iran

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kituo kikuu cha kuzalisha gesi Iran nacho kinaungua mda huu!

    Al Jazeera wanatangaza Kituo Cha gesi Cha South Pars gas kilichopo kusini mwa Jimbo la Bushehr. Kadhalika Netanyahu ametangaza operation kubwa kuendelea dhidi ya Iran. (Al Jazeera News 1900 hrs) ==== Israeli forces struck Phase 14 of the South Pars gas field, causing a fire in parts of the...
  2. JamiiForums Tanzania HAMAS kwa unyonge wasema Iran inapigwa kisa imesimama nao, wailiwaza Iran

    HAMAS, magaidi ya waislamu wasikitishwa sana na kinachofanywa kwa Iran, wasema Iran inalipa gharama kwa kusimama nao kwenye ugaidi wao dhidi ya Israel........ Hamas declared its support for Iran following Israeli strikes, saying Iran is "paying the price" for backing Palestinian resistance...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ali Khamenei na kabineti yake wameikimbia Iran, nini wanakiogopa?

    Why are they run away to unknown?
  4. JamiiForums Tanzania Ndege 70 ziliruka kwenye anga ya Iran kujipigia, zijageuza zote, hamna hata moja iliyoangushwa

    Makobaz wanazusha kwamba ndege moja ya Israel ilidunguliwa, ifahamike utaalam wa hizi ndege ni wa hali ya juu, yaani radar zenu zinagundua uwepo wa ndege kama tayari ndege imeshapita na kurusha mabomu yake, yaani mnaona uwepo wa ndege na kuanza kuhaha, kumbe ilishapita baada ya kufanya...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa shambulizi la jana la iran ndani ya ardhi ya israel je wanautofauti wowote na Hamas?

    Jeshi la iran kwa mujibu wao limefungulia mlango wa kuzimu jana Kwa kurusha drones za kubahatisha yaani iue yoyote Kwa maskitiko imeua watu watatu wasio na hatia Je hili jesh tofauti yao na magaidi wa hamas na hezbolla ni ipi? Jeshi lenye ueledi haliwezi kurusha mabomu km kichaa huo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa katika Bunge la Iran. Israel Anaomba Iran Isiwashambulie

    Kumekucha Israel kanza kuomba nchi za Jiran zimsemeshe Iran asiwashambulie. Vichaa kweli hawa Israel wanataka Iran wasirudishe mashambulizi hahaha nadhani Israel wameisha changan'yikiwa.
  7. JamiiForums Tanzania Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini kuliko iran,

    Uchambuzi Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini zaidi kuliko iran, lakini iran ni nchi yenye jeshi imara lenye uwezo wa kutengeneza mabomu ikiwemo nuclear japo kwa sasa haina silaha hiyo kwa sasa hivyo inajeshi lenye uwezo wa juu kuliko Tanzania na afrika kwa ujumla. lakini iran ni...
  8. JamiiForums Tanzania Zelensky: Ugomvi baina ya Iran na Israel usisababishe nikakosa misaada

    Zelensky anaomba USA na maswahiba zake wasije wakazama sana katika kumpiga TAFU Israel mwisho wa siku wakamsahau yeye na Ukraine yake. Bado anahitaji sana misaada. https://x.com/BRICSinfo/status/1933872405090566267 JUST IN: 🇺🇦 Ukrainian President Zelensky says he hopes Israel's conflict with...
  9. JamiiForums Tanzania Israel inaendelea na mashambulizi dhidi ya Iran, jeshi lasema

    Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) linasema kuwa linaendelea na mashambulizi ya anga katika maeneo ya Iran. Katika taarifa fupi iliyotumwa kwa Telegram, IDF ilisema kwamba "Jeshi la anga la Israel linaendelea kulenga shabaha ili kuondoa vitisho nchini Iran". Taarifa hiyo ilichapishwa pamoja na...
  10. JamiiForums Tanzania China yalaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran

