h.polepole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CM 1774858

    Huenda H.Polepole akawa na shida kubwa zaidi ya hii kimaadili na kiakili, na huenda mwisho wake ukawa mgumu zaidi ya mwanzo wake katika historia

    Wewe Polepole hebu msikilize vizuri hapa Mgombea Urais wa CCM Dkt Samia Suluhu, Mtakumbuka nimeingia madarakani kukiwa na changamoto kubwa ya Uhuru wa habari nchini. Nimechukua hatua za makusudi kuhakikisha uhuru wa habari unaimarika kwa kuweka wazi utashi wa kisiasa na misingi ya kisheria...
  2. tonicimmobility

    Kwahii speed hii ya Polepole hawa kuku ngbendu wa za BANGA hii miezi 2 wataiona miaka 30

    Polepole sio pole tena, usiku huhuu tayari kashawalipua CCM na mume wao Rostam Azizi. Utajiri wa nchi anakabidhiwa Rostam alafu utamskia mama anasema analinda mali za nchi kwa maslahi mapana ya umma, Polepole anauliza maslahi gani hayo mapana? Leo katukumbusha tena kuwa tumeuzwa tumepigwa bei...
  3. Kijakazi

    H.Polepole na high expectation, nadra sana duniani!

    H.Polepole alipotangaza kuongea na kuiambia nchi nzima ikae chonjo ili kumsikiliza nilikuwa na wasi wasi sana kwamba atachemka kwani mara nyingi sana watu wanapokuwa na high expectations huondoka disappointed, lkn H.Polepole ame-meet expectations za watu, yaani watu wamesubiri kwa hamu nchi...
  4. Pascal Mayalla

    Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

    Wanabodi, Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake! Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。 Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia...
  5. Mtu_imara

    H.polepole asikilizwe ebu angalia

    Tanzania wajumbe wanajipatia BAISKELI za bure nchi nzima, Traole Raisi wa Burkina Faso anapambana kukuza Sekta ya Kilimo nchini kwake wasiwe Wategemezi kwa wazungu.
  6. M

    Hivi kuna mtu kutoka Serikalini au CCM ambae keshamjibu Balozi Polepole

    Salaama wanjamvi Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi Asanteni
  7. USSR

    Balozi Polepole aachia album ya gospel na huu ndio wimbo mmoja kati ya hizo

    Balozi Polepole ameandika hivi katika mtandao wa kijamii Kama sehemu ya kuhamasisha matumizi ya TEHAMA katika zama hizi za Mapinduzi ya Viwanda ya Nne ambayo yanaleta pamoja watu na TEHAMA. Nimetumia platform tatu za Akili Unde (Artificial Intelligence) za ChatGPT, Deep Seek na Suno kwa...
  8. Baraka Mina

    Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

    Rais Samia Suluhu amemteua Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi. Sambamba na hilo Rais Samia Suluhu amemteua Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia Rais Samia Suluhu amemteua Waziri Kindamba kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe. Kindamba...
  9. kidadari

    GE2020 Pale Polepole akiwatambia Watanzania kuwa Watendaji wa CCM wanatembelea Land Cruiser V8

    Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao? Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ? Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini. Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
  10. Chipoku

    GE2020 TAKUKURU Ilala haifanyi kazi zaidi ya kutumiwa vibaya na Jerry Silaa

    TAKUKURU Wilaya ya Ilala acheni kutumika vibaya na Jerry Silaa. Kila mkipigiwa kuhusu habari za huyu mtu mnatujibu vibaya, naye anatamba kama chombo hiki ni chake. Wiki ya pili sasa anatuamsha Wajumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Ukonga kati ya saa 5 na 8 usiku akiwa na gari lake na anaongozana na...
Back
Top Bottom