inauzwa

  1. INAUZWA Compressor Inauzwa Mbezi Louis

    Compressor LITA 300 Inatumia Jenereta + PETROL Horse 6 750,000🔥🔥🔥 0688986066 MBEZI-MWISHO
  2. J

    Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road) 2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara 3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
  3. Plot4Sale Plot inauzwa Bagamoyo

    IMPORTANT NOTE : Hakuna dalali! Eneo liko baada tu ya roundabout ya kuingia Bagamoyo (kituo cha daladala cha Kosovo) na ni hapo hapo barabarani. Eneo lina ukubwa wa 120 * 93 (m), kuna nyumba ya ghorofa moja (3 bedrooms/Jiko/ Ukumbi na mbele kuna frame 3 kubwa sana (6*8 m) Bei ni 450...
  4. Igoma (Mwanza): Bajaj ya abiria inauzwa bei poa

    Bajaj ya ABIRIA inauzwa. kampuni Piaggio IGOMA-MWANZA Uhakika elfu 20 kila siku Haina shida yoyote, njoo na fundi wako mkague inapiga kazi mpaka sasa njoo na 4mil uendelee na kazi Tuwasiliane 0767733555
  5. M

    Car4Sale Land Rover Discovery 3

    Land Rover Discovery 3 Inauzwa.., Gari haina tatizo lolote, Ipo katika hali nzuri sana. Model ya 2005, Automatic transmission, Milleage ni 100,000 kms. Kwa maelezo zaidi +255(0)694-206924 or +255(0)713-668656 Bei; Tsh. 58M (inazungumzika) Selling Land Rover Discovery 3.., The Car is in perfect...
  6. INAUZWA Usb port 4 in one inauzwa

    Habari za wakati huu wamachama wote wa JF ,Nina uza hiki kufaa chenye usb ports 4 pamoja na waya mfupi wa type C, kifaa hiki kitakuwezesha kuchaji simu tano kwa wakati mmja endapo uta connect usb wires kwenye hizo ubs ports. Nakiuza sh elf Saba tu (7k). Nipo dar, ahsante
  7. Computer4Sale HP Laptop 14 7 Genaration inauzwa

    Sina maelezo mengi ila dili na Specifications Hp Laptop 14 Processor Intel(R) Core i3-7020U CPU @2.30GHz (4CPUs) 7th Generation Memory 4GB Storage 256 GB SSD Battery 🔋 5Hrs Second Hand Tsh 400,000/= kwa member wa JF tu. #0622 901670
  8. House4Sale Nyumba inauzwa Makabe, imejengwa mpaka kufikia kwenye Lenta

    Ukubwa wa kiwanja - 20 kwa 20 Ramani yake - Vyumba vitatu ( 1master) Sebule Dinning Jiko Stoo Bei - 15MILION🔥🔥🔥 Mahali - MBEZI-MAKABE Mawasiliano - 0688986066/0747840807
  9. C

    House4Sale Nyumba inauzwa Manzese Tiptop

    Nyumba inauzwa (lakini ni muhimu zaidi ukiwa unanunua kama kiwanja ukubwa wa eneo 20 kwa 25 sqr 450. Umbali kutoka manzese tiptop stand ni km 1. Kwa unayeijua Manzese hii sehemu ni potential kibiashara gari linafika mpaka sehemu husika ni kuna barabara ya mtaaa hata nyumba ya makazi .Bei ya hiyo...
  10. Gauni ya Harusi inauzwa 140,000/=

    Price: 140,000/= Location: Mbezi kimara Cont: 0758 597106 condition: Used only once.
  11. E

    House4Sale Nyumba inauzwa mil.50

    Hiyo nyumba inauzwa ipo kimara suka ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master na jiko store public toilet na sitting room na dinning Room eneo lina ukubwa wa 25x27 Bei milioni 50
  12. INAUZWA Drone Camera inauzwa

    Drone Camera mpya kabisa inauzwa kwa bei nafuu sana tupo Dar na tunatuma mikoa yote. wasiliana nasi kwa simu 0717040837 au 0767267664
  13. Car4Sale Honda Crossroad inauzwa

    Gari ipo katika hali nzuri na imetunzwa kama 0Km, njoo na fundi wako uchukue mali. Contacts: 0746 931 556 Location: Mwanza Bei: 17M (Milioni kumi na saba ) tshs.
  14. A

    House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha

    Ipo Kibaha kwa Mfipa, ni kama 5 toka barabara kubwa inauzwa ml 90. Huduma ya maji na umeme vipo karibu, ina kisima cha maji pia, nyumba kubwa ya vyumba 3 na master. Pia kuna nyumba ndogo yenye vyumba vinne na yapo mabanda ya kufuga makubwa matatu, unaweza kufuga kuku, ng'ombe, mbuzi n.k, vyote...
  15. F

    Phone4Sale Samsung Galaxy S10 inauzwa

    Wanabodi, Samsung Galaxy S10 inauzwa Storage: 128 gb Ram: 8 gb T-mobile Bei: 800000 (Maongezi yapo) Telephone: 0766543258 Dar es Salaam
  16. Computer4Sale Laptop ya hp inauzwa

    Habari wanajukwaa. Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Nauza PC ya Aina ya hp. Ni ya kwangu niliinunua dukani sema receipt nime replace. Ukiihitaji tutaandikiana kwa mwenyeketi wa mtaa ama polisi uwe na amani. Ina materials Kama yote na programs na softwares za Civil Engineering. Haina movie...
  17. Car4Sale Mitsubishi Canter inauzwa

    Condition: Used Eng Type : 4D33D YOM : 1993 Eng CC : 3660 Location : Mbezi Jogoo , Dsm Price: TZS 25M Contact : 0788 907760
  18. Laptop Dell Inspiron N5040 inauzwa

    Ni kweli na wala sio utani! Ni Laptop aina ya Dell Inspiron N5040. UWEZO. 1. Processor~ Core i3 @2.5 GHz. 2. Ram 4Gb. 3. Hard drive 500 Gb. 4. Betri 4 Hour's Bei Tsh 400,000/= Mawaliano:- 0622 901670 Location:- Kariakoo~ Dar es Salaam. Ushindwe wewe tu mwaisa. NB: Hizo picha hazina filter...
  19. INAUZWA 8TB Desktop hard disk inauzwa

    Kampuni ya HARD DISK ni SEAGATE, Size: 8TB Price: 250,000 Contacts: kwa muhitaji tuchekiane PM Location: DAR - M/CITY HARD DISK lazima utest ujiridhishe na size ya DISK ndipo utoe pesa yako,Popote ndani ya Dar biashara inafanyika (kwa gharama zako mnunuzi) ukihitaji uletewe hata...
  20. House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    Nyumba ina mwonekano wa kuvutia wa ndani na nje. Ina vyumba vine vya kulala vinachojitoshereza, subure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula ( Dinning area). Bei 500mil na inaongeleka. Kuiona piga simu au tuma ujumbe kwa whatsapp tupange muda muafaka wa kuiona…0784225000 au email...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…