Rais Biden wa Marekani asema hakuna chochote kitachotokea nchini Iran leo

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
3,426
7,805
Wadau hamjamboni nyote?

Rais wa Marekani joe Biden amesema kuwa siku ya leo hakutakuwa na kitu chochote kitakachotokea Iran
______

Biden says ‘nothing going to happen today’ in Iran

WASHINGTON — US President Joe Biden says he did not believe any Israeli strikes against Iran would come today, as the region tensely awaits a response to Tehran’s massive missile attack on Israel.

“First of all, we don’t ‘allow’ Israel, we advise Israel. And there is nothing going to happen today,” Biden tells reporters at the White House when asked if he would allow Israel to retaliate against Iran

Soma: Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia
 
Taarifa za USA Niza kuzi Soma mbele nyuma

Biden Kulikuwa hakuna haja ya kuwaambia reporters habari hizi. Ilitosha kukaa kimya Kama kunge kuwa hakuna mpango wowote nyuma ya hilo

Na labda niseme ilani inapaswa kuwa makini Sana na hii Leo kuliko siku nyingine yoyote kwani lolote Lina weza kutokea
 
Lakini yale mashambulizi ya Iran kwa Israel , US alisema ndani ya masaa 24 hii kitu itatokea
 
Hivi marekani huwa anapataje taarifa za matukio yatakayo tokea mbele mda mchache baadae? mfano hayo mashambulizi ya Iran marekani ilitabiri saa 24 kabla ya tukio.
They have their Confidant and Secret Agents in within almost all other Governments worldwide, their Agents have a very deep cover that makes them almost impossible to be detected.
Bad enough, even some of the Top Government Officials in other countries also are the Secret Agents of the US Government, good example for that is a former President of the USSR, now Russia named Mikhail Sergeyevich Gorbachev, he was an Agent of CIA.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Rais wa Marekani joe Biden amesema kuwa siku ya leo hakutakuwa na kitu chochote kitakachotokea Iran
______

Biden says ‘nothing going to happen today’ in Iran

WASHINGTON — US President Joe Biden says he did not believe any Israeli strikes against Iran would come today, as the region tensely awaits a response to Tehran’s massive missile attack on Israel.

“First of all, we don’t ‘allow’ Israel, we advise Israel. And there is nothing going to happen today,” Biden tells reporters at the White House when asked if he would allow Israel to retaliate against Iran

Soma: Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia
Irrelevant. Hakuna anayemsikiliza. Hana nguvu yeyote juu ya Israel. Netanyahu anafanya lolote analotaka kwa sababu anajua Biden ni kama mbwa kibogoyo.

Amandla...
 
Hivi marekani huwa anapataje taarifa za matukio yatakayo tokea mbele mda mchache baadae? mfano hayo mashambulizi ya Iran marekani ilitabiri saa 24 kabla ya tukio.
Actually, hiyo ndio maana ya intelligence! Communications zote zinazoingia na kutoka Iran ni kati ya mawasiliano yanayokaguliwa zaidi duniani kwa sasa. They get a lot of info.

Hawa jamaa wana satellites miles above the earth surface. Harakati mbalimbali zinazoendelea Iran and elsewhere wanaziona. Wanaona makombora yanatolewa stoo; yanasetiwa kwenye mitambo direction ya Israel they can guess when it will happen.
 
Inawezekana kwa kweli. Kwanini wanatoa taarifa sahihi. Wakisema hata kuna weza tokea mashambulizi ya kigaidi Tz au Kenya na yanatokea kwa zaidi yanasilimia 80 ya kile wasemacho.
 
Hatutaki taarifa yoyote ya Biden wala hatujaiomba ye Israel kama uwezo anao aguse tu hata kuku pale Iran majibu sahivi ni ndani ya masaa 24
 
Wadau hamjamboni nyote?

Rais wa Marekani joe Biden amesema kuwa siku ya leo hakutakuwa na kitu chochote kitakachotokea Iran
______

Biden says ‘nothing going to happen today’ in Iran

WASHINGTON — US President Joe Biden says he did not believe any Israeli strikes against Iran would come today, as the region tensely awaits a response to Tehran’s massive missile attack on Israel.

“First of all, we don’t ‘allow’ Israel, we advise Israel. And there is nothing going to happen today,” Biden tells reporters at the White House when asked if he would allow Israel to retaliate against Iran

Soma: Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia
Mimi nilichoelewa hapa USA kampa go ahead Israel kushambulia Iran
 
Hatutaki taarifa yoyote ya Biden wala hatujaiomba ye Israel kama uwezo anao aguse tu hata kuku pale Iran majibu sahivi ni ndani ya masaa 24
Woiiii yule ndio msemaji wetu

Unajua kabla ya Iran. Kupiga alisema leo Israel wabampango wakufanya mashambulizi Israel wajipange na marekan wajiandae kuyazuia mabomu

Kweli usiku kaziikapatakazi

Huyu msemaji wa Israel
 
They have their Confidant and Secret Agents in within almost all other Governments worldwide, their Agents have a very deep cover that makes them almost impossible to be detected.
Bad enough, even some of the Top Government Officials in other countries also are the Secret Agents of the US Government, good example for that is a former President of the USSR, now Russia named Mikhail Sergeyevich Gorbachev, he was an Agent of CIA.
Na huyu mwamba Mikhail Gorbachev ndiyo alipelekea USSR kusambaratika....

Maninaaaa USA....😂😂😂
 
Back
Top Bottom