Chama tawala chafurahi Iran kushambuliwa kwasababu watanzania watahamisha mawazo yao kwemye hiyo vita na kuifatilia na kuacha na kusahau yote yaliyopita hasa october 29.
Ndege ya Waziri Mkuu wa Israel Bwana Benjamin Netanyahu inaripotiwa kuonekana kwenye radar ikiondoka kuelekea Ugiriki leo hii. Huku harakati za ndege vita za Marekani na Israel kusogezwa karibu na ghuba ya Uajemi zikiendelea.
Inasemekana leo hii usiku huwenda Iran ikashambuliwa.
Maana hata...
Bei ya mafuta ghafi imepanda kufikia kiwango cha juu zaidi tangu Januari mwaka huu, baada ya Marekani kushambulia vinu vya nyuklia vya Iran.
Soma, Pia: Mafuta ghafi yapanda bei baada ya Iran kushambuliwa
Kuna hofu kuwa huenda bei hiyo ikapanda zaidi endapo Iran itafunga lango la Hormuz kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.