ila

Òkè-Ìlá Òràngún (often abbreviated as Òkè-Ìlá) is an ancient city in southwestern Nigeria that was capital of the middle-age Igbomina-Yoruba city-state of the same name.
Òkè-Ìlá is a city in Ọṣun State, Nigeria. It is situated in the northeastern part of Yorubaland in southwestern Nigeria. Òkè-Ìlá Òràngún’s sister city (and sister kingdom) Ìlá Òràngún is located about 12 kilometres (7+1⁄2 mi) to the northeast, separated by the north-trending ridges and gorges of the Oke-Ila Quartzites.
Òkè-Ìlá Òràngún is currently capital of the Ifedayo Local Government Area of Ọsun State. The Ifedayo LGA (Local Government Area) Secretariat is located on the northern outskirts of the town. The administration of the two major towns and the several smaller towns and villages is conducted from the Ifedayo LGA Secretariat.
The paramount ruler of the town is Oba (Dr.) Adedokun Abolarin, Òràngún of Òkè-Ìlá (Aroyinkeye 1). He was a lawyer before his installation as the traditional ruler of the town. Abolarin College, one of the prominent schools in the town is owned by him.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sijui kwanini ila mara nyingi mtoto wa tatu na wanne mara nyingi sio damu yako.

    Nachojiuliza ni namna gani wanawake wame master sanaa ya kuzaa na bwana akalea kama watoto wa kiuno chake.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Katika kujenga Discipline (Nidhamu) hakuna vita kali kama Will Power Vs Self controll, Ni rahisi sana kusema I will do xx ila ni mtihani kufanya kweli

    Nidhamu au Discipline ni tunda la ku master Self Contoll mara kwa mara mpaka inakuwa sehemu ya maisha yako, lakini una kazi ya ziada ya kumechisha Self Controll na WillPower, Sio kazi rahisi. Will ni nia au maamuzi unayojiwekea. ndio maana kwenye kiingereza huwa tunasema i will ...
  3. JamiiForums Tanzania Mke wangu ameanza kuvaa chupi aina ya bikini, nilimuonya kabla ila nashangaa amerudia tena

    Jambo Tanzania Miezi kama nane huko nyuma mke wangu alianza kuvaa chupi aina ya bikini,nikamuonya akaacha, Sasa juzi kati naona tena kaanza kuzivaa nimemuuliza anasema ndio fashion ya mjini kwa sasa kwani hata mashosti zake wote wanavaa bikini. Sasa wakuu,binafsi nituonavyo huto tuchupi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu tulioajiriwa Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC) mwaka wa pili sasa hatuna fedha za kujikimu

    Walimu walioajiriwa hivi karibuni katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC), huu ni mwaka wa pili sasa hatujapewa fedha za kujikimu, licha ya kuona watumishi wa idara nyingine wakilipwa. Tunaomba mamlaka husika itusaidie kufuatilia suala hili na kuhakikisha na sisi walimu tunapatiwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kustafu unzinzi ila lazima Hawa niwapitiekatika

    Ujana wangu upo ukingoni Sasa very soon naenda hit 40,miaka kumi na mbili iliyopita nilipanga ujana wangu ntautumia wote nikiwa bila mke ila lazima niwe na watoto , nilipanga ntatumia muda mwingi kutengeneza misingi y kiuchumi sababu Mimi ni mwalimu , bila mpango mkakati wa kutengeneza misingi...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Misri wana mvua chache sana ila wana pesa nyingi kuizidi Tanzania. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE l??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Misri hawana mvua ila wana pesa nyingi kutuzidi. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria na sisi (Tanzania) tuwape maji ya ziwa Victoria kwa maana tuna pesa kidogo ila mvua ni nyingi sana??
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mradi wa Daraja la Mto Sanga lililopo Meatu Shinyanga umekamilika ila Wafanyakazi tunadai mishahara tangu Aprili 2025

    Sisi wafanyakazi wa ujenzi wa Daraja la Mto Sanga linalounganisha Ifungilo na Usangijo, Wilaya ya Meatu, tunailalamikia Kampuni ya Busangwa Company Limited ya Shinyanga kwa kushindwa kutulipa stahiki zetu baada ya kumaliza kazi ya ujenzi wa daraja hilo. Tulifanya kazi kwa uaminifu tangu mwezi...
  8. JamiiForums Tanzania Rubani mwenza amemchoma kisu rubani mkuu ili aweze kudondosha ndege makusudi

