Habari wapendwa, ndugu, na jamaaa wote ndani ya jukwaa.
Nahitaji msaada jinsi ya kuinstall whatsApp kwenye hii iPhone 4 yangu ina iOS ya 7.1.2
Wataalamu
Nielezeni jinsi ya kuinstall
Habarini wadau
Nilipoteza IPhone yangu kila nikiitrack nakuta ipo offline ila leo kuna alert nimepata kwa email yangu inasomeka "activation Lock is requesting your password on iPhone" msaada tafadhali kama naweza kuipata.