Wakuu!
Inakuaje kwa waliochangia pesa ya kumlipa Harmonize ili avunje Mkataba wake?
===
Msanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Ibraah, ambaye alikuwa chini ya lebo ya Konde Gang, sasa ni huru rasmi kuendelea na kazi zake za muziki kama msanii huru. Hii inafuatia makubaliano yaliyofikiwa leo...
Wakuu,
Hivi karibuni, Ibraah amekuwa kama “hot cake” kwenye anga za muziki si tu kwa sababu ya mafanikio ya wimbo wake Copy and Paste, bali zaidi kutokana na sakata lake na lebo ya Konde Gang.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ibraah aliwashangaza wengi alipowaomba Watanzania wamchangie fedha...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limechukua hatua ya kuingilia mvutano unaoendelea kati ya msanii Ibraah na bosi wake, Harmonize, kwa kuitaka pande zote mbili kufika ofisini kwao Jumatatu Mei 12, 2025 kwa lengo la kutafuta suluhu ya mgogoro huo.
Taarifa hiyo ya BASATA inakuja kufuatia mvutano...
Huku CHADEMA vs CCM, Kule Ibraah vs Harmonize, wadaku huu ni muda wa kujilia vyenu, nina hakika mapipa yenu yatajaa habari za kuwafikisha mpaka mwakani
Ebana Ibraah anadai kidogo Harmonize ambutue na mkonge wake alipomuita Chumbani
Kupitia Ukurasa wa Instagram msanii wa Bongofleva ambaye mwaka 2020 alitambulishwa rasmi kuwa Msanii wa Label ya Muziki ya Konde Gang, Ibraah ameandika ujumbe wa kuomba msaada kwa watanzania kiasi cha B 01 ili aachane na Kondegang
"Sio mbaya kukubali kuwa mimi ni kijana niliyetokea kwenye...
Ukisikia wiki ya Hit ndio hii, Ibraah wa Kondegang ameachia wimbo uitwao Dharau ambao ame shirikiana na Boss wake Harmonize nadiriki kuwa ambia ni kisanga, awa jamaa kwa Melody ni balaa yaani ni hatari tupu,
Ngoma inapanda Tending kwa speed ya 5G uko mjini Youtube.
.
Kijana Ibraah tangu ajiunge Konde Gang kama vile yupo shimoni. Alivuma kwa kasi na kupotea, hivi sasa hajulikani aliko, shabiki zake hawajui hali ya kipaji chake pengine kinapotea ama lah.
Konde Gang yapi yanayowasibu mpaka inafikia hatua ya kijana wetu kupotea kimuziki. Ikiwa lebo yenu...
Msanii Ibraah kutoka Konde Gang ameweka rekodi ya kihistoria baada ya kuweka video ya wimbo wake mpya uitwao "rara".
Wimbo huo umeweka rekodi ya kupata views zaidi ya laki tatu chini ya dakika moja. Rekodi hiyo inasemekana ni ya kwanza kutokea kwa msanii wa Afrika Mashariki na kati.
Mpaka...
Channel ya Youtube ya msanii Ibraah wa Konde gang imefutwa (Terminated) inasemekana kuna vitu amekiuka ikiwemo copyright na wataalamu wa mitandao wanasema account ikishakuwa Terminated hakuna uwezekano wakuilidisha tena . Ingekuwa imehackiwa wangeiludisha ila kuwa Terminated dogo inabidi aanze upya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.