Vyombo vya habari vimekuwa vikikipa uzito huyu mdudu kama kuonesha imani potofu bado zina pewa nguvu.
Huyu mdudu ni kama wadudu wengine sawa na kipindi cha nyuma fisi kuwa kwenye maeneo ambayo nyie mlivamia kuwa mji.
Baada ya kuanzisha kampeni wasitoweke nyie mnaleta imani za ajabu.
Nimesikitishwa sana na huyu msomi ambaye ni motivational speaker kuamini imani za hovyo zisizo na uthibitisho wowote wa kisayansi. Mwenyewe anadai ni vibaya kumruhusu mtu alale kitandani kwako au kumpa mtu nguo zako. Kwa madai yake ya kishirikina ni kuwa ukifanya hivyo utapatwa na majanga mabaya...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana
Tukio hilo limetokea Kilimanjaro
Inauma sana dunia tulikofika kwa sasa
Kilimanjaro imekuwa mbaya Zaid ya Geita na Tabora kwa matukio ya kikatili
===============
Mtoto Ivan Innocent Chuwa mwenye umri wa miaka mitatu na nusu...
Waheshimiwa wanajamii wa JamiiForums, nawasalimuni kwa heshima na taadhima.
Natumai wote hamjambo na shughuli za kila siku zinaenda vyema. Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, na kwa muda sasa nimekuwa nikikumbwa na matukio ya ajabu yanayohusiana na ombaomba mitaani—matukio yaliyonifanya nianze...
Klabu ya Simba Sc imetozwa faini ya jumla ya Tsh milioni tatu kwa makosa matatu waliyoyafanya katika mchezo namba 184 wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga Sc uliomalizika kwa Yanga Sc kushinda 2-0 katika dimba la Benjamin Mkapa mnamo Juni 25, 2025.
Kwa mujibu wa taarifa ya leo Julai 17, 2025 ya...
Tutakuwa watu wa porojo tu na kuuwacha ukwel yanga na simba zinapokutana mpira wao wote huchezwa nje kwa ushirikina kinachokwenda pale ni kukamilisha ratiba kwenye macho ya watu.
Wewe kataa au kubali huo ndio ukweli ni hichi ndio kilichotokea tarehe 8/03 ndio kinachoanya gumzo kuwa kubwa ila...
🌍 Nchi Zinazoongoza kwa Uchawi (Kwa Mtazamo wa Tamaduni na Matukio)
1. Tanzania (Haswa Kanda za Kaskazini na Kusini)
Uchawi ni sehemu ya tamaduni nyingi za kiasili.
Matukio ya uchawi yanaendelea kuonekana mara kwa mara, hasa vijijini.
Kuna imani kubwa ya nguvu za roho na maajabu...
Suala la Q Chila na madhara ya kupiga ramli
Alitoka kimuziki mwaka 2002 na wimbo wake " Ulinikataa". He was very big in the industry and he made a lot of money ( KWA viwango vya wakati huo)
Then baada ya miaka kadhaa akapotea hewani.
SABABU HALISI ILIYO FANYA Q CHILA AFE KISANII.
1. Alikuwa...
Tumekwenda Shinyanga vijijini Muheshimiwa Rais tumefika pale usiku Mhandisi wa Maji anahangaika akutane na wewe kiongozi namwambia hapana muda usiku umekwenda tutakutana Site"
"Tunafika eneo linaitwa mwakitolia unakuta zaidi ya bilioni 1.3 hela imetolewa lakini wananchi hawapati maji...
Natamani mchezo wa soka uwe wa vipaji,uwezo na jitihada za mchezaji kama ilivyo kwa nchi za ulaya.
Kuwe na adhabu kali kwa timu itakayodhihirika wazi kuwa inatumia ndumba ama imani za kishirikina kama vile;
1. Kuchimbia vitu vya hovyo uwanjani
2 . Kumwaga unga au maji kwa njia inayoonekana...
