huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko awawashia moto TANESCO, adai "Mmezoea matatizo, hatutakubali!"

    Wakuu Kash Kash karibu na uchaguzi == Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekemea vikali utendaji wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) "Mmeanza kulala, mmezoea kazi, mmezoea matatizo. Mwaka mzima matatizo, tunarudi nyuma. Siwezi kukubali hiyo biashara ya kufika mahali...
  2. JamiiForums Tanzania Basic salary 390,000 - mkopo, take home Laki na thelasini, mtumishi wa umma, na bado tunataka huduma bora zenye ufanisi!

    Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee, Nchi inayoelekea uchumi wa kati, Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi! Hii ni kada gani hapa nchini?
  3. JamiiForums Tanzania Kero: Huduma mbovu Ofisi ya TANESCO Kahama.

    Ni hali ya kushangaza sana na taratibu ya ovyo. Leo nimetembelea ofisi ya TANESCO Kahama, kwa issue inayohusu umeme...cha ajabu naambiwa nirudi nikapige simu nakuomba huduma nikiwa nyumbani...namba niliyopatiwa ni namba ambayo muda wote iko "busy" 0733105423 TANESCO KAHAMA MJITAFAKARI.
  4. JamiiForums Tanzania Huduma ya uchimbaji wa visima Dodoma

    Hii ni dodoma tu na wilaya zake zote tuna tambua tabu ya upatikanaji wa maji dodoma, ivyo Kwa mahitaji ya: -kuchimba kisima kirefu au kifupi kwa matumizi ya nyumbani, shamba au mifugo -kusafisha (flushing) na marekebisho ya kisima -kufunga pump na matengenezo ya pump -na mahitaji mengine...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya TRA Mafinga ina huduma mbovu, wahudumu wana dharau wateja

    Nimefika kufanyiwa makadirio ya kodi katika Ofisi za TRA Tanzania Mafinga lakini tangu asubuhi wahudumu wanajizungusha tu mara huku mara kule, mara mtandao uko chini mara wahudumu wengine wako kuhudumia nje ya ofisi hivyo tuendelee kusubiri. Hii hali ni kero sana nimeuliza wateja wengine hapa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya ulinzi maeneo mbalimbali

    ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED P.O. BOX 30112 KIBAHA - PWANI Simu: 0656 166 742 Barua pepe: eshodmang23@gmail.com ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED tunapenda kukutaarifu kwamba tunatoa huduma bora za ulinzi kwa maeneo mbalimbali, yakiwemo: Ofisi za serikali na binafsi Shule, vyuo, na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya ulinzi maeneo mbalimbali

    ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED P.O. BOX 30112 KIBAHA - PWANI Simu: 0656 166 742 Barua pepe: eshodmang23@gmail.com ESHOD & B SECURITY COMPANY LIMITED tunapenda kukutaarifu kwamba tunatoa huduma bora za ulinzi kwa maeneo mbalimbali, yakiwemo: Ofisi za serikali na binafsi Shule, vyuo, na...
  8. JamiiForums Tanzania "Kutoka kwa Mwito hadi Uteuzi: Safari ya Padre Katika Imani na Huduma"

    👉🏾Safari ya kuwa padre ni mchakato wa kiroho na kihistoria unaohitaji kujitolea, imani, na mafunzo ya kina. Kuanzia mwito wa ndani hadi uteuzi rasmi, kila hatua inajumuisha changamoto za kiroho, masomo ya teolojia, na mafunzo ya uongozi. Padre si tu kiongozi wa ibada, bali pia mwelekeo wa roho...
  9. JamiiForums Tanzania Huduma ya kwanza kwa mtu anayesumbumiwa na maumivu ya jino

    Hello ,happy new year. Ukiwa unaumwa jino , unashauriwa kwenda hospital Kwa ajili ya matibabu zaidi . Ila pia ikiwa upo mbali na hospatli Ila maumivu yamekuzidia Sana . Chukua maji ya moto changanya na Chumvi baada ya hapo weka mdomoni usukutue Sana kuanzisha dk 5-10 Rudia rudia hilo zoezi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania NMB MLIMANI CITY WAMESITISHA HUDUMA LEO BILA TAARIFA/MAELEKEZO. WATEJA WANAPATA SHIDA HAPA.

