idf

In information retrieval, tf–idf (also TF*IDF, TFIDF, TF–IDF, or Tf–idf), short for term frequency–inverse document frequency, is a measure of importance of a word to a document in a collection or corpus, adjusted for the fact that some words appear more frequently in general. It was often used as a weighting factor in searches of information retrieval, text mining, and user modeling. A survey conducted in 2015 showed that 83% of text-based recommender systems in digital libraries used tf–idf.Variations of the tf–idf weighting scheme were often used by search engines as a central tool in scoring and ranking a document's relevance given a user query.
One of the simplest ranking functions is computed by summing the tf–idf for each query term; many more sophisticated ranking functions are variants of this simple model.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    Baada ya IDF kuwapiga kwenye mshono Iran leo wamelalamika!!

    Baraza la Ulinzi la Kitaifa la Iran limetoa taarifa inayopendekeza kwamba linaweza kuanzisha shambulio la mapema dhidi ya Israeli(Preemptive-Strike)‼️ "Usalama, uhuru, na uadilifu wa eneo la Iran ni mstari mwekundu ambao haupaswi kuvukwa. Uchokozi wowote au tabia yoyote ya uadui inayoendelea...
  2. Echolima1

    IDF yaanza tena kuwapelekea moto Hezboullah huko Lebanon

    Msemaji wa IDF anayezungumza Kiarabu ametoa onyo la kuhama kwa maeneo mawili kusini mwa Lebanon. Tayari sasa Hezbollah wameanza kunyea ndoo!!
  3. Echolima1

    Mafanikio makubwa ya IDF kwenye uwanja wa Medani 2023/2024/2025!!

    Maangamizi mkubwa zaidi wa magaidi uliofanywa na IDF katika miaka miwili iliyopita: Walioangamizwa na Wasifu wao kwa mwaka (2024): 1) Salee al-Arouri Naibu kiongozi wa kisiasa wa Hamas, mwanzilishi wa tawi la kijeshi la Hamas 2) Marwan Issa Naibu kamanda wa tawi la kijeshi la Hamas 3)...
  4. Ritz

    IDF imesema Hamas wameua wanajeshi 4 jana, siku zote huwa hawasemi ukweli wamekufa wengi

    Wanaukumbi. Wanajeshi wanne wa Israel wameuawa katika shambulio la Hamas pembezoni mwa Jiji la Gaza mapema Jumatatu Septemba 8, 2025 jeshi limethibitisha baadaye siku hiyo. Tangazo hilo limetolewa wakati Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu akiwatolea rai wakazi wa Jiji la Gaza “kuondoka mara moja,”...
  5. Echolima1

    Yule msemaji wa Hamas Abu Ubaida IDF wamepita naye

    Tathmini za Israel zinaonyesha kuwa Abu Ubaida ameangamizwa bila huruma yoyote Afisa mmoja mkuu wa Israeli alisema: "Ikiwa angekuwa huko, hakuna uwezekano wa kunusurika jaribio hili la mauaji." Taarifa za awali kuhusu mahali alipo zilipokelewa jana usiku, na saa 5:30 jioni hii fursa...
  6. Sitaki kuamini

    Hivi kuna jeshi lenye ufanisi mkubwa Duniani kuzidi IDF?

    Wakuu leo nimefikiria sana juu ya accusations wanazozipata Israel juu ya Genocide huko Gaza. Hivi tuseme ukweli Hawa jamaa kama wangekua wanafanya hizo Genocide huko wangeruhusu wanajeshi wao zaidi ya 500 wafe tangu vita imeaza ? Israel alifanikiwa kushika anga la Iran karibu week anashindwa...
  7. Echolima1

    Gaidi aliyekuwa akisakwa na IDF akamatwa ndani ya Benk huko Hebron-West-Bank!!

    Vikosi vya usalama vya Israel vilifanya operesheni sahihi katikati mwa Hebron, kumkamata gaidi anayesakwa ndani ya tawi la benki. Wakiwa wamejigeuza kama wateja, wapiganaji waliofichwa kutoka Kitengo cha Duvdevan waliingia ndani kabla hajafyatua risasi. Mshukiwa, aliyehusika na shambulio la...
  8. Echolima1

    IDF inajiandaa kwa shambulizi la kuitwaa tena Gaza!! Yajayo yanafurahisha!

