huruma

Huruma Estate is a residential estate located in the northeast of Nairobi, the capital of Kenya. It borders Kariobangi and Dandora to the east, Moi Air Base to the south, Mathare to the north and Eastleigh to the west.
In April 2016, during Kenya's rainy season, a building collapse in Huruma resulted in the deaths of 52 people. The building's owner, Samuel Karanja Kamau, was charged with manslaughter.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Taifa lolote linapokuwa na mkuu wa nchi ambaye hana huruma kwa raia wake ni taifa linaloekea pabaya. Raia wa hilo taifa watapata magumu na taabu kubwa

    Raia wanalia kuwa kwa sasa hali ya kiuchumi ni mbaya. Mzunguko wa pesa ni duni na kila raia anapata magumu ya maisha. Rais hajali na hatusikii dokezo za kiuchumi kusaidia wananchi. Police brutality? Mbona yupo kimya? Tozo za kila namna ambazo zinamnyonya raia wa chini. Rais yupo kimya bila...
  2. JamiiForums Tanzania VIDEO: Sabaya hatakiwi na hastahili kuonewa huruma hata kidogo

    Wakina mama wanamlilia Sabayahuko mahakamani kesi yake unavyozidi pigwa kalenda. Nasema hivi.. huyu Sabaya hastahili kuonewa huruma na mtu yeyote kwani alikuwa amejaa dharau kali, jeuri kiburi ma majivuno. Kama aliweza muonesha hadharani mkuu wake wa mkoa Anne Mngwira (RIP) dharau ya wazi...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Namuonea huruma binti wa kidato cha kwanza

    Habari wandugu. Niko hapa sijajua kama ni ku shauriaana au kuwa pasha habari? iko hivi tokea juzi kuna jamaa alikuja kunitembelea mkoa x baada ya kukaa nae tokea jana akawa kama hayuko kwenye hali ya kawaida ikabidi nimuulize ila aligoma ikabidi jioni tutokea kwenda out kidogo baada ya ya bia...
  4. JamiiForums Tanzania Kiongozi asiye mzalendo na anayejali tumbo lake huwa hana huruma na raia masikini na wasio na uwezo

    Dunia nzima kiongozi wa namna hii huwa hana huruma. Hawezi kujali kama wananchi wanahangaika juu ya ugumu wa maisha na ajira. Atahakikisha wanakamuliwa kodi za kila namna bila ya huruma. Wananchi huwa wananug'unika kama ilivyo kwa sasa Tanzania yetu. Ni manug'uniko kwa kwenda mbele.
  5. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wazee walizeekaje bila kukunua magari? Kwanini tuwaachie viti kwenye daladala ili sisi tusimame?

    Creative Monster Baraza la wazee liliwahi kuomba vijana wawe na heshima kwa wazee hususani kwenye daladala pale wazee wanapokosa viti basi vijana wasimame kuwapisha wazee wakae. Ni kweli na ni swala zuri sana na la kuenzi. Septemba mosi ndani ya daladala iliyokuwa ikitokea Mbagala kuelekea...
  6. JamiiForums Tanzania Video: kwa huu mkumbatio wa meza, maskini Putin anatia huruma, anateseka jamaa

    Kuna video inasambaa ikionyesha Putin anavyopata mrejesho wa vita kutoka kwa jenerali, huku amekumbatia meza kwa huzuni, huyu mwana kaanzisha shughuli ambayo inamtesa sana kwa kweli.....
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania amkeni, viongozi hawana huruma na wananchi

    Habari! Nilileta Uzi hapa kuonesha matumizi mabaya ya serikali, au niite matumizi yasiyo na msingi. Semina ya sensa wiki tatu ilikuwa haina ulazima. Siku 3 tu zingetosha. Sasa ngoja nitoe mfano mmoja tu ili mjue kuwa serikali hii haina huruma na mwananchi. Mwaka huu serikali ilikuwa na zoezi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tulimuona katili ila Hayati Magufuli alikuwa aware na hali ya maskini na huruma kwao

    Sikuwa shabiki wa yule mzee, kachangia pakubwa sana kuua demokrasia, keleta hali ya unafiki kwenye mahakama, bunge ndo kabisa aliligeuza kituko hadi kuna wabunge waliapishwa gereji wakitokea jela usiku uliopita. Lakini one thing unaweza kumsifu ni connection yake na street na maisha ya mtu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Hoja: Sio kila anayelia na kuumia anastahili huruma, ni mavuno yake hayo

    Katika maisha kuna hali tofauti tofauti. Hali zingine ni kutokamilika kwetu, au kujisahau kwetu. Kwa tulipofikia sasa si kila mtu anastahili kuonewa huruma na kusaidiwa na jamii. Wakati mwingine ni mavuno ya alichopanda. Hebu fikiria hii; 1. UHALIFU Ulikuwa mwizi, umewaibia watu sana...
  10. JamiiForums Tanzania Suala la Tozo hamjaweka hata huruma kwa pesa za makanisa, misikiti, ada za watoto wetu, wazee wastaafu na mishahara ya wafanyakazi