    Nipo hapa mlimani city Iko shida kwa wateja wengi tuliopata usumbufu. Wafanyakazi waache kutoa huduma kwa mazoea.
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu huu mwaka 2025 unapoenda sehemu iwe barber shop, restaurant etc, kabla yakupata huduma ni bora ukauliza kwanza bei yalinikuta

    Niliwahi kuingia barbershop moja humu ndani kuna full kiyoyozi huduma si mchezo masaa mawili kinyozi anakunyoa hana haraka. Nikanyoa si unajua tena wadada wa barber shop kaka uso wako una mafuta sana ngoja tukusafishe uso, nikatoka nimeg’aa ile mbaya, ikaja bill macho yalinitoka 45000. Uzuri...
  12. JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Watumishi Kituo cha Afya Rusumo (Kagera) hawana lugha nzuri na hawatoi huduma nzuri pia kwa Wagonjwa

    Wana JF kuna Kero moja ambayo imekuwa ikitutafuna sisi wakazi wa Kijiji cha Mshikamano, Kata ya Rusumo ambayo ni wahudumu wa Kituo cha Afya cha Rusumo kilichopo Wilayani Ngara mkoani Kagera. Hiki kituo kilijengwa mahususi kwaajili ya kurahisisha huduma za afya kwa wakazi wa kijiji hicho na...
  13. JamiiForums Tanzania Huduma ya Unlimited Internet kwa shule na vituo vya afya vya Serikali

    TANGAZO TANGAZO HlHabari njema kwa vituo vya afya au shule za serikali Kuna huduma ya internet kutoka Vodacom, unachagua package mnawezeshewa. Huduma hii kuwezeshewa ni bure kabisa. Vigezo ✅Tin namba ya shule/kituo cha afya cha serikali ✅Kitambulisho cha muwakilishi anaefuatilia ✅ Barua ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ubovu wa kitengo cha huduma kwa wateja MWALIMU COMMERCIAL BANK.

    Napenda kutoa malalamiko yangu kwa bank ya MCB.Hii bank kitengo chao cha huduma kwa wateja hakina msaada wowote kwa sababu baadhi ya namba hazipatikani na namba inayopatikana simu haipokelewi.Ni muda wa wiki moja sasa kila nikijaribu kuwapigia simu haipokelewi kwa zaidi ya saa moja.Hata...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wasafiri wataja top 10 ya mabasi yenye huduma nzuri kwenda mikoani 2024

    Habari wadau? Leo nilifika kwenye eneo lililochangamka ghafla kwa usafiri wa mabasi ya kwenda nje ya Dar es Salaam, pale Shekilango-Ubungo. Safari yangu pale ilikuwa kusafirisha mzigo kwenda mkoa mmoja uliyopo Kanda ya Ziwa. Nikiwa naendelea kuhudumiwa, nilishangaa namna mabasi yalivyo mengi...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani unajitahidi kwenye huduma ya maji ya bomba?

    Ni mkoa upi unajitahidi kwenye upatikanaji wa huduma za maji.
  17. JamiiForums Tanzania tiGO haina huduma ya ROAMING?

    Nipo njiani naelekea Kampala. Ninatamani niweze kuwa na uwezo wa kutumia Internet hata nikiwa huko, lakini kwa kutumia line yangu ya simu. Nimejaribu kutafuta huduma ya ROAMING (ZURU KIMATIAFA) kwenye line ya TIGO lakini sijaiona. Kwa nini hivyo? 1. Tigo hawana hiyo huduma? 2. Sijaitafuta kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Dstv mna huduma mbovu kwa wateja wenu, jirekebisheni.

    Kwann mnakua na tabia za kupigia wateja wenu simu na kuwashawishi juu ya offer fulani lakini hamtimizi kwa wakati punde mteja anapokubali matakwa yenu ? How comes inachukua mda kwa nyie kuUpdate package ya mteja ? Kuna offer flani mlipitisha kipindii cha miezi kadhaa nyuma mliita "Panda...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Platinum Credit ni kampuni yenye huduma mbovu na zisizofaa. Walimu tunakopa kwa sababu ya shida tu.

    Kila kitu ulimwengu wa wa leo kipo kidigital. Sasa inakuwaje unachelewesha malipo ha mtu ambaye umeprocess mkopo inavyotakiwa?
  20. K

    JamiiForums Tanzania TCRA pigeni faini Mpesa na Airtel kwa kushindwa kutoa huduma kwa wateja tangua juzi. Wananchi wanashindwa kuburudika na sikukuu

    Wadau mitandao ya Airtel na Voda ina sumbua wateja sababu haiwezi kupokea pesa kutika Bank nk au kutuma pesa Matokeo yake wananchi wanakula sikukuu kwa shida. TCRA piga fain au fungueni Hawa jamaa kwa siku tatu Hadi waingeze ubora na umakini. Vitendo wanavyofanya wanmzarau Rais Samia?.Mbona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…