humu

The VL Humu (Whirlwind) is a Finnish fighter aircraft, designed by Valtion lentokonetehdas in 1944, and based on the American Brewster F2A Buffalo.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kuisaidia Yanga kimataifa humu hakuna

    Wananchiii, Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji. Siwaoni wakiibeba yanga mabegani kama wataingia group stage caf champions leage.
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo humu kila mtu tajiri..ila ningewapa conection za wateja na namba zao!

    Haya mchongo huo hapo msije sema sijawasanua.
  3. JamiiForums Tanzania Nikiwa bongo , kuna nyumbu nilimpa namba zngu humu, akanichoma.

    Asee , nipo moshi juzi kati tu akataka kunichoma kindezi , na nikafuatiliwa . Sikujua nilifanya nini , ila huyo mpumbavu alipwe tena na agawe hizo namba nikamatwe tena kummmke.
  4. JamiiForums Tanzania HUU UZI NI KWA AJILI YA GEN Z: Kama wapo humu comment hapa, isije ikawa JamiiForums ni ya wazee pekee!

    Mambo vipi Wana-JF Imekuwa kama utamaduni au dhana iliyozoeleka kwamba kule X (Twitter) na TikTok ndio kuna mijadala yenye msisimko ya vijana wa Gen Z (wale waliozaliwa kuanzia miaka ya 1997 kuelekea mbele), huku hapa JamiiForums ikionekana kama kijiwe cha wakongwe, Ma-Millennial waliokula...
  5. JamiiForums Tanzania ID yangu ni mpya, lakini usinichukulie kama mgeni—nimekuwa humu kabla hata ya wewe kufungua uzi wako!

    Wakuu, kuna tabia moja nimekuwa nikiiona humu ambayo inachekesha kidogo, lakini pia inanifanya nijiulize. Unafungua ID mpya, halafu ghafla watu wanakuangalia kama umetua leo kutoka sayari nyingine! 😂 Ukiandika hoja yenye kueleweka wanaanza: «“Wewe ID mpya, unajua nini kuhusu JF?”» Sasa ngoja...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wadau kitendo Cha Nchimbi kufukuzwa kama nguruwe kwenye shamba la mihogo, je machawa wa humu jf na kwingineko watafukuzwaje?

    Ikiwa Nchimbi amefukuzwa kama nguruwe kwenye shamba la mihogo, hebu piga picha machawa wa humu jf na kwingineko namna watakavyofukuzwa.
  7. JamiiForums Tanzania Nini chanzo Cha kifo Cha mpishi wa Emmanuel nchimbi wiki iliyopita?

    Humu Kuna watu wanaofanya kazi ofisi ya makamu wa Rais Dr. Emmanuel nchimbi wiki iliyopita mpishi wa makamu wa Rais alifariki dunia ghafla km alivyokuwa kwa lukuvi je Kuna mwenye kujua chanzo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…