ibenge

Jean-Florent Ikwange Ibengé (born 4 December 1961) is a Congolese football coach and former player who manages Sudanese club Al-Hilal Club.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Kocha Florent Ibenge umefanya kosa kubwa sana na la Kiufundi kuja Kufundisha Soka Tanzania ambayo Ligi Kuu yake ina Makandokando mengi yasiyoelezeka

    Na nina uhakika CV yako kubwa na nzuri uliyoijenga huko Kwingineko inaenda Kuharibika rasmi hapa Tanzania. Mimi GENTAMYCINE ninayeandika hivi naijua Michezo michafu yote ya Simba na Yanga na ya Ligi Kuu ya Tanzania na ndiyo maana unaona nasema tena kwa Masikitiko makubwa kuwa nakuonea Huruma na...
  2. OMOYOGWANE

    Kufeli kwa Azam Fc , Singida na vilabu vingine vya mikoani ligi kuu ni suala la kisaikolojia? Ibenge na Gamond wanaenda kufuta inferiority complex

    Leo Tarehe 7/7)2025 naandika huu uzi kama utabiri Azam Fc ina resources zote pesa, uwanja na wachezaji wazuri wenye viwango vya kimataifa. Ni kawaida kwa mashabiki wa Simba au Yanga kuiita azam ni timu ndogo timu ya ukwsju na embe huku wengine wakiifananisha na kobe dhihaka zote huelekezwa...
  3. NALIA NGWENA

    Kuja kwa Florent Ibenge Ligi Kuu ya Tanzania: Ushindani Mpya Waanza Kuonekana

    Kuingia kwa kocha Florent Ibenge katika Ligi Kuu ya Tanzania ni tukio linaloleta msisimko na matarajio mapya kwa mashabiki wa soka nchini. Ibenge, ambaye ni mzoefu na mwenye mafanikio katika soka la Afrika, anatarajiwa kuleta mabadiliko makubwa kwenye mbinu, nidhamu, na ushindani wa ligi yetu...
  4. B

    Ibenge ndani ya Azam, ligi kuu itakuwa na moto sana

    Kazi ipo msimu ujao,ligi inaenda Kuwa ya moto haswa,niwaombe timu yangu ya Simba tuacha masihara Kabisa Kuanzia Sasa tuendako ni machozi jasho na damu...watu hawataki masikhara Kabisa sshv.
  5. uran

    Florent Ibenge kocha Mpya Azam FC

  6. Waufukweni

    Klabu ya Azam imekamilisha usajili wa kocha Florent Ibenge aliyekuwa anaifundisha Al Hilal

    Klabu ya Azam imekamilisha usajili wa kocha Florent Ibenge ambaye alikuwa anaifundisha klabu ya Al Hilal ya Sudan. Kilichosalia ni utambulisho rasmi tu. Azam inaendelea kujitafuta ili ifikie malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu kandanda Tanzania Bara, kwa kufanya sajili kubwa msimu huu.
  7. DuaZaMama

    Tetesi: Ibenge na Azam Fc mambo safi, Bado kutambulishwa tu

    Transfer News Live👇👇 Muda wowote kuanzia sasa Kocha wa Al Hilal Florent Ibengé (63) atatangazwa kuwa kocha mkuu wa Azam FC. Muda huu Ibenge yuko nchini kukamilisha taratibu zote✍️ Maisha ya Rachid Taoussi yamefika mwisho ndani ya Azam✍️ Ibenge aliwahi kuhusishwa na klabu ya Simba Dili...
  8. DELETED ACCOUNT

    Hesabu za Ibenge zimemtokea puani

    Baada ya kocha wa Al Hilal Florent Ibenge kusemekana kupokea mlungula kutokea kwa uto ili kuwapa uto uhai na matumaini ya kufuzu kwenda robo fainali, aliangaliaaa misimamo ya makundi mengine akawa na maamuzi ya kufanya. Kwanza ni maamuzi ya kuonyesha kwamba timu imeshuka kiwango ili kuaminisha...
  9. E

    Ibenge kala hela za watu na wameshindwa kufikia malengo

    Kiuhalisia safari ilibidi iishie Sudani , mgonjwa akaongezewa drip kidogo ndugu wakapata matumaini Ibenge mtu m bad sana
  10. GENTAMYCINE

    Kwahiyo Kocha Mnafiki Ibenge baada ya jana kufika Bei na kuwaachia 'Calculator FC' ndiyo kaamua Kuidhalilisha hivi Simba SC?

    Katika Mtandao wa Sokavibe6 ameonekana Kocha Ibenge akiwa na Ali Kamwe na Privaldinho kutoka Yanga SC akisema kuwa Simba SC huwa wanaweka Dawa Vyumbani kwa Mkapa ili kuzifunga Timu za Kigeni na kwamba Yanga SC huwa hawana huo Utaratibu. Huu ni Udhalilishaji mkubwa na kutaka tu kuichafua Klabu...
  11. GENTAMYCINE

    Kikosi cha Ibenge alichofungwa Mauritania jana ni kilekile alichoshinda Mechi ya awali Tanzania?

