Maafisa wa kijeshi nchini India wamesema makabiliano kati ya wanajeshi wa Pakistan na India katika eneo lililo na utata la Kashmir yamesababisha mauaji ya watu 7 kutoka pande zote mbili.
Jeshi la India limesema wanajeshi wa Pakistan mapema hii leo walilenga eneo moja la mpaka wake na eneo...