iran

  1. JamiiForums Tanzania This time Hezbollah na Iran tumeshindwa. Hili halina tena kificho. Tujipange upya next time

    Hawa waasi wa Syria wamepata nguvu kutokana na mambo makuu mawili 1. Kushindwa kwa Hezbollah huko Palestina. Hezbollah ndo walikuwa kikwazo kikubwa kwao 2. Hali mbaya ya Iran pamoja na Syria 3. Vita vya Urusi na Ukraine. Sababu hawa ndo marafiki wakubwa wa Assad jemedari wetu. Kwa sasa Russia...
  2. JamiiForums Tanzania Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

    Wanaukumbi. Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad. Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria. UP DATE=============== 🇸🇾 Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia...
  3. JamiiForums Tanzania Toka Mchamba Wima hadi Iran, nahitaji kwenda kutafuta maisha

    Vijana wengi hapa Mchamba Wima wamekimbilia Marekani, Canada na UK kutafuta maisha. Mimi naona wamepotea. Mimi nataka kwenda Iran au Saudi Arabia naamini Waarabu na Waajemi watanipokea na kunipa mke nioe ili niweze kupewa ukaazi wa kudumu. Ikiwa wale walioenda marekani, canada na uk wameoa...
  4. JamiiForums Tanzania Daniel Khalife found guilty of spying for Iran

    Former British army soldier Daniel Khalife has been found guilty of spying for Iran. Khalife, who escaped prison while awaiting trial, collected information and passed it to Tehran and was found to have gathered the names of special forces soldiers. He was cleared of a charge of perpetrating a...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Biden kainyima Israel silaha wakubali ku "pause" vita, zimebaki siku 60 Trump kipenzi cha Israel kuapishwa, Vikundi vya Iran vitapata taabu sana

    Kinachoendelea white house Biden kabakiza siku 60, anafanya kila namna kumsagia kunguni Trump na kulazimisha apewe sifa kwa mabavu. Kairuhusu Ukraine itumie makombora ya masafa marefu kwa lengo la kuchochea vita, Trump aingie madarakani vita ikiwa ngumu sana kuisuluhisha, Mpango huu kwa kiasi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Mossad walivyomua Ismail Haniyeh. Kwanini hawakumuulia Qatar ambako ilikuwa rahisi, wakaenda kumuulia almost ndani ya Ikulu ya Iran

    Ilikuwa majira ya saa saba usiku na dakika 37, tarehe 31 July 2024, ndani ya jiji la Tehran nchini Iran. Mlipuko mkubwa ulisikika sehemu ambayo daima dumu usingetarajia. Mlipuko ule ukaondoka na maisha ya Ismail Haniyeh, aliyekuwa kiongozi mkuu wa Hamas. Mgogoro wa Mashariki ya Kati umekuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

    Israel kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800. Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha...
  8. JamiiForums Tanzania Tofauti na Iran na vibaraka wake, tishio kubwa katika nchi za magharibi ni mrengwa wa kushoto (liberals, far lefts and woke culture)

    Wanatengeneza kansa katika jamii zao kwa ajili tu ya kuwafurahisha wahamiaji holela, LGBTQ, Feminists, Anti-Christs, #freepalestine (utapeli) , etc Kama ilivyo sera yao ya uhuru na Hatua za bila mipaka itapelekea msingi wa familia kuharibika, jeshi kuwa dhaifu kutokana na influence ya upinde...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yafunga kiwanda chake cha kutengeneza magari kilichojengwa Syria miaka 20 iliyopita, sababu za kiuchumi na mahusiano mabaya zatajwa

    Wadau hamjamboni nyote? Kiwanda cha magari cha saipa kilijengwa na Serikali ya Iran huko Syria mwaka 2004 kwa ajili ya kuzalisha magari Hakuna kiwanda cha Iran kinachoendelea na uzalishaji nchini Syria kwa sasa Serikali ya Iran ikimiliki asilimia 80 huku Syria ikimiliki asilimia 20 Syria...
  10. JamiiForums Tanzania Trump aanza mazungumzo ya siri na Iran

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump, ameanza mazungumzo ya siri na Iran ili kufikia makubaliano. Mazungumzo haya yalifanyika kwenye eneo lililochaguliwa na Balozi wa Iran kwenye umoja wa mataifa. Trump aliwakilishwa na Elon Musk kwenye mazungumzo hayo na Iran iliwakilishwa na Balozi wa Iran...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kituo cha siri cha kijeshi cha utafiti wa silaha za nyuklia cha Iran kilisambaratishwa shambulizi la mwezi uliopita la IDFS

    Hatimaye siri zaanikwa hadharani Kituo cha kijeshi cha Parchin kilikuwa na vifaa vya kubuni milipuko kwa ajili ya matumizi katika bomu la nyuklia. Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) ametembelea maeneo ya nyuklia ya Iran, huku Iran ikiripotiwa kuahidi kwamba haitajaribu...
  12. JamiiForums Tanzania Oparesheni Ahadi ya 3 ya Iran (Operation True Promise 3) imefia wapi?

