Kuna miti ya huzuni, ya majuto, ya kushindwa, na ya hofu iliyoota kwa miaka mingi ndani ya nafsi yako. Lakini leo, ujumbe wangu kwako ni huu, kata mti, panda mti.
Kata mti wa kukata tamaa, panda mti wa tumaini. Kata mti wa uchungu wa jana, panda mti wa furaha ya kesho. Kata mti wa lawama...