    Nadhani niliwatahadharisha mapema kuwa hakuna Watu Wanafiki na wepesi kufanya Biashara za Madili kama akina Bandeko Nangai (Wakongomani) na hatimaye mmekiona. Pamoja na Uzito wangu wa sasa wa Kilo 83 nikiwa Golikipa siwezi Kufungwa Goli jepesi kama lile alilofungwa Kipa wa Timu ya Kocha Mnafiki...
  12. M

    Asante sana Ibenge kwa ushindi wa Yanga SC

    Huo ndio undugu sasa. Maana sisi wenyewe tusingeweza Game yetu ya mwisho na waarabu tushindwe wenyewe sasa. Turejesheni calculator za watu Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
  13. GENTAMYCINE

    Ibenge kasema hataki Kuchafua Jedwali, hivyo 'pira lipigwe' na anaweka 'muziki full mkoko' huko mlikomfuata

    Yaani mpaka sasa Yeye ndiyo hajafungwa Mechi hata Moja halafu na Fedha zenu za Kukwepa Kodi za Kampuni yenu (yenye shareholder mkubwa Mstaafu Mr. Chalinze Bagamoyo) ndiyo mnataka mumuzawadie ili 'awaminyie' mumfunge kisha mjiweke pazuri mvuke mkijiaminisha kuwa iwe isiwe Mwarabu atakufa Temeke...
  14. GENTAMYCINE

    Ibenge ameshachoka na Simu za mara kwa mara za Msomali Koko

    Na kwa tuliobahatika kidogo kuishi / kukaa na akina Bandeko Nangai (Wakongo kutoka DRC) hawa Jamaa unachokiona Nyusoni Kwao sicho kilichopo Mioyoni Mwao. Unaweza kuwa nae katika Dili (kama la nisaidie nipite) halafu ukampa Hela na akakuahidi kabisa kuwa hakuna wasiwasi ila baadae Shughulini...
  15. DELETED ACCOUNT

    Ibenge hawezi kuiachia Yanga kirahisi rahisi

    Kuna hii dhana ipo vichwani mwa mashabiki wa Yanga kudhani Kocha wa Al Hilal Florent Ibenge anaenda kuilegezea Yanga ili ipate walau sare katika mechi ya Jumapili. Ngoja nikwambie kwa nini hilo ni gumu kutokea. 1. Al Hilal wanataka kumaliza group stage kwa alama nyingi inavyowezekana na bila...
  16. M

    Mpango wa kuongea na Ibenge wapate sare umeanza, shame on you

    Za ndaaaaaaaaaaaaaaaani, Ibenge amepigiwa simu akiombwa sare ili fainali iwe kwa Mkapa. Daaah nimesikitika sana, Ibenge kawajibu atawapa majibu ndani ya siku 2 lkn wajiandae kumwaga mzigo vinginevyo ngumi jiwe tu. Mechi ni sare, believe me or not
  17. K

    Fadru, baada ya Ibenge, ndiye anayejipambanua kwa sasa ndiye mbabe wa mbinu

    Ibenge Yupo amejenga jina tayari, mbabe Wa mbinu. Anaogopwa! Kikubwa kinachombeba ni mbinu Ya Michuano husika. Kujua Michuano inahitaji nini kwa wakati husika? Na kuweza kutengeneza mipango ya kumaliza issue. Fadru Davis. Kocha mwingine asiyeimbwa Ligi ya NBC na CAF, Wachambuzi wote huwa...
  18. Waufukweni

    Florent Ibenge amvuta kocha wa Tabora United, aliyewafunga Yanga na kumpa jukumu

    Wakati zikisalia saa chache kabla ya Yanga kushuka Uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na Al Hilal ya Sudan, kocha wa Waarabu hao Florent Ibenge amemvuta mjini kocha mmoja aliyewatibulia wenyeji wake. Ibenge amemuita jijini Dar es Salaam haraka kocha Anicet Kiazmak ambaye ni kocha wa Tabora...
  19. kalisheshe

    Ni muda wa Simba SC kumchukua kocha Florent Ibenge

    Kama ni kweli kocha Benchika anaondoka mwisho wa msimu, hakuna haja tena ya simba kutafuta kocha kutoka mbali au kocha mwenye rangi nyeupe. Ibenge ni mmoja kati ya makocha wenye CV kubwa barani Africa, kinachomuongezea faida ni ubora wake katika kuwajua wachezaji na kulijua vyema soka la africa...
  20. William Mshumbusi

    Matajili Azam nawakumbusha Ibenge yupo tu. Au Asec wana kocha mzuri sana hawana hela

    Eti matajiri wanaokota mtu cheap kabisa wanampa timu. Ukiangalia CV yake yote kafundisha timu za under 20 tu. Timu za watoto wa damu changa na akili ndogo kabisa unategemea ataleta nini kwa klabu kongwe. Leo mnataka miujiza gani. Aliyekula asilmia hapa Hana huruma kabisa. Timu bovu kuliko...
Back
Top Bottom