Kuna mwamba mmoja aligongwa na gari mfupa wa juu wa mkono uloconnect na bega ukachomoka kwenye socket yake sapot ikabak ni ngozi, misuli na tishu zingine.
Kwa bahati nzuri ile ajali ilitokea karibu na hospital ya wilaya na ma dokta walikuwa wapo nje wameenda kupata lunch. Wakawahi kumchek jamaa...
Yani Kwa mfano, nchi A ina wakosoaji waliokimbilia nchi B na kupewa hifadhi,
Nchi A ikituma "watu wake" wakafanya operation Kwa siri nchi B kinyume na Sheria za nchi husika kama ubakaji, ufiraji, mauaji nk nk ,na baada ya uchunguzi ikabainika nchi A imehusika,
Swali .
Hatua zipi huchukuliwa...
Katibu wa Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Usafirishaji (TADWU), Ramadhani Suleiman amesema kuwa ajali nyingi za barabarani husababishwa na makosa ya kibinadamu.
Ramadhani ameeleza kuwa makosa mengi yanayochangia ajali hizo ni hali ya miundombinu, msongo wa mawazo na msongamano wa vyombo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.