An ideology (/ˌʌɪdɪˈɒlədʒi/) is a set of beliefs or philosophies attributed to a person or group of persons, especially as held for reasons that are not purely epistemic, in which "practical elements are as prominent as theoretical ones." Formerly applied primarily to economic, political, or religious theories and policies, in a tradition going back to Karl Marx and Friedrich Engels, more recent use treats the term as mainly condemnatory.The term was coined by Antoine Destutt de Tracy, a French Enlightenment aristocrat and philosopher, who conceived it in 1796 as the "science of ideas" to develop a rational system of ideas to oppose the irrational impulses of the mob. In political science, the term is used in a descriptive sense to refer to political belief systems.
By Advocate Nulphin Charles Heche
There comes a moment when a political movement must ask itself a hard question: is it still driven by ideas and principles, or has it quietly surrendered to money and personal ambition? For CHADEMA, that moment has arrived. What began as activism rooted in...
Jeshi la houthi lisababisha vifo ya mamilioni ya watoto huko yemen na kuacha utapia mlo ambao upo hadi leo unatesa watoto.
Jeshi la ISIS liliwateka wanawake wa kisyria na iraq na kuwageuza watumwa wa kingono na wengine kuwauza kwa watu wengine.
Jeshi la boko haram limesababisha chaos nigeria...
Tutakumbuka siku chache zilizopita ilisambaa barua iliyoashiria chuki, ubaguzi wa Kidini wa watendaji wa Serikali (Tume ya utumishi wa walimu - Muleba Kagera) kwa kukataa kumpatia barua ya kumthibitisha Mwalimu kwa kuwa anafuga ndevu nani Mvaa kanzu.
Barua ile si tu ilimkashifu Mwalimu bali...
Watanzania wameshindwa kuwaunga mkono upinzani kwa kuwa hakuna chama cha upinzani nchini kilichojitanabaisha na mrengo au muelekeo flani .
Yaani hawana ideology ambayo mwananchi anaweza kuitambua.
Hadi tutakapofikia huko CCM itaendekea kutawala milele kwani inatambua Ujamaa kama ndio muhimili...
Lowasa wakati anatoka CCM alisepa yeye na kijiji plus familia yake yote plus ndugu na jamaa na marafiki zake karibia wote.
Sasa hawa G55 sijuia kama wanajishutukia kwamba wanaondoka wenyewe hata familia zao haziwafuati huko, hakuna anaye waunga mkono huko, hakuna anaye wasapoti.
Hata Dr Slaa...
CCM sasa ni dhahiri, haina sera za kuwaunganisha wananchi wote.
Kwa sisi makada wa siku nyingi, Unifying Ideology kwa wanachi wote wa Tanzania, tena wa rika, jinsia au misimamo ya kisiasa yoyote, CCM lazima iwaunganishe wananchi wote.
Zamani tulikuwa na hata matembezi ya mshikamano, iliyokuwa...
Ni rahisi muislam kushawishika na kua na nia, kuatayari kujitolea au kupigania dini bila ya kua na mpango unaoeleweka. kwa sababu hiyo, watu wenye mipango wanawatumia sana waislam kwa kigezo cha itikadi kutimiza mipango yao. Ukiweza kushika kisha cha kiongozi wa kiislam akawaaminisha waislam...
Yeeeerrrrreeeeh!
He is dead. Kafa ama hajafa?
Hamas sympathisers sasa hivi wanajifariji wakiwa na maumivu makali ooh kila mtu atakufa sijui Hamas ni ideology.
Kwani nani hajui kila mtu atakufa nyie?
Kafa ama hajafa?
Asante Israel kwa kuwalipizia vijana wetu wapendwa kisasi.
R.I.P and the...
Mafanikio ya pesa ni addictive, utahitaji zaidi na zaidi, leo upo middle class lakini unahisi unastahili kuwa upper middle class.
Mafanikio ya pesa ni "very demanding", utahitaji vya gharama zaidi na zaidi, leo utanunua harrier lakini unahisi kwa uwezo ulionao unapaswa ununue fortuner.
Kama...
The Satanic and Talmudic nature of Benjamin Netanyahu’s ideology in
Israel is purely under Satanic forces, and Benjamin Netanyahu seems to have imbibed a Satanic ideology through the teachings of the Talmud.If you haven’t noticed, over 20,000 civilians, mostly children, have lost their lives in...
Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa...
Moja ya sababu kubwa iliyooelekea Chama cha Mapinduzi (CCM) kutawala (sio kuongoza) kwa kutumia vyombo vya dola ikiwemo Polisi na TISS kushindana na vyama vya upinzani hususan CHADEMA ni kwa sababu CCM hawana ITIKADI.
Ndio maana leo wanajibu hoja za Chadema kwa jeshi la polisi kuvamia shughuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.