  9. JamiiForums Tanzania KAJALA: SIPATI MWANAUME, HAPANA NAPATA ILA NIKIWA NA HARMO NAKUA NA AMANI SANA

    Eti una mpenzi ambae ukiwa nae unakua na AMANI SANA? Kama hujawahi pemda huwezi muelewa, Yani Kuna ile unakua na mpenzi ambae Yani hata kama una Nuka jasho, huja piga mswaki, Yani unakua na AMANI SANA na una ona kawaida acheni tu kataa ndoa, na mashoga mtupishe kidogo, Kwa nini unarudiana na...
  10. JamiiForums Tanzania Netanyahu kakutana na raisi wa UAE leo kudumisha ushirikiano ila wewe mwarabu wa yombo dovya unajifanya kutukana wayahudi mitandaoni😁

    Endelea kupiga ramli😁
  11. JamiiForums Tanzania Ila watu bana wananishangaza sana

    Wewe mtu nimekukaribisha kwangu upafahamu tayari umeshaanza mambo ya umbea hii itakusaidia nini? Ndiyo nina mitungi sita ya gesi nyumbani kwangu na yote iko full yani hapo na mtu anashangaa kabisa eti "oya.. una mitungi sita ya gesi na yote iko full" yani kaona eti hicho ni kitu cha ajabu. Mara...
  12. JamiiForums Tanzania Pastor kutoka naijeria akiwashukuru US na Israel kwa kuwasaidia dhid ya magaidi ya kijihad wanaowaua ila wewe upo tegeta nyuki umewanunia israel na US

  13. M

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
  14. JamiiForums Tanzania Jonathan Mabihya, Ateuliwa tena kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Singida , ila sio maadilifu kabisa

    https://www.jamiiforums.com/threads/inadaiwa-katibu-ccm-kilimanjaro-akwapua-mamilioni-ya-fedha-za-kina-mama-moshi.2065675/
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwanzoni akiwa RC niliamini yuko smart ila baada ya kupandishwa cheo na kuanza kufunga wanawake waliomtongoza na sasa hili boko ! 🤯🤯

    Labda kweli cheo kikubwa hakibadilishi akili ya mtu, kinachofanya ni kumfichua anavyofikiri na kufanya maamuzi kwa uhuru. Mwanzoni nilikuwa nikimuona kama mtu smart sana alipokuwa RC Tabora. Hasa namna alivyoshughulikia kesi ya kumkamata tapeli aliyekuwa akiwadhulumu viongozi ilimpa credit...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya majimbo italeta ukabila, Tunachohitaji ni Katiba ya Warioba. Ghana, Malawi, Zambia na Botswana zina mfumo kama wetu ndio maana zimetulia

    Wilaya zetu zina makabila, na mikoa yetu pia ina makabila. Hata hivyo, mfumo wa uongozi wa serikali za mikoa tulionao, ambao kwa namna fulani unapatikana pia katika nchi zinazotajwa kuwa na mshikamano mkubwa wa kitaifa kama Ghana, unapunguza uwezekano wa viongozi wa mikoa na wilaya kujijenga...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Jambo linalokera hata wewe una lako ila pia jitahidi usiwe kero kwa wengine

    kero ni kitu kinachokera sijatoa tafsiri lakini kila mtu ana kero kwa wengine na yeye pia anaweza kerwa. kama unakera jua unakerwa pia. je, ni kero gani inakukera sana inaweza kuwa moja au mbili n.k. YANGU: UNAMWITA MTU NJOO AU KARIBU TULE . UNASHANGAA KAENDA CHOONI, AU ANAPENGA KAMASI...
  18. JamiiForums Tanzania Alinitesa ila nilitoka kidedea na somo kubwa.

    Katika kukuwa niliamini kuwa ukiona watu wawili wameoana na kuishi pamoja sio by chance... Yaani kuna some sort of intervention wao kukutana, kuoendana na kuishi pamoja. Sasa kuna msichana mmoja ambaye kanitesa, akiniyumbisha na kunifanya nipitie tanuri la moto.. Ni kama nilikuwa nimerogwa kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Lynn Chawala: Alama za Ufaulu Ajira Portal ni 50, ila kupangwa kazini inategemea na ufaulu wa juu na mahitaji

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Lynn Chawala amesema ufaulu na mfumo wa upangaji wa matokeo ni miongoni mwa vigezo vinavyozingatiwa katika mchakato wa ajira, huku uteuzi ukitegemea pia mahitaji ya taasisi husika. Amesema mfumo hupanga waombaji...
  20. JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa PostGraduate UDOM tulitoa hela za extension na sasa wameweka grace period, ila hawataki kurudisha fedha

    Mwaka jana, chuo kilitangaza kuwa hakukuwa na grace period, hivyo muda wa masomo unapomalizika, mwanafunzi alitakiwa kulipia extension ili kuendelea na masomo. Hata hivyo, mwaka huu chuo kimetangaza kuwa grace period ipo kwa muda wa miezi mitatu. Changamoto ni kwamba sisi tuliolipia extension...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…