ikisadikika kua ni katika mikakati ya kutoa code za nuke zana zingine za kimapigano ⚡️Sergei Shoigu has just arrived in Iran. 🚀☢️What is going on? ‼️🇮🇷🇷🇺 Breaking: Sergrey Shoigu, Secretary of the RF security council, has landed in...
  10. JamiiForums Tanzania Putin: Tutamjaza Iran kama US inavyompa silaha Ukraine

    || RUSSIA 🇷🇺 || USA 🇺🇲 || 🔴President Putin to Joe Biden: "We will arm your enemies just like you arm the enemies of Russia.”•
  11. JamiiForums Tanzania Jamii ya Wayahudi wa Iran wameandamana kutaka Iran ilipize kisasi kuibonda Israel

    Iran’s Jewish community demands revenge after Israeli assassination of Haniyeh Saturday, 03 August 2024 10:41 AM [ Last Update: Saturday, 03 August 2024 2:56 PM ] Rabbi Younes Hamami Lalehzar, the leader of Iranian Jews and two other Jewish Rabbis, stand behind a banner during a rally in...
  12. JamiiForums Tanzania Iran imeagiza mzigo wa kutosha pamoja na specialist toka China na Russia

    🚨Haijafahamika ni kwa dhumuni gani ila Iran imeagiza zana nzito toka Russia na China huku kuliwa na hofu kua ameagiza Electronic Jamming System na Iskender missile. Pia wamesisitiza specialist wa hizo wawepo kwa ajili kuinstall zana hizo. Update: Reports that Iran has requested an emergency...
  13. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kipi bora Iran ifanye ili ipate ushindi na kutoa funzo kwa Israel?

    Marekani ilisema Iran ingeaanza kujibu mauwaji ya Ismael Haniye masaa 72 baada ya tamko la Ayatollah Khamenei kwamba wataipiga Israel moja kwa moja. Kwa kujua Israel ina silaha bora na inasaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Marekani.Kwa namna gani unafikiri Iran itaweza kuingia vitani kuwatetea...
  14. JamiiForums Tanzania Uturuki nayo yatuma zana za Kivita Iran

    Uturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN, on the route Tehran-Ankara-Instabul. In same time Russian special squadron Il-96 flew also twice in two days+one Russian Il-76 .
  15. JamiiForums Tanzania Iran yawatia nguvuni maafisa usalama na wa jeshi zaidi ya 20 kwa usaliti.

    Inaripotiwa mamlaka za Iran zimewatia nguvuni maafisa zaidi ya 20 wa idara za ujasusi, usalama na jeshi wa nchi hiyo pamoja na wasaidizi wao wengi kufuatia tukio la hivi karibuni la kuuwawa kwa kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh ndani ya ardhi yake alipofika kuhudhuria uapisho wa rais mteule wa...
  16. JamiiForums Tanzania Angalia makomando wa Iran walivyo imara

    Naionea huruma Taifa teule la Israel nikiangalia hii picha ya makomando wa Iran. Wako fit balaa. Hakuna yoyote jeshi Israel anaweza piga huo msamba. Halafu huyo aliyesimama kushoto kavaa kanzu nyeusi (dera) unaambiwa anatembeza mkono usipime ni hatarii balaa anapiga ngumi za uhakika huyoo...
  17. JamiiForums Tanzania UTATA: Huenda kiongozi mkuu wa Hamas aliuawa na maafisa wa Iran?

    Hali ya usalama inazidi kuwa tete huko Tehran, Iran baada ya serikali ya nchi hiyo kuanza uchunguzi wa maafisa wake wa usalama kuhusu kuhusika kutoa usaidizi kwa Israel katika njama za mauaji ya kiongozi mkuu wa Hamas wiki hii. Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya uhakika inaonyesha namna gani...
  18. JamiiForums Tanzania Jukumu la kuwatetea wapalestina si la Iran pekee

    Hatua inayofuata kutokana na vita kati ya Israel na Hamas itakuwa ni vita vigumu na vya muda mrefu sana. Tayari mataifa washirika wa Israel katika juhudi ya kupotosha na kupunguza athari zake wameanza kutangaza kuwa ni vita kati ya Iran na Israel. Kiukweli vita hivyo ni kama fursa muhimu ya...
  19. JamiiForums Tanzania Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

    Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
  20. JamiiForums Tanzania Iran Wasituletee Vikombola Vyao vile Vyenye speed ya Bajaj(Masaa manane viko angani)

    Safari hii tunataka kuona uwezo wao. Nyuma hapo walituletea vidrone na vikombola vyao masaa manane viko angani. Viliishia Njiani tu. Huwezi kumpiga mu Israeli kwa kutumia vile vitoi. Safari hii tunataka kuona vitu. LA sivyo aache kupiga makelele.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…