inauzwa

  1. J

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya ghorofa inauzwa Dar-Es-Salaam - Kigamboni maeneo ya Dege

    Nyumba ya ghorofa inauzwa. Ipo Kigamboni sehemu moja inaitwa DEGE,.. ni kama 20 km's kutoka Ferry. Documents zote zipo(Hati). Ghorofa lina vyumba sita vya kulala vyote ni self contained na sitting rooms mbili, moja chini moja juu. Limezungushiwa ukuta na eneo la kiwanja ni Square Meter 947 na...
  2. JamiiForums Tanzania INAUZWA Feni ya juu inauzwa

    Feni inauzwa Brand:Evernal Bei: 50000/= Piga simu no: 0653499987 Mahali: Dar es salaam - Gongo la mboto
  3. JamiiForums Tanzania Phone4Sale iPhone 11 plain inauzwa 900,0000

    Simu inauzwa Laki 9 Brand ni Iphone11 plain Ni mpya imetumika miezi 2 tu! Mahali ilipo ni Mbezi Mwisho Dar es Salaam Mawasiliano - 0688986066
  4. JamiiForums Tanzania Phone4Sale iPhone 8+ GB 64 inauzwa. Used for 3 moon only

    Imetumika miezi mitatu tu Gb 64 Afya ya Betrii: 100% bei elekezi: 600,000 0713096076, Chamanzi, Dar es salaam
  5. JamiiForums Tanzania LENOVO LAPTOP X131e INAUZWA

    Lenovo X131e HDD 500 CHARGE 3HRS PRICE 200K FIXED CONT; 0766345199 IMETUMIKA MIEZI MINNE(4)
  6. JamiiForums Tanzania Car4Sale Scania semitrailer inauzwa

    Habari wakuu, gari ya kazi inauzwa Make: Scania Model: 114L-380 Trailer: Continental Axels: BPW Double lala Bei: 75M (vyote horse na trailer) Location: Dar Gari haina tatizo lolote ndio imerudi toka Congo. Ukitaka kukagua na mazungumzo nipigie 0755963775
  7. JamiiForums Tanzania House4Sale Jengo la ghorofa inayosubiria kupauliwa tu! Linauzwa milion 120 - madale njia panda

    NYUMBA YA GHOROFA INAYOSUBIRIA KUPAULIWA TU! INAUZWA -* ( MADALE NJIA PANDA YA NGUZO MTAA WA NYUMA YA KITUO CHA POLISI MADALE) Ni nyumba yenye eneo kubwa na mchoro wa kisasa kabisa"( Jumla ya vyumba 5) BEI ELEEZI NI 120M (million 120 za kitanzania) "Ila mazungumzo ya kina yapo..Karibu...
  8. JamiiForums Tanzania Chapati yapanda bei Himo Kilimanjaro, moja inauzwa shilingi 500

    Hii ni hatari! Kitafunwa pendwa kwa Watanzania nikimaanisha chapati kimepanda bei ghafla isivyoelezeka! Mfano hapa njiapanda ya Himo muda huu chapati tena kwa mama ntilie wa kawaida inauzwa 500! Kwenu studio.
  9. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Huawei P20 Lite inauzwa

    Hello jf,nauza huawei P20 lite Storage 128GB RAM 4GB NETWORK 4G/H+ Colour right gold IMEI 05 CPU 659 Screen size 2280x1080 EMUI 8 Price:350,000/-..but it is negotiatable Contacts:0759-124378
  10. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop HP inauzwa TShs 300,000 Arusha

    Laptop HP processor intel core i5 2.5ghz ram 4gb HDD 500gb. Inafanya kazi vizuri. Note: Tatizo lake haikai na chaji hivyo betri sio nzuri Ipo Arusha Piga simu 0765390225 au 0652494919
  11. JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki inauzwa

    Aina haojue,bado ipo kwenye upya wake. Ipo kibaha,kokote inafika. inafaa kwa biashara ya Boda Boda au binafsi. 0693135215 Milioni moja na laki mbili
  12. JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari inauzwa

    Gari imenyoka haina tatizo lolote. Bei Milioni 4 Lilipo dar es salaam. Call 0742141467 au 0686648630
  13. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Phone for sale: Simu inauzwa Huawei Y7 Prime 290

    Habari wapendwa, Nauza simu yangu aina ya Huawei Y7 Prime Internal GB 64, Ram GB 4, battery capacity 4,000 MAh. Bado mpya kabisa Bei yake ni 290k (laki 2 na 90) pamoja na Charger yake Kama unahitaji piga simu namba 0676258343.
  14. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Used Redmi 9C for sale

    Ram 3gb Rom 64gb Bei 270k. Nimetumia miezi 6, haina tatizo lolote. Iko na box lake. Ukihitaji njoo PM.
  15. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Dell laptop inauzwa

    Hellw nauza dell laptop. Specifications: Intel core i-5 ,5th Generation ,2.2Ghz 500 HDD,8 GB RAM Windows 10 64 bit Supports USB/HDMI/Wifi/webcam/ethernet/aux jack 14" HD display Contacts:0759-124378 Price:950,000/-
  16. JamiiForums Tanzania INAUZWA Bajaj inauzwa, Mwanza

    Hii hapa inauzwa kwa bei nafuu Mahali, Buhongwa mwanza haina shida yoyote. milioni 4 tu 0713096076
  17. JamiiForums Tanzania INAUZWA Projector, TV, Frijina na water dispenser vinauzwa

    Maximum resolution 1080P.......light source LED.....Bult - in dual speaker,.....Aspect Ratio 4:3/16:9.......Projection Size 34 - 180 inchies....Connector suport.HDMI,USB,VGA,AV,TF,AudioNi brand new Projectort full boxIpo na beg BEI 400,000/= 0688942700 piga simu
  18. JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari aina ya IST

    Manufacturer: TOYOTA Model: IST Year - 2002 Engine Size: CC 1490 Mileage: 154991 Transmission: Automatic Colour: Grey Fuel: Petrol PRICE / BEI: Tsh.8.8 Mil ( Milioni 8 na laki 8 ) MAWASILIANO : ᴄᴀʟʟ ı ᴡʜᴀᴛsᴀᴘᴘ ı ѕмѕ: +255658090789
  19. JamiiForums Tanzania INAUZWA Technics SA-DV280 Music system inauzwa

    Bei ni 190000 0625547181 haina kasoro
  20. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu aina Samsung Galaxy A22 GB 128

    Nauza simu aina Samsung galaxy A22 gb 128 Ishatumika miezi miwili bei waelewano Napatikana kwa mawasiliano namba 0762435688 Napatika bagamoyo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…