The iPhone 17 Pro and iPhone 17 Pro Max are smartphones developed and marketed by Apple. Alongside the iPhone 17 and iPhone Air, they form the nineteenth generation of the iPhone, succeeding the iPhone 16 Pro and iPhone 16 Pro Max. They were unveiled during the Apple Event at Apple Park in Cupertino, California, on September 9, 2025, and were released on September 19, 2025.
Moja kwa moja .
Nina mpango wa kuvunja kibubu ninunue simu Kali wakuu maana nimechoka kutumia kifaa Cha mawasiliano .
Mwaka huu In Shaa Allaah mambo yakiwa mazuri nataka nitenge bajeti ya kununua simu isizidi Million 4 , sasa katika pitapita zangu simu zinazotrend sasa Duniani ni hizo.
Lengo...
Maoni yenu wakuu.
Zote ziwe 512GB.
ipi nichukue, ni mtumiaji wa ios na android pia.
Nilitaka nibebe zote pamoja, lakin nataka nianze na moja.
Kama kuna tofauti na hizo ambazo bora zaidi nakaribisha pia.
Asanteni.
Maisha yako speed.
iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6.
Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava.
Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya...
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz amepost zawadi ya simu toleo jipya iPhone 17 Pro Max aliyonunuliwa kama zawadi na mke wa GSM.
Baada ya kupost zawadi hiyo imeibua minong’ono mingi mtandaoni🤔
Bei ni moja, lakini upatikanaji unatofautiana sana, kipato ndicho kinachoamua.
Je, unajua ni muda gani watu wanapaswa kufanya kazi ili kununua iPhone 17 Pro yenye thamani ya dola 1,099 sawa na TSh. 2,711,957 katika nchi mbalimbali?
Nchini Uswisi, inachukua takribani siku 3 pekee, jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.