    Mnamo 2005, Israeli ilijiondoaUkanda wa Gaza na kuvunja makazi yote 21 ya Israeli huko. Kama sehemu ya mchakato huu, makazi manne ya Waisraeli katika Ukingo wa Magharibi yalivunjwa pia. Kuondolewa huko kulitekelezwa kwa upande mmoja na Israel na bila uratibu na Mamlaka ya Kitaifa ya Palestina...
  9. Echolima1

    Ndiyo maana IDF inaitwa The Most Moral Military Army in the Planet

    Huko Ramallah tunaona "raia wasio na hatia" wakishambulia jeep ya IDF kwa mawe. Huwezi kuona kwenye Jeshi lolote duniani wanavumilia upuuzi kama huu!!! Ni IDF tu wanaweza kukuvumilia kwingine kitakachofuata utajuta mwenyewe!!
  10. gallow bird

    Wanajeshi IDF wafichua Oktoba 7 ilikuwa mpango wa ndani

    Wanajeshi wa IDF wafichua kwamba shambulio la Hamas la oktoba 7 lilikua na mkono wa israel, katika kile kinachodaiwa kuwa ni sababu/fursa tosha ya kuwaondoa wapalestina milele
  11. ibrah0102

    IDF yashumbilia kanisa katoliki Gaza

    Jeshi la Israel (IDF) lashutumiwa kwa kulenga kanisa kwa makusudi Kardinali Pierbattista Pizzaballa amesema: “Tunachojua kwa hakika ni kwamba tanki — IDF wanasema kwa bahati mbaya — lakini sisi hatuna uhakika, lilipiga moja kwa moja Kanisa la Familia Takatifu, Kanisa la Kilatini.” Kanisa...
  12. Sun Zu

    F-15 Fighter Jet ya IDF almanusura kudakwa na Iran

    Ripoti ya Channel 12, kwa mara ya kwanza imefichua hadharani kuwa, ndege ya kivita ya Israel F-15 ilikaribia kutua katika ardhi ya Iran wakati wa vita vya siku 12 kati ya Israel na Iran. Ndege hiyo ilipata hitilafu ya mfumo wa tanki la mafuta wakati ikifanya kazi ndani ya anga ya Iran. Rubani...
  13. U

    Breaking News Waziri wa ulinzi Israel aagiza IDF kuishambulia Iran baada ya kukiuka makubaliano ya kuacha ya. Amani baino yao

    . Israeli official: ‘Iran broke the ceasefire, and it will pay’ By Lazar Berman Follow Today, 11:22 am Israel will respond to Iran’s missile attack, an Israeli official says, shortly after Tehran launched at least two ballistic missiles soon after the start of a ceasefire. “Iran broke the...
  14. kyagata

    Viongozi wengine wa kijeshi wa Iran wameuwawa na IDF

    Hawa wa Israel ni changamoto sana.
  15. Isenye

    Taarifa kutoka IDF (Israel defence forces)

    Hii ndio the latest report kutoka IDF.
  16. D

    IDF: Mpango wa kulipua kituo kikuu cha nyuklia cha Iran cha Fordow, uko tayari. Kinachosuburiwa ni amri tu

    Ni kwa mujibu wa JERUSALEM POST, Taarifa ya 17/06/2025 1903 hrs Easy African time. Kama mpango wa kumuua Ayatollah ulivyo tayari, ndivyo pia mpango wa kulipua kituo kikubwa Cha kurutunusha Uranium kilicho chini ya Ardhi Cha Fordow uliyo. Kinachosubiriwa ni amri tu. ================ The IDF on...
  17. U

    Taarifa muhimu kutoka IDF says it completed ‘extensive’ wave of strikes on IRGC, military targets in Iran

    Niwatakie usiku mwema kazi ya today imeisha, kesho kesho nayo ni siku, Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, June 15, 2025 IDF says it completed ‘extensive’ wave of strikes on IRGC, military targets in Iran By Emanuel Fabian Follow Today, 11:11 pm The IDF says it has completed an...
  18. The Zanzibar Echo

    IDF yaonya Wairani kuondoka katika maeneo karibu na miundombinu ya kijeshi

    Vikosi vya Ulinzi vya Israel vimetoa onyo la dharura kwa Wairani, na kuwaambia wakaazi kuondoka katika eneo lililo karibu na vituo vya kijeshi. Katika ujumbe kwenye mtandao wa X, akaunti ya IDF ya lugha ya Kifarsi inasema: "Watu wote ... waliopo ndani au karibu na viwanda vya utengenezaji...
  19. The Zanzibar Echo

    Tumeshambulia maeneo ya miundombinu ya nyuklia ya Iran - IDF

    Vikosi vya Ulinzi vya Israel vilisema kuwa vimefanya mfululizo wa mashambulizi katika maeneo ya miundombinu mjini Tehran yanayohusiana na mpango wa nyuklia wa Iran. Jeshi linasema maeneo lengwa ni pamoja na makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Iran na Shirika la Ubunifu na Utafiti. Iliongeza...
  20. Webabu

    Hamas watumia fursa ya vita vya Israel na Iran kuwakimbiza askari wa IDF huko kusini mwa Gaza

    Wapiganaji wa Hamas ambao kwa sasa wanapigana kwa mbinu mbadala baada ya viongozi wao wakuu kuuliwa wameonekana kuja juu katika wiki kadhaa zilizopita na kufanikiwa kuwauwa askari kadhaa wa Israel hasa maeneo ya kusini mwa jimbo la Gaza. Katika matukio ya hivi karibuni ni kuwakimbiza askari wa...
Back
Top Bottom