inauzwa

  1. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Infinix Hot 10 PLay - 64GB, 4GB, 6000mAh

    Bei: 220000/= piga Simu, 0653499987 Hali: haijawahi kufunguliwa na mafundi,full boxed, Location: Dar es salaam
  2. JamiiForums Tanzania Igoma-Mwanza: Bajaji ya mizigo inauzwa

    Bajaj ya mizigo inauzwa. Milioni 3 tu kampuni wanhoo Nzima na iko kijiweni mpaka sasa inapiga kazi Eneo: Mwanza Ndama/igoma Piga simu; 0713096076 Nje ya mada: Chukua tahadhari, usitumie hasira kufanya maamuzi. Risasi saba sio suluhu ya matatizo
  3. JamiiForums Tanzania INAUZWA Salon kali ya kiume inauzwa- Mbeya mjini (Igawilo)

    Salon kali ya kiume inauzwa kwa bei ambayo ni sawa na bure. Salon ipo Mbeya mjini (Igawilo soko kuu) barabarani kabisa. Salon inakila kitu ndani kama vile FLAT TV MPYA, HAIR CUT MACHINE, SALON CHAIRS, SALON WAITERS SOFA, HEATER, SUBWOOFER nk. BEI NI SHILLING MILLION 1 NA LAKI 2 ( KODI YA...
  4. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Morogoro Mjini

    Nauza nyumba yangu iliyopo mkoani Morogoro. Mimi ndio mmiliki wa hiyo nyumba. Ukubwa wa kiwanja ni 1500qm. Nyumba ni ya ghorofa. Vyumba vitano (vinne ni master bedroom) Dinning na kitchen ni open plan Sitting room Public toilet. Kuna garage na chumba vimeunganishawa inaweza kuwa kama servant...
  5. JamiiForums Tanzania INAUZWA Ndege hii inauzwa

    2.5 B Mzungu kalewa Contacts . Mr.ibuog@gmail.com Wajuba yenu 500M
  6. JamiiForums Tanzania INAUZWA Igoma Mwanza: Pikipiki San LG inauzwa

    Pikipiki inauzwa 1,200,000 Tshs.. mawasiliano: 0713096076 Eneo: igoma mwanza Aina ya Pikipiki: SAN LG ENGINE SIZE: CC 150, 5 GEARS HALI YA ENGINE: SAFI, HAINA TATIZO. USAJILI: MC 324 CBT INAPIGA BODA BODA, IGOMA MWANZA Document zote zipo.
  7. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Redmi Note 9s inauzwa bei nzuri

    ..
  8. JamiiForums Tanzania INAUZWA Excavator Caterpillar 320cl inauzwa

    Habari ya jioni wakuu. Nawaletea mtambo huu wa ujenzi unauzwa. Make: Caterpillar Excavator Model: 320 CL Masaa: 14600 Location: Morogoro Bei: 120M Haina shida yoyote ipo tayari kwa ajili ya kazi muda wowote, ukitaka kukagua basi nicheki 0755963775 calls/WhatsApp
  9. JamiiForums Tanzania INAUZWA Stabilizer inauzwa Tsh. 100,000/= kwa mwenye uhitaji

    Stabilizer inauzwa Bei: 40,000/= location: Dar Mbezi Mwisho Tel: 0758597106
  10. JamiiForums Tanzania Car4Sale Aya chuma hiyo inauzwa mafuta kisoda cc 600

    Chuma hiyo ulii tena kuhusu kupanda kwa mafuta bei yakutupa ni ya mdada amepata uhamisho bei 4m namba D
  11. JamiiForums Tanzania Car4Sale Fuso Tandam inauzwa

    Habari ya jioni wakuu. Ninaileta kwenu hii gari ya kazi Make: Mitsubishi Fuso Engine:16D Location: Dar Bei: 47M kwa mwenyewe NB: Gari ina turbo full miluzi na nguvu. Ukitaka kukagua 0755963775 calls/WhatsApp
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA Mitungi empty 20 jumla inauzwa sh. 350,000. Mikubwa 3, midogo 17

    MITUNGI EMPTY IPO 20 INAUZWA JUMLA 350,000/- MIKUBWA MITATU; Oryx 1, ogas 2 MIDOGO KUMI NA SABA; oryx 4, lake 4, ogas 3, taifa/mihan 5, Manji 1 Ipo Mikwambe, Kigamboni Siuzi mmoja, nauza yote jumla MAWASILIANO; +255658628441
  13. S

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa

    Nyumba inauzwa Bagamoyo mjini Ina vyumba 3 vya kulala Kimoja master Eneo square mita 800 Bado mpyaaaaa Bei 190M Maongezi yapo 🙏🙏 Mawasiliano 0757854660
  14. M

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa

    Habari Wadau, Inauzwa laptop yenye ukubwa wa Hard disc 500 GB, Ram 4, Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa +255 676 796168 Ahsante
  15. JamiiForums Tanzania Compressar 150l inauzwa kigamboni

    Compressor ina ujazo wa 150l, inatumia mafuta. Imetumika kwa mda wa mwezi mmoja tu haina shida yoyote. Bei 950,000/= Mawasiliano 0769452934 or 0685854119
  16. JamiiForums Tanzania INAUZWA Compressor 150l inauzwa Kigamboni

    Compressor ina ujazo wa 150l, inatumia mafuta. Imetumika kwa mda wa mwezi mmoja tu haina shida yoyote. Bei 950,000/= Mawasiliano 0769452934 or 0685854119
  17. JamiiForums Tanzania INAUZWA Camera mpya Canon 5Dsr inauzwa kwa bei ya sikukuu

    Professional Camera, Canon EOS 5Dsr inauzwa ikiwa imetumika mara 2 tu tangu inunuliwe mwezi uliopita. Bei: 6.5m Location: Tabata, DSM. Package includes lens ya kisasa (24-105), Speedlight, stand, batteries na chargers zake. Camera bado ni mpya. Haina tatizo lolote.
  18. JamiiForums Tanzania Kilo moja ya Ruby inauzwa TZS billion 657

    Kilo moja ya rubby inauzwa TZS billion 657 CONVERSION OF CARAT TO GRAMS 1 carat = 0.20 grams Therefore 8400 carats -=420 grams= 0.42 kg Hii rubby haifiki hata nusu kilo, lakini bei yake ni billion 276. Kwa hiyo kilo moja ya rubby inauzwa billion 657 Source: Ruby yenye thamani ya bil 276...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Used Pioneer Amplifier 1000watts inauzwa

    Original imenunuliwa Nje na imetumika kwa mda mfupi.Bei yake ni Shillingi 350,000.Kama unauhitaji tupigie simu au tuma meseji namba 0742662669.Napitikana Dar es Salam Mwananyamala Komakoma karibu na CRDB bank
  20. JamiiForums Tanzania INAUZWA Stationery Inauzwa

    Stationery Inauzwa. Bei 2,500,000 (Hakuna Punguzo). Stationery Ipo Mwanza, Jirani na chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino. Stationery ipo katika eneo zuri sana na inawateja wengi sana. (Sababu za kuuza ni mwenye nayo kukosa usimamizi). Ndani kuna vitu vifuatavyo: 1. Computer 1 2. Printer 2...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…