Wapiganaji 100 wa Hamas wamekamatwa Leo na jeshi la Israel IDF. Kwa Sasa wapo Chini ya ulinzi. Haya yanatokea baada ya kuonekana wapiganiji wa Hamas wamo ndani ya Hospitali huko Gaza.
Ndipo walipozungukwa na kuzidiwa mashambulizi na kuamua kussurender. Kwa Sasa wapo sehemu salama wanatoa...