huduma za matibabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Naungana na Wazanzibar kuwa huduma za matibabu Zanzibar ziwaguse Wazanzibar tu na mtu ambaye si mzanzibar atibiwe kwa utaratibu mwingine

    Wazanzibar wana viongozi wao ambao hawana chembe za rushwa na ufisadi, viongozi wao wana huruma na utu na wamejaa haki . Ndio maana kodi za forodha Zanzibar ziko chini kuliko sehemu nyingi Afrika au duniani. Kidogo wanachopata wanataka kiwanufaishe wote. Si rahisi kusikia Mzazibar amekufa kwa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Serikali imetoa Sh Bilioni 48.8 Bima ya Afya kwa wote, Wanufaika 463,228 waanza kupata huduma za matibabu

    Serikali imeanza rasmi utekelezaji wa Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote kwa kaya zisizo na uwezo kwa kutoa Shilingi bilioni 48.8 kwa ajili ya kuwawezesha wananchi wa makundi maalum kupata huduma za afya kwa uhakika. Kupitia utekelezaji huo, jumla ya kaya 172,297 tayari zimefikiwa na kuingizwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa China waleta unafuu kwa jamii zinazokabiliwa na uhaba wa huduma za matibabu nchini Sudan Kusini

    Agnes Alison Nunu, mwenye umri wa miaka 38 na mama wa watoto sita, amesitisha biashara yake ndogo ya kuuza vitafunwa kutokana na maradhi yanayomsumbua mtoto wake, mpaka pale timu ya madaktari wa China ilipowasili katika eneo la makazi yake kando ya mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba. Desemba 6...
  4. N

    JamiiForums Tanzania YAS yazindua huduma ya Matibabu ya Macho bure kwa Wakazi wa Mbeya

    Mbeya, 18–21 Aprili 2025 – Kampuni inayoongoza nchini Tanzania katika huduma za mawasiliano na maisha ya kidijitali, YAS, kwa kushirikiana na KSI Charitable Eye Centre, imezindua rasmi kampeni ya siku tatu ya matibabu ya macho bure kwa wakazi wa Jiji la Mbeya na maeneo ya jirani. Mpango huu...
  5. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya ya daktari NHIF (regular) haiwezi kulipia/ku-cover baadhi ya huduma za matibabu kama fast tract n.k wanazopata wagonjwa anaowahudumia

    Nilitegemea bima ya afya ya daktari imuwezeshe kupata huduma zote za matibabu na kwa haraka fast track,na vvp. 1)Kwa kuwa daktari anahudumia wagonjwa kama viongozi wa kisiasa n.k ambao wao BIMA ZAO zina wawezesha kupatiwa matibabu ambayo bima ya daktari mwenyewe anayewahudumia haiwezi...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania kujenga Hospitali itakayokuwa na viwango vya dunia vya utoaji huduma za matibabu (African Medical Center of Excellence (AMCE)

    Na. Benny Mwaipaja Tanzania inatarajiwa kuwa miongoni mwa nchi tano za Afrika zitakazonufaika na ujenzi wa mradi mkubwa wa Hospitali itakayokuwa na viwango vya dunia vya utoaji huduma za matibabu (African Medical Center of Excellence (AMCE), kupitia mradi unaotekelezwa na African Export-Import...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Huduma za matibabu zimeshuka kiwango, zimekuwa mbovu, na ni kero kutokana na maboresho ya bima kwa kushusha bei serikali chukueni hatua

    Habari za Leo wananchi! Hali inayoendelea katika nchi yetu katika HUDUMA afya baada ya kushuswa bei za Bima NHIF kutokana na Maboresha HUDUMA katika hospital zetu zinazidi kuwa mbaya, Hospital zimefunga baadhi ya HUDUMA na kupunguza watumishi wakujitolea. Hali hii imeanza kuonekana Kwa Kasi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa msaada wa Korea Kusini alipokwenda Rais Samia

    RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu...
Back
Top Bottom