human rights watch

Human Rights Watch (HRW) is an international non-governmental organization, headquartered in New York City, that conducts research and advocacy on human rights. The group pressures governments, policy makers, companies, and individual human rights abusers to denounce abuse and respect human rights, and the group often works on behalf of refugees, children, migrants, and political prisoners.
Human Rights Watch in 1997 shared in the Nobel Peace Prize as a founding member of the International Campaign to Ban Landmines and it played a leading role in the 2008 treaty banning cluster munitions.The organization's annual expenses totaled $50.6 million in 2011, $69.2 million in 2014, and $75.5 million in 2017.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    GE2025 Tanzania Yazungumzia Madai ripoti ya Human Rights Watch

    TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU RIPOTI YA HUMAN RIGHTS WATCH Imechapishwa tarehe 29 Septemba, 2025 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina wasiwasi mkubwa kuhusu ripoti iliyochapishwa na Human Rights Watch, ambayo ina taarifa zisizo sahihi na za kuongoza pamoja na madai ya uongo dhidi ya...
  2. K

    GE2025 Kamati ya Seneti ya Marekani yaionya Tanzania Ukandamizaji Kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Serikali ya Tanzania imeongeza ukandamizaji wa kisiasa, jambo linalozua wasiwasi mkubwa kuhusu iwapo uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025, utakuwa huru na wa haki, Shirika la Human Rights Watch limesema leo. Mamlaka zimekandamiza upinzani wa kisiasa na wakosoaji wa chama tawala...
  3. R

    Shirika la Human Rights Watch (HRW) yaituhumu Jeshi la Mali na Kikundi cha Wagner kwa Mauaji na Utekaji wa Jamii ya Fulani

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limetuhumu jeshi la Mali na kikundi cha kijeshi cha Urusi, Wagner, kwa kuhusika na mauaji ya jamii ya Fulani na kutoweka kwa wanaume wengine 81 tangu mwezi Januari 2025, Kwa mujibu wa HRW, matukio haya yalitokea wakati wa...
  4. KING MIDAS

    Chadema kusanyeni video zote mnayoteswa na Police, zipelekeni Human Rights Watch na Amnesty International ili dunia ijue

    Huu unyama unatisha sana CHADEMA msikae kimya Chadema kusanyeni video zote mnayoteswa na Police, zipelekeni Human Rights Watch na Amnesty International ili dunia ijue
  5. R

    WHERE JUDGES AND MAGISTRATES MAKE MISTAKES

    Introduction The judiciary of Tanzania stands as the last hope for justice. From the Primary Courts to the apex Court of Appeal, it is structured not only by law but by trust, trust placed by the people in those who sit in judgment. Judges and Magistrates are bestowed with the noble duty of...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Human Rights Watch: Tanzania izingatie haki za binadamu kabla ya uchaguzi

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuondoa hali ya kuzorota kwa hali ya haki za binadamu kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Taarifa iliyotolewa Jumatano na shirika hilo, imeeleza kuwa tangu mwezi...
  7. Li ngunda ngali

    Human Rights Watch: Tanzania inakandamiza Wakosoaji wa Mkataba wa Ubinafsishaji Bandari

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema Mamlaka za Tanzania zimewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa Bunge la Tanzania kuridhia makubaliano ya usimamizi wa bandari za Tanzania Mkataba huo utaruhusu...
  8. Lady Whistledown

    Human Rights Watch: Morocco inawafunga Waandishi wa Habari ili kuwanyamazisha

    Watetezi wa Binadamu wa Human Rights Watch( HRW) wamesema Morocco inawafunga waandishi wa habari kwa mashtaka yasiyo ya kisiasa ili kuwanyamazisha, baada ya Omar Radi na Soulaimane Raissouni, kuhukumiwa karibu miaka 5 jela kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono Pia mwaka 2018 Taoufik Bouachrine...
  9. Miss Zomboko

    Human Rights Watch yaitaka Ukraine kuchunguza uwezekano wa uhalifu wa kivita

    Shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch limeitolea wito serikali ya Ukraine kuanzisha uchunguzi juu ya kile kinachoweza kuwa uhalifu wa kivita, baada ya kuibuka mkanda wa vidio unaowaonyesha wanajeshi wakiwapiga risasi miguuni wafungwa wa kivita wa Urusi. Mkanda huo ulioanza kusambaa...
  10. beth

    Afghanistan: Wanawake wapigwa marufuku kusafiri mbali bila ndugu wa kiume

    Taliban imesema Wanawake wanaotaka kusafiri umbali mrefu (zaidi ya Kilomita 72) wasipewe usafiri barabarani isipokuwa wakiwa wamesindikizwa na ndugu wa kiume wa karibu Mwongozo huo wa Serikali ambao umekosolewa na Wanaharakati pia umetoa wito kwa wamiliki wa magari kukataa kuwapandisha Wanawake...
Back
Top Bottom