inauzwa

  1. Nyumba Inauzwa Goba Dar es Salaam

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya finishing. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli. *Ina...
  2. Nyumba inauzwa banana mil 20 elewa neno banana yaani mwendokasi inajengwa

    Nyumba inauzwa mil 20 Banana Elewa neno banana yaani ni mjini kabisa kutoka airport hadi kwako dk 15 tu yani uko mjini Ina vyumba 3 vya kulala 1 master bedroom 2 Normal rooms Seble Dinning Choo cha wagen Kutoka lami hadi kwenye nyumba unatembea kwa mguu tu dakika 10 gari ni moja hadi mjini...
  3. Car4Sale INAUZWA Landcruiser V8 inauzwa matajiri, karibuni sana

    LANDCRUISER V8 DJH YEAR 2011 UPGRADE TO 2016 ENGINE SIZE 4.5L ENGINE CODE 1VD-FTV DIESEL ENGINE✅ AUTOMATIC TRANSMISSION LEATHER SEATS✅ OPEN ROOF✅ NEW TYRES✅ PRICE 138M
  4. Car4Sale Noah inauzwa Tsh. Milioni 9. Ipo Mbeya mjini

    Noah inauzwa 9m. Ipo Mbeya mjini. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050.. Nyote mnakaribishwa!
  5. Nyumba inauzwa Mbeya mjini..

    Nyumba inauzwa Mbeya mjini tshs 45m. Wasiliana nasi+ +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa
  6. House4Sale Nyumba inauzwa Uzunguni Mbeya

    Kiwanja kina ukubwa wa sq 1500. Ni eneo zuri kwa uwekezaji, appartment,kuishi,ofisi nk. Bei. Tshs. 600m. Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!!
  7. NYUMBA INAUZWA IPO MTWARA MJINI BEI MILION 14 , BADO KUNA NAFASI YA MAZUNGUMZO KWA MTEJA

    Imeshauzwa.
  8. N

    MASHINE PORTABLE YA KUSAGA NA KUKOBOA INAUZWA

    Wajasiliamali wadogo wa unga wa sembe/lishe/dona n.k.. Mashine portable yenye uwezo wa kusaga na kukoboa 2 in 1, inatumia umeme wa nyumbani (5hp), huhitaji kuongeza connection. Uwezo kusaga kilo 200 kwa saa. Bei million 2 tu ikiwa complete na kila kitu chake.. kwa Dar tunakufungia na kuitest...
  9. House4Rent Nyumba inauzwa mil 20 chanika inavyumba 3 vya kulala

    NYUMBA INAUZWA CHANIKA MWISHO MIL 22 ( INAUZWA MIL22) CONTACT: 0743 257 669 Nichek whatsapp direct View James Construction and real estate company's Catalog on WhatsApp UKUBWA WA ENEO SQM 400 BEI TSHG MIL 22,000,000/= NYUMBA INA VYUMBA VITATU 3 MASTER BEDROOM PUBLIC TOILET JIKO NA...
  10. Nyumba inauzwa Kitunda Mnadani karibu na sheri, bei ni TSh. Milioni 35

    Inavyumba 6 Eneo la parking lipo kubwa limebaki mbele Nyuma kuna uwanja wa kujenga hata vyumba 3 vya kulala Nyumba inawapangaji nyumba iko kwenye barabara ya mtaa gari inafika Haina mgogoro eneo limepimwa hati haijatoka bado karibu 0743 257 669 nipigie
  11. Mazda bongo inauzwa

    Gari bado nzima Sana ipo dsm Goba Ina engine f8 Cc 2790 Bei ni Mil 12 maongezi yapo 0656077998
  12. House4Sale Nyumba inauzwa Pongwe Tanga

    Nyumba ipo Pongwe Tanga Jirani na kituo cha Afya Pongwe ★Rooms 3 Kimoja master ★Sebule ★Dinning ★Jiko ★Public toilet ★Sqm 360 Bei Ni Milioni 39 mazungumzo yapo Piga simu kwa maelezo zaidi 0679991114/ 0623646940
  13. INAUZWA HARAKA UPANGA!

    *🏢 Apartment moja ya vyumba 3 kwa TZS 350,000,000 * 🔑 Vipengele Vikuu: IPO KATIKA UBORA: ipo katika jengo lenye swimming pool, gym, lift, na genereta Mauzo ya Kibenki: inauzwa moja kwa moja na benki kwa uhakika wa usalama wa miamala. 📞 Mawasiliano ya Haraka: Piga simu kwa namba: 0784 225...
  14. Nyumba inauzwa chanika mil 22

    Nyumba inauzwa chanika mwisho senta milion 22, (imeshuka bei njoo hata na nusu anapokea maana ana shida) ina viumba v2 kimoja masta sebule jiko na pablic toile. Full tiles and gypsum umeme tayari. Bei inapungua njoo site Kutoka chanikamwisho hadi kwenye nyumba dk5 kwa mguu Call 0743257669
  15. K

    SR 40 NOAH ..AWD DRIVE INAUZWA BEI 11M GARI HAINA CHANGAMOTO YEYOTE

    Nauza noah SR 40 Automatic gear bei 10.5M haipungui . Gari ipo Dar es salaam Ilala/Kigamboni. ukitaka kuiona ni muda wowote Gari haina changamoto yeyete na haijawahi tumika kwenye biashara zaid ya matumizi ya kifamilia tu. ukihitaji njoo PM
  16. Iphone 7 plain inauzwa

    Iphone 7 plain yenye storage ya 32GB battery health ya 100% iko in excellent conditions pia..bei ni 180k fixed! na napatikana Dodoma mjini, kwa mawasiliano zaidi 0653963998, karibuni sana
  17. Computer4Sale PC 8GB ram 500GB hhd inauzwa

    Pc hiyo hapo haina kipengele nimeitumia mwaka tu bei ni laki 2 na hamsini, mwisho laki 2 SISHUKI ZAIDII YA HAPO NJOO PM
  18. J

    Suzuki Carry New Model inauzwa 14.5M

    Suzuki Carry New Model 4WD Reg: EAA Year: 2016 Engine: 650cc Mileage: 76,862km Gari bado jipya halina kipengele hata kimoja Gari linabodi tayari kama linavyoonekana kwenye picha Bei: 14.5M Call: 0746191267
  19. Nyumba inauzwa Bahari Beach

    Nyumba Inauzwa Bahari Beach, Dar es Salaam. Mahali: Br. Simba, Mtaa wa Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara ya ununio. *Ina Vyumba vitano vya kulala(vyote ni master). *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Milioni 900. Mazungumzo...
  20. M

    Car4Sale Toyota Ractis (EFP) Inauzwa TZS. 15.9m

    YOM: 2011 Capacity: 1300cc Automatic Petrol From Japan . TZS. 15.9m . Call: 0717 650800
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…