    Tulisikia sana, na wababe wa Tanzania wakaimba Mazayuni watajuta. Anga likafungwa tarehe 4 hadi 6 Novemba 2024 tukajua ahadi ya 3 ya ukweli imewadia. Nauliza, hii oparasheni tuliyoingojea kwa hamu kuwaadhibu mazayuni imefia wapi? Au Iran karidhika na majibu ya mazayuni au wanasubiri Turampu...
  13. JamiiForums Tanzania Scoop: Israel destroyed active nuclear weapons research facility in Iran, officials say

    Axios Axios 4 hours ago -World Scoop: Israel destroyed active nuclear weapons research facility in Iran, officials say Barak Ravid A Maxar closeup satellite imagery of the Parchin Military Complex in Iran from Nov. 2022. Photo: Satellite image (c) 2022 Maxar Technologies. The Israeli...
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Iran waanza kuona kero za umeme wa Mgao - Israel haihusiki

    Iran imetangaza ratiba ya mgao wa umeme wa nchi nzima kuanzia Jumapili, ya juzi kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya gesi asilia huku kukiwa na baridi kali, ambayo imesababisha uhaba wa mafuta katika vituo vya umeme...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ya Kiislamu ya Iraq yapendekeza sheria Watoto Miaka tisa kuolewa

    Sheria mpya inayopendekezwa nchini Iraq inayolenga kupunguza umri wa ridhaa ya Ndoa kwa Wanawake hadi miaka tisa jambo linalolenga kuruhusu Wanaume Nchini humo kuoa Wanawake wakiwa na Umri mdogo, imepingwa vikali na Wanaharakati Nchini humo wakidai kuwa ni yenye kuhalalisha udhalilishaji wa...
  16. JamiiForums Tanzania Donald Trump Kumpa Uhuru Netanyahu Dhidi ya Iran

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CIA, amesema kwamba anatarajia serikali ya Donald Trump, tofauti na Setikali ya Biden, itampa Netanyahu uhuru wote dhidi ya Iran, yaani Israel iamue wakati gani wa kuishambulia Iran, iishambulie Iran kwa namna gani, na ishambulie maeneo gani. Ikumbukwe kuwa utawala...
  17. JamiiForums Tanzania Nafikiri hivi ndivyo mambo yatakavyo kuwa kama ikitokea kwa asilimia kubwa ulimwengu ukawa chini ya influence ya Russia, China, Iran na marafiki zao

    GEOGRAPHICALLY North Korea atamvamia South Korea ili kutengeneza Korea ya Mamlaka yao China itazichukua Taiwan na Hong Kong kwa asilimia 100. Russia atamchukua Ukraine, Georgia na vinchi vidogo vidogo vya ulaya vile ambavyo vilikuwa chini ya USSR. Iran atamtoa muisrael huku akitengeneza nchi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Niliona Post humu kuwa Iran ingefunga anga trh 4 - 6. Kiko wapi!

    Mikwala Miiiiiiiiiingi kama Russia. Nakumbuka zamani mtu anatishia kupigana huku akivua shati na kutema mate chini halafu harushi hata ngumi moja. Samaleko ndugu zangu wavaa kobasi na suruali za Kareti
  19. JamiiForums Tanzania Iran isitumie nguvu kubwa Israel imeshatepeta ni ya kujipigia tu

    Waajemi wasitumie nguvu kubwa sana wakati wa kuidhibu Israel ambayo ni dhaifu sana imetepeta vibaya makombora ya Hizbollah yameiharibu kabisa na mifumo yao ya ulinzi imeparalaizi haina uwezo wa kupangua zaidi kulipuliwa ikiwa na air defence missile. Na tayari wameshaanza kufarakana ni jukumu la...
  20. JamiiForums Tanzania Iran inaandaa shambulio kubwa na tata kulizuia

    Habari wana jf . Kama mnafuatilia mgogoro wa iran vs Israel.Hii hapa habari mpya --- Tel Aviv: In a major possible escalation amid the ongoing war between Israel and Iran, the Iranian army is preparing to respond to Israel’s attack that took place on October 26. Iran is expected to use more...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…