iran

  1. JamiiForums Tanzania Iran inatumia akili gani kujisifia kwamba ilishaficha madude ya nyuklia na kwamba Marekani hakupiga kitu

    Yaani mtu uko mnyonge, halafu mbabe wako amekuja akakupiga akiamini una kitu fulani, ukapigika haswa, mbabe akaondoka akiamini amekupiga, baadaye unajisifia unasema ooohhh hicho kilisababisha unipige hukukiona, nimeshakificha sehemu......Ina maana mbabe anapata sababu tena za kugeuza aendelee...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Trump anampenda sana Mungu: Sikiliza alivyohitimisha hotuba yake baada ya kuvisambaratisha vinu vya nyuklia – Iran

    Katika hotuba yake aliyoitoa Ikulu - White House, mara baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya vinu vya nyuklia vya Iran, Rais Donald Trump amehitimisha hotuba hiyo kwa maneno ya kugusa sana moyo, yanayoonesha wazi kuwa anamcha Mungu kwa dhati na kutambua uongozi wake mkuu. Namnukuu...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Trump: Ama kutakuwa na amani au msiba kwa Iran; tumebakiwa na malengo mengi

    Trump: Ama kutakuwa na amani au msiba kwa Iran; tumebakiwa na malengo mengi Na Jacob Magid Fuata Leo, 5:18 asubuhi "Hili haliwezi kuendelea. Kutakuwa na amani au kutakuwa na janga kwa Iran kuliko tulivyoshuhudia katika siku nane zilizopita," Rais wa Marekani Donald Trump anasema katika hotuba...
  4. U

    JamiiForums Tanzania US kashambulia hewa Iran ilihamisha Kila kitu kwenye vinu vya nuclear vilivyopigwa

    1 hour ago Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated "The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US announced airstrikes on the Fordow, Natanz, and Isfahan nuclear facilities.
  5. JamiiForums Tanzania Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

    Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran vilivyoko Fordow, Natanz na Isfahan huku akiwaonya Iran kutolipiza kisasi Pia Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amepongeza hatua ya Rais Trump akiiita “uamuzi wa kishujaa” na kusema kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Vichekesho vya Afrika: Waislamu wote wanadai Iran itashinda, Wakristo wanadai Israel itashinda.

    Wa Afrika mmerogwa na nani? Mmeshindwa kubaini wasio julikana wanaowateka na kuwaangamiza ndugu zenu mnakaa kusimuliana hekaya ambazo hata haziwahusu. Kama haitoshi miaka nenda rudi ndugu zenu wa Congo wanaishi kama digidigi lakini hakuna anayejali. Natamani kuwaita kenge weusi nyie sema JF...
  7. JamiiForums Tanzania Israel yaanza kuwinda meli za kijeshi za Iran

    Ndege zinaruka na kujipigia chochote, hamna Kinga wala namna ya kuzuia, zinapiga popote na chochote, kwa utashi wa rubani, yeye ndiye anaamua apige nini akiwa huko angani.... Israel's military is striking drone storage facilities located at an Iranian naval base in Bandar Abbas, a strategic...
  8. JamiiForums Tanzania Ndege za Iran aina ya F-14 zalipuliwa, hamna kinachosazwa

    Mambo yamekua mengi sijui tufuatilie ipi, Iran anachofanyiwa.... The IDF struck three Iranian F-14 fighter jets in central Iran, the Israeli military said on Saturday evening. The military also said the IDF was striking military infrastructure across central Iran, in addition to strikes on...
  9. JamiiForums Tanzania Kitu gani unaweza kukisema kibaya au kizuri Kwa Israel au Iran bila kuweka mapenzi yako ya kidini?

    Kuna jambo gani unadhani Iran au Israel wanafanya ambalo ni zuri au baya bila wewe kuweka propaganda za mitizamo yako kutokana na dini uliyomo? Kwa mfano mambo haya yafuatayo unayaonaje kuhusu nchi hizo mbili hasimu? 1. Maendeleo ya sayansi na teknolojia. 2. Mifumo ya kidemokrasia 3. Uhuru...
  10. JamiiForums Tanzania Muda wowote Israeli wanamuua Kiongozi wa Iran hivyo nae kaamua Kuteua Mrithi wake na Wengineo katika Jeshi la Iran

