Kombe la Dunia la FIFA 2026, mashindano makubwa ya kimataifa ya soka, yanaanza rasmi Juni 11, 2026 na kuleta pamoja timu bora za Taifa kutoka duniani kote. Kwa mara ya kwanza katika historia, mashindano haya yanaandaliwa kwa ushirikiano wa nchi tatu: Marekani, Canada, na Mexico.
Idadi ya timu...
Video inajieleza
Inaonesha victims wa USA (Vietnam, Gaza, Japan (Hiroshima), Iran nk) wananchi wake wakiwa wanaangalia juu, yani wanaliangalia bomu likiwa linapaa juu, kisha mwisho wa video unaonesha bomu lenye bendera ya Iran likitua jijini New York City na kulipua Statue of Liberty 🗽 ikiwa na...
Jeshi la Anga la Israeli lilifanya shambulio sahihi huko Bandar Abbas ambapo Alireza Tangsiri, ambaye alikuwa kamanda wa Jeshi la Wanamaji la IRGC kwa miaka minane iliyopita aliondolewa.
Tangsiri alihudumu katika nafasi kadhaa muhimu ndani ya Jeshi la Wanamaji la IRGC, ambapo alisimamia...
Uganda’s Minister of Energy and Mineral Development, Ruth Nankabirwa, has issued an update on the country’s fuel prices and supply, discouraging oil marketing companies from making unjustified price increases.
In a statement, Hon. Nankabirwa said Oil Marketing Companies (OMCs) have no reason to...
USA hashindwi kumaliza vita na Iran kwa siku tano tu. Kama ameua so call Ayatollah kwa sekunde arobaini kuwapigq iran just a 5 days.
But kwa nini ana delay, lengo ana mprovoke iran ili aendelee kuwashanbulia jirani zake.
Unajua why....
Uchumi wa nchi za gulf umekuwa mkubwa sana hilo siyo...
Moja ya nchi ambazo zimewahi kuonja madhara ya kupigwa na Marekani ni Iraq ambayo kwa sasa imeonesha kuchoka na ujanja wa taifa hilo.
Hapo juzi makao ya vikosi vya PMF ambavyo ni sehemu ya jeshi la Iraq lenye misimamo ya kimapinduzi ya Ian yalishambuliwa na kuuawa kwa wanamgambo...
Imeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana.
Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ?
Ali Khamenei — Kiongozi Mkuu wa Iran
Ali Shamkhani — Mshauri Mkuu wa Kiongozi Mkuu
Ali Larijani — Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa...
.Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr, aliyechukua nafasi ya Larijani, kuna uwezekano mkubwa aliangamizwa jana usiku baada ya maficho yake kusambaratishwa!!
Vyombo vya ulinzi vya Iran na viongozi wao baada ya kuulizana wote wamesema hakuna mwenye taarifa ya kuwepo kwa mazungumzo na Marekani kama alivyosema raisi Trump ili kumalizia vita kati yao.
Kama madai hayo ni kweli basi Marekani tayari imepata ule ugonjwa tunaouona barabarani kwa watu...
Jeshi la Iran limekanusha taarifa za kuwepo kwa mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran, na kuibua mashaka kuhusu mpango wa amani wenye vipengele 15 unaodaiwa kuwasilishwa na Ikulu ya Marekani.
Ebrahim Zolfaghari, msemaji mkuu wa jeshi la Iran Makao Makuu Khatam Al-Anbiya, ametoa hotuba...
Rais Trump amedai kuwa Iran imeipa Marekani kile alichokiita “zawadi kubwa sana” kupitia wajadiliana wake, akihusisha suala hilo na mafuta na gesi.
Kwa mujibu wa Trump, makubaliano hayo yanahusiana na eneo nyeti la mlango wa bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani.
Hata...
Mwaka 1907 Balozi wa Uingereza nchini Ujerumani Eyre Crowe aliaandaa andiko zito "The Crowe Memorandum" na kulituma London. Mle ndani alisema kwamba Ujerumani inakusanya chuma na mainjiania kwa siri, jambo ambalo linaashilia kwamba wanategengeza silaha na kujiandaa kijeshi.
Mwaka 1907...
Nini kio nyuma ya pazia ?
Serikali ya Iran imetangaza hatua kubwa ya kuongeza mishahara.
Waziri wa Kazi, Ahmad Midari, amethibitisha kuidhinishwa kwa ongezeko la asilimia 60 ya mshahara wa chini wa kitaifa.
Kuanzia sasa, malipo ya mwezi yanapanda kutoka dola 75 (shilingi 190,000) hadi...
(CHANZO CHA PICHA, REUTERS)
Mkuu wa huduma za dharura anasema idadi ya watoto waliouawa nchini Iran tangu vita kuanza Februari 28 imeongezeka hadi 208.
Katika taarifa ya video iliyochapishwa na mtangazaji wa kituo kinachomilikiwa na serikali IRIB, Jafar Miadfar alisema kwamba kati ya watoto 208...
Kauli za Donald Trump kuhusu mazungumzo kati ya Marekani na Iran zinaonekana kuwa na ukweli fulani, lakini ndani yake kuna muktadha mpana unaohusisha mgawanyiko wa madaraka ndani ya Iran yenyewe.
Nchi hiyo haionekani tena kuwa na msimamo mmoja, hasa kutokana na ushawishi mkubwa wa Islamic...