iran israel marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Utawala Iran wapasuka! Vikundi vya ndani vyaleta taharuki, wakipinga Spika na Waziri kukubali kukaa mezani na Marekani kwa mazungumzo

    Vikundi vidogo ndani ya Iran vimeonyesha kuchukizwa baada ya madai ya makubaliano na Marekani. Vikundi hivyo vimeonekana vikifanya maandamano siku ya Jumamosi katika miji kama Tehran na Mashhad. Waandamanaji hao wamewageukia moja kwa moja Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi na Spika wa Bunge...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Trump adai anapitia mapendekezo ya amani ya Iran kama yanaweza kukubalika, huku akitishia mashambulizi

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa anapitia mapendekezo 14 yaliyotolewa na Iran kwa ajili ya kumaliza vita vyake dhidi ya nchi hiyo, huku akionya kuwa Washington inaweza kuanza tena mashambulizi ya anga ikiwa Tehran "itakaidi". Akizungumza na waandishi wa habari huko Florida siku ya...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Trump: Iran walipiga meli yetu tukaikimbiza tuogopa tusije kufa

    Wanaukumbi. Trump: "Iran ilipiga shehena kubwa zaidi ya ndege duniani kutoka pande 17 tulikinbia ili kuokoa maisha yetu ilikuwa tumekwisha" Tulikuambia ilipigwa na ikakimbia. Sasa Trump anathibitisha.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Watu 500 wakamatwa Iran kwa tuhuma za kushirikiana na maadui kwa kutoa taarifa nyeti za nchi

    Iran imewakamata watu 500 wanaotuhumiwa kushirikiana na maadui kwa kutoa taarifa nyeti, mkuu wa polisi wa nchi hiyo Ahmadreza Radan alisema Jumapili, wakati ndege za kivita za Israel na Marekani zikiendelea kushambulia malengo mapya ndani ya nchi hiyo. Radan alisema takribani nusu ya kesi hizo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hamas yaitaka Iran kusitisha mashambulizi ukanda wa Ghuba huku ikiunga mkono Tehran kujilinda dhidi ya Israel na Marekani

    Kundi la Wapalestina la Hamas limetoa wito kwa mshirika wake Iran kusitisha mashambulizi dhidi ya nchi za Ghuba, huku likisisitiza kuwa Tehran ina haki ya kujilinda dhidi ya Israel na Marekani katika vita walivyoanzisha. Katika taarifa iliyotolewa Jumamosi, Hamas iliwataka “ndugu zao nchini...
Back
Top Bottom