Jambo nalowahakikishia kama Mh Polepole , Balozi, alifika Nchini hawakujua, Kakaa miezi yote hiyo hawakujua, Utasema wana INTELIJENSIA??.
Bisho Gwajima Kakaa Dar , muda wake wotee huo mpaka Leo hii, hata hawajui anapolala ,licha ya wao KUMFATILIA sana usiku na mchana , Utasema wana...
Kwa miaka mingi Tanzania imejivunia kuwa nchi tulivu na yenye amani barani Afrika. Hata hivyo, mjadala mpya kuhusu usalama wa taifa umeibuka kufuatia kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyosema kuwa baadhi ya vijana walioshiriki maandamano nchini walitoka nchi jirani. Kauli hiyo imezua maswali...
Intelijensia ya vyombo vya ulinzi na usalama vinanipa mashaka.
Polepole yupo zake Ununio siku zote wao hata hawakujua!!
NB:
Tafadhali mfikisheni mahakamani, msimuhukumu nyie
https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0
General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.
Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono...
Hao ndo watu walokabidhiwa mamlaka kuhakikisha Usalama wa Uchumi, Kisiasa, Kijamii na kiulinzi kwa Taifa la Tanzania.
Ila maajabu wanawaza maigizo ya kijinga Jinga , wanaotumia Yanga ijifanye Haichezi Derby wakijua watanzania wanapenda Mpira.
Siku wakimuachia LISSU, Yanga ijifanye kusema...
Roman Catholic Church (RC) ni zaidi ya taasisi ya kiroho Kama tunavyoona au kufahamu,ushawishi wake katika nchi yetu ulianza zamani Sana kabla ya Uhuru,kulikua na Parallel state structure,.Walijenga shule nyingi, Hospitals na majengo ya mahakama..Kama umepitia kitabu Cha Sir Andy Chande A knight...
Kamishna wa Intelijensia ya Jinai kutoka Makao Makuu ya Polisi CP Charles Mkumbo, wakati akiwasilisha mada kwenye kikao kazi cha 20 cha maafisa habari wa Serikali kilichofanyika Zanzibar Aprili 3 - 6, 2025 alisema Jeshi la Polisi limejiandaa kwaajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025
Mkumbo alisema...
Serikali ya Marekani imerudisha tena usaidizi wake kwa Ukraine baada ya Ukraine kukubaliana na Marekani juu ya mpango wa usitishaji vita kwa siku 30.
Mara baada ya uamuzi huo, misaada mbalimbali ilianza kuingia kwa kupitia Poland.
Kwa upande wa Urusi, imeshindwa kutamka lolote kuhusiana na...
Paul Kagame au unaweza kumuita Paulo Kagame, huyu ni kijana wa Nyerere aliyepikwa kijeshi na kuiva vyema hapa nchini Tanzania, aisee mwamba anajiamini sana unajua kwa nini!! Twende kazi!!
Ni rais pekee kutoka eneo la Afrika mashariki ambaye kijasusi tunamuita HIGH PROFILE MISSION ana uwezo...
Tundu Lisu kuacha nafasi ya umakamu mwenyekiti kirahisi vile haikua bure, bali ilikua mipango mikakati ilopangwa kwa umakini mkubwa na makachero wa Chadema, ili kuhakikisha kwamba mwamba anashawishiwa kwa ustadi mkubwa, kwamba hivi sasa anazo sifa zote, vigezo na uwezo za kua mwenyekiti wa...
Jana si nimeyakanyaga, huwa nafanya kazi dar kwa hio muda mwingi nakua huko ila mke yupo mkoani. Mwisho wa mwaka huwa narudi na mwaka huu nimerudi mapema, sasa jana wema wangu si ukaniponza.
Nikaamua kumtoa out wife, sijui kichaa gn kikaniingia nikampeleka pub moja ambapo huwa naenda sana...
Pamoja na mashambulizi ya Israel ya kuua viongozi wa Hezbollah, Urusi imesema kuwa Hezbollah haijapoteza uwezo wake wa kupigana na chain of command iko intact.
Hii ni habari mbaya kwa mashabiki wa genociders, ambao walidhani kuua kiongozi fulani hapa na pale ndiyo mwisho wa taasisi. Wamesahau...
Aliyekuwa mfanyakazi wa CIA Bwana Andrew Bustamente alielezea kwenye Podcast kwamba Taasisi kali kuliko zote za kiintelijensia na kijasusi kwa pande tofauti ni kama zifatavyo;
MMS( Ministry of State Security) China🇨🇳; Alisema kwa ushindi wa Ufikiaji au Reach ya watu duniani taasisi hii ya China...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.