    China inalaani "ukiukaji wa Israel wa mamlaka, usalama na uadilifu wa ardhi ya Iran", mjumbe wa Umoja wa Mataifa Fu Cong alisema katika mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa saa chache zilizopita. Beijing "ina wasiwasi mkubwa" juu ya athari mbaya ya hali ya sasa katika...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz,

    Wadau hamjamboni nyote te, Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz, kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi anasema Kamanda Mwandamizi wa Walinzi wa Mapinduzi Esmail Kowsari alisema Jumamosi kwamba Iran inafikiria kufunga mlango wa kimkakati wa Hormuz ili kukabiliana na...
  12. JamiiForums Tanzania Hii misumari ya Iran ni balaa

    Video hapo chini
  13. 5

    JamiiForums Tanzania Iran yaonya kushambulia vituo vya US, Uengereza na Ufaransa kama zitajaribu kuikingia kifua Israel

  14. 5

    JamiiForums Tanzania Nilienda mafichoni zaidi ya mara 5 wakati Iran inashambulia Tel Aviv - Balozi wa US nchini Israel

    Ndivyo ilivyo kuwa wakati Iran inaijibu Israel usiku wa kuamkia Jumamosi
  15. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa wataalam tisa wa nyuklia Iran wameuawa, watamaliwa wote

    Ni hatia kwa kobaz yeyote kubobea kwenye utaalam wa nyuklia, utawindwa popote, sijui Pakistan waliachiwa aje, uzuri India wanawapumulia huko, japo siku Pakistan watajifanya kuonyesha chuki kwa Israel, na wao watafuatwa huko huko... Israel anawamaliza wataalam wa nyuklia Iran, ukiwa kobaz jikite...
  16. JamiiForums Tanzania Kwani Azam media mnaundugu na Iran au Israel?

    Yaani nawasha tv kuangalia jinsi Mu-Israel na Mu-Iraq wanavyochapana jibu ni NO SIGNAL Kwani nyie vita vyao vinawahusu Nini kukata channel dadeki 😔😔😔
  17. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kupigana vita Iran niwasaidie kijeshi.

    Mimi sio mwanajeshi ila nataka kuwasaidia Iran dhidi ya Israel...! Nataka kufa nikiwasaidia watoto wazee na wanawake wajawazito.. nitumie njia gani kisheria kutambulika kutoa msaada huu wa kijeshi..??
  18. JamiiForums Tanzania Iran umenivunja moyo wangu

    Nimeishi maisha yangu nikijua kua Mtawala wa mashariki ya kati kiuchumi na kijeshi ni Irani.. Jeshi lenye nguvu la mashababi na viongozi wa kijeshi mashababi ni irani Sasa hiki ni nini mngu wangu!!!! Leo naandika kwa machozi mazito Aaah😭😭 irani umenivua nguo. Wenzio wamepeleka ndege wew...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Israel Katz amemuonya kiongozi wa Iran, Ali Khamenei, kwamba iwapo makombora yataendelea kurushwa kwa Israel, Tehran itaungua.

    Wadau hamjamboni nyote. Live Update arrow right icon From the Liveblog of Saturday, June 14, 2025 Katz: ‘If Khamenei continues to fire missiles at the Israeli home front, Tehran will burn’ By Emanuel Fabian Follow Today, 12:16 pm Defense Minister Israel Katz warns Iran’s leader, Ali...
  20. JamiiForums Tanzania Tehran, Iran kutiwa kiberiti kama wakiendelea kushambulia maeneo ya raia wa Israel

    Iran wanalenga maeneo ya raia maana makambi ya kijeshi yameshindikana, mpaka sasa hivi wamefaulu kuua raia wanne wa Israel. Israel imetoa tahadhari wakiendelea hivi basi na yenyewe itaamua kutia kiberiti mji wote, ifahamike Israel wana uwezo wa ile bomu ya MoB yaani mother of all bombs, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…