    Kifupi Waisraeli huwa hatunaga Kazi Mdogo. Ukiona hadi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE tokea ajiunge na JamiiForums avatar yake imekuwa ni ile ile ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin BIBI Netanyahu jua nimeshajiridhisha nayo kuwa ni Mtu sahihi halafu tunafanana kwa Characters za AKILI KUBWA, MAONO...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Israel Ameinua Mikono Hatuwezi Kuendelea Na Vita Bila Lengo Na Lengo Letu Si Kubadili Kiongozi Wa Iran

    Habari ya mjini ndio hio https://youtu.be/Zi_zcRCWIq8?si=EceJr5gN4HaAB4tI Iran pia kasema Dimona Nuclear inaweza kuwa target kutokana na vita inavyo kwenda.
  12. JamiiForums Tanzania Iran na israel watabadilishana majasusi hivi karibuni

    Iran iliwakamata majasusi watano wa Israel ikiwahusisha na kudukua mfumo wa anga la tehran na kuwatumia wenzao wa israel na siku moja baadae Iran ikapoteza uthibiti wa anga na kupelekea kushambuliwa vibaya Sasa kumbe israel ilikuwa inawajua majasusi ya tehran baada ya kuona ile habari na wao...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Nasrallah aliuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel nchini Iran

    Mlinzi wa Nasrallah aliuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel nchini Iran - Al Arabiya Aliyekuwa mlinzi wa muda mrefu wa Katibu Mkuu wa Hezbollah Hassan Nasrallah Abu Ali al-Khalil aliuawa katika shambulio la anga huko Tehran, Al-Arabiya iliripoti ikinukuu vyanzo vya Hezbollah. Mtoto wa...
  14. JamiiForums Tanzania Msemaji Wa Houthi: Tutashambulia kambi zote na manuwari zote za US ikiwa US itaigusa Iran

    —❗️🇺🇸/🇾🇪/🇮🇷 BREAKING: The spokesman of Yemen's Ansarallah, Yahya Saree, confirms that Yemen will target all American navy and commercial vessels in the Red Sea and Bab Al-Mandab if the U.S. bombs Iran @Middle_East_Spectator
  15. U

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 Iran ilishambulia kwa drones mitambo ya kuzalisha mafuta ya kampuni ya Saudi Arabia ya Aramco na kufanya uharibifu mkubwa

    22.09.2019 Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Jumamosi alisema Iran inahusika na mashambulizi ya Aramco. "Tuna uhakika kwamba makombora yanayolenga Aramco yanatoka kaskazini, sio Yemen. Saudi Arabia inajaribu kutafuta mahali ambapo makombora yanarushwa," Adel al-Jubeir alisema katika mkutano...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Iran Hassan Rouhani aliwahi kumuonya Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei kuwa "Mossad iko karibu na sisi kuliko masikio yetu"

    Rais Mstaafu wa Iran Hassan Rouhani aliwahi kumuonya Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei kuwa "Mossad iko karibu na sisi kuliko masikio yetu" - kauli ambayo sasa inaonekana kuwa muhimu zaidi kuliko hapo awali. Soma kwa kimombo,Years ago, former intelligence minister Ali Younesi revealed...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu Unampa ushauri gani Waziri Mkuu Benjamin Netanyau kuhusu sera nzuri kwa Israel baada ya kuisha kwa vita dhidi ya Iran

    Uzi Maalumu Kila jambo lina Mwisho njia bora kujenga amani ya kudumu ni muhimu
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi la magnitude 5.5 limerekodiwa Iran karibu na fordow nuclear site

    Tetemeko la ardhi lime tokea Iran siku ya leo majira ya saa tatu asubuhi lenye ukubwa wa magnitude 5.5 kwenye jimbo la Qom ambalo lipo karibu na Fordow nucleur site. Hakuna ripoti ya majanga japo inahisiwa kuna kitu kilikuwa kinajaribishwa Mnamo mwaka 2017 korea kazkazini walijaribisha Atomic...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanasayansi , Mabrigadia na makanali kadhaa wa Iran, wauawa kinu cha nyuklia pia chalipuliwa

    Katika muendelezo wa kuikomboa Israel kutokana na tishio la kufutwa kwenye ramani ya dunia, inaendelea kuhakikisha watakaobaki Iran hawatawahi kuwa na wazo kama hilo, hii itakua funzo pia kwa mataifa mengine yote ya waislamu, wakubali kuishi na watu kwa amani, acheni chokochoko dhidi ya dunia...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi wengine wa kijeshi wa Iran wameuwawa na IDF

    Hawa wa Israel ni changamoto sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…