    Hali ni mbaya kwa kweli laana inatutembelea kwenye Tozo Hivi kweli Tozo mmeigeuza kama KODI jaman? Hadi akaunti za Shariah mnakata tozo? daah. Nijuavyo mie kwanza ilitakiwa kila mwezi tuambiwe imepatikana kiasi gani hilo limeshapotezewa skuhizi. Pili je hii tozo ni mpaka lini au ndio milele...
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Katiba Mpya ni haki ya Wananchi, sio huruma ya Watawala

    Katiba ni sheria au kanuni zinazoainisha jinsi ambavyo nchi, chama, au shirika vitakavyoendesha shughuli zao. Kwa upande wa nchi, katiba ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonesha madaraka na majukumu ya serikali. Katiba za nchi pia huainisha haki za msingi za wananchi...
  12. JamiiForums Tanzania Huruma foleni ya mafuta London, tazama video hii ujionee.

    Licha ya baadhi ya Mataifa ya Afrika kukumbwa na changamoto ya Mafuta ya Nishati hususani Petroli, Diesel na Mafuta ya taa, hali imegeuka kuwa tete katikati ya Jiji la London kama inavyoonekana katika Video hii. a
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nimemuona Sabaya mahakamani leo, hakika anastahili huruma

    Wandugu, Leo nilipita kwenye Viwanja vya Mahakama ya hapa Moshi kwa ajili ya kufuatilia suala langu fulani.Bahati nikiwa pale karandinga kutoka Magereza likiwa na watuhumiwa mbalimbali akiwemo Jenerali Sabaya likawa limefika na nikamuona Live Sabaya. Ni kwamba ana Bandeji kichwani (nadhani...
  14. JamiiForums Tanzania Huruma za Urusi ndizo zimetufikisha hapa.

    Hizi huruma za taifa la Urusi kwa majirani zake na maadui zimevuka kiwango.Inashangaza adui zako wamepania kukuzingira na kukupiga lakini wewe unafanya mazungumzo nao,unawapelekea gesi ya kuplikia na kwa matumizi ya viwanda. Zaidi ya hapo halafu adui yako analia njaa na wewe unampelekea chakula...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ongeeni yote ila kuweni na huruma kwa ile project ya kumdhalilisha MO Dewji

    Watu wamewekeza mamilioni ya pesa kutafuta mtu wa kumtukana na kumdhalilisha Mo Dewji na katika kuhakikisha MTUKANAJI anaishi vizuri bila msongo wa mawazo wakamtafutia aprtment baharini huko masaki, usafiri mzuri na mshahara mnono All of a sudden project ife kirahisirahisi? mnaongea maneno...
  16. N

    JamiiForums Tanzania KIBUYU KIMELIA TFF ANAHAHA KUTAFUTA HURUMA(nitatengenezea graphics)

    Lile jamaa libabe la mdomo na kutukana watu hovyohovyo limekula nyundo huko kinachosubiriwa ni kutangazwa rasmi licha ya njemba hilo kulialia kupitia kwa wanasiasa waliombee msamaha.... nitalipia graphics za hali ya juu kutambulisha habari hiyo ambapo nishaaongea na wataalamu kadhaa wa kazi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kupata ajira ni huruma au haki?

    Napenda kuuliza kupata ajira ni huruma au haki? Limenitokea leo kuna nafasi ya kazi itakuwa wazi soon,mmoja wa hiyo kazi ambae kisifa analingana na Mimi kaajiriwa serikalini Nikasema isiwe kesi, ngoja nimpandie mwajiri wake niombe hiyo kazi Kumbe alikuwa hajampa taarifa bosi wake Kama...
  18. JamiiForums Tanzania Madhara 5 ya kuoa/kuolewa na mtu uliyemhurumia/uliyemwonea huruma

    Tunakutana na changamoto mbalimbali katika maisha, pia katika utafutaji wa maisha tunapitia nyakati ngumu tofauti tofauti, zipo nyakati za kuumiza mioyo yetu, zipo nyakati za aibu, nyakati za kudharaulika kutokana na hali za maisha tunayoishi wakati huo. Wapo vijana unaowaona wamefanikiwa leo...
  19. JamiiForums Tanzania Huruma za kibinadamu wakati mwingine zinaponza

    Unapotaka kumsaidi mtu inahitaji wewe unakwenda kutoa msaada uwe makini. Ninaposema umakini namaanisha uwe na uhakika kweli ninaekwenda kumsaidi ni mhitaji na kweli ana shida. Nitatoa story kwa ufupi kuhusu huyu Bi dada ambae ni rafiki yangu kipindi cha nyuma. Tulifahamiana vipi.. Nilimfahamu...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Unafiki ni nini? Kumuonea huruma mzambia na siyo mtanzania

    Ajabu sana aisee makanjanja na utopwinyo kumzodoa Clatous chama kwamba alikosea kuondoka Berkane kisa wameshinda confederation cup huku wakisahau jamaa jina lake lipo miongoni mwa watakaopokea medali maana mechi za shirikisho alicheza kwenye team hiyo Makanjanja na utopwinyo yanamsifu Razak...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…