Yanga ni washamba kundi kubwa halina elimu (makomandoo, wanachama na mashabiki wao. Ushirikina Mzee mpili, Magoma na wazee wote Yanga)
Ushhamba (Ali Kamwe, Manara, Hersi na Privaldinho), utoto na upuuzi mwingi Arafat, Hersi na wengine wengine wanaosapoti ujinga)
Leo kwa aibu wanang'ang'ania...
Kila wakianza mechi wanatoa mpira nje
Imani za kishirikina zinaitafuna timu ya Taifa
Miaka hii ya karne ya 21 bado mnaamini Imani za kishirikina ?
Soma Pia: Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
Aisee inasikitisha Sana
Mimi ni mchimbaji wa madini.namshukuru Mungu kuwa nimeokoka na ni mwanasayansi.
Wachimbaji wadogo ambao wanajiita wanachama au mafadhagora na wengine wanashift hawaamini kuwa wanaweza kupata madini bila kutoa kafara ya mnyama au hata ya mtu kabisa.Hii ni shida kubwa
Ndiyo maana utasikia mtoto...
Bila shaka mko poa.
Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada. Jana jioni wakati natoka kwenye kutafuta riziki ninaishi Mburahati karibu na hopitali ya Mianzini. kwa wenyeji kidogo maeneo hayo watanielewa.
Kuna makaburi ya wakisto mbele ya hospitali upande wa pili kuna makaburi ya...
Nimesikia kua ukiwa na biashara fulani ukatolea zaka mtaji wako na baada ya hapo ukawa mwaminifu kulipa fungu la kumi katika faida unazovuna.. hapa UTAKUA UMEMALIZA MZIZI WA FITINA WA CHUMA ULETE. hivi hii inabe applied kwa vipi wabobezi wa imani naomba ufafanuzi.
Uchawi upo. Jambo la ajabu kwa sasa nimepata kesi zaidi ya tano ndugu kurogana.
Yaani kuna moja mama hataki kuona vijana wa kike na wa kiume wa wanatoboa.
Ndugu wanafichana mambo na kila mmoja anamuangalia mwenzake kama kihatarishi. Dada mmoja ameniambia Alfajiri anaona anakabwa na Mama yake...
Narudia hii:
1. Kama hujawahi kwenda kwa mganga
2. Kama hujachanjwa Chale
3. Kama Sio mchawi
4. Kama huendekezi imani za giza
5. Kama utotoni wazazi hawajakufunga hirizi shingoni au mkononi.
6. Kama kwenu hajaletwa mganga kuagua
KAMA ULIEPUKANA NA MAISHA HAYA.BASI JIPONGEZE SANA. Kwa sababu...
Mi mtu Mzima Kidogo ambaye nimeishi miongo kadhaa na kushuhudia uongozi wa awamu zote na nimekaa vijijini na mijini
Kwanini Kila mtaa au kijiji au mji mtu akionekana kupata maendeleo watu ukimbilia
1. Mwizi
2. Katoa Kafara
3. Free mason
4. Tapeli
Kwanini uwa wengi hawasujudu nguvu za kazi...
Huwa nashangaa sana mtu kusema Hamna uchawi ila kusema kweli uchawi upo tena bila chenga.
Haya ni baadhi ya matukio ambayo yaliweza kuniaminisha kuwa uchawi upo.
TUKIO LA 1#
Miaka ya 2000s wakati huo nipo mkoa wa Iringa, kulikuwa na Mzee mmoja yeye shughuli yake ilikuwa ni kuchukua...
Katika miaka niliyo nayo mpaka sasa sijawahi kukubali kuwa eti kuna uchawi sijui mtu anaweza kuloga sijiui mambo yako yasiende.
Kama kweli uchawi upo kwanini hao wachawi wasiende benki wakaloga wakachukua pesa.
Kama kuna mtu humu ndani alishawahi kulogwa njoo utupe mrejesho ilikuwaje.
Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.