hitimisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    PostGE2025 Tume ya Chande wanasubiri Mahakama imuhukumu Lissu kuwa na Hatia, ili nao waje na hitimisho la MO29 ílisababishwa na Lissu. TUJIANDAE KWA MAANDAMANO

    Jamaa wameimgia Mitini kwa sababu WANAJUA Watanzania tunawasubiri kwa Hasira walete ushenzi wao wa kutupia jumba bovu Chadema ya Lissu. Sasa wameona wataingia kwenye 18 za WATANZANIA. NAO Wameamua kuingia Mitini, Lengo wanataka kusubiri MAHAKAMA YA SAMIA SULUHU, Mahakama ya kipuuzi, itoe...
  2. Lord Denning

    Hitimisho: Huwezi kuwa na kitambi alafu ukawa na akili. Ndo mana wamegeuzwa kuwa machawa wa CCM.

    Nimekuwa nikijiuliza sana imekuwaje hawa jamaa wamegeuka ghafla kuwa machawa wa ccm na wapumbavu kupindukia? Badala ya kusimamia maslahi ya wananchi na Taifa sasahivi wanasimamia maslahi ya CCM? Ila sasa nimepata majibu. Angalia mwenyewe! Huwezi kuwa na kitambi alafu ukawa na akili. Askari wa...
  3. Lord Denning

    Hitimisho langu: Hakuna Taasisi iliyooza Tanzania kama TISS. Ni au ivunje na kuundwa upya au isiwepo kabisa

    Kwa yanayoendelea Mkuu wa hii Taasisi kuhusishwa na tuhuma nzito za rushwa na ufisadi, pamoja na wafanyakazi wengine kadhaa. Kwa yanayoendelea hadi siri za nchi zinafika kwa majirani zetu kuhusu maofisa wa hii Taasisi wanavyotumiwa na Wanasiasa kufanya mambo ya hovyo ikiwemo kununua programs...
  4. M

    Hitimisho langu kutoka Press za Polepole ni kuwa sasa Dola inapambana na Serikali

    Baada ya kumsikiliza Polepole nimegundua kuwa ni kama vile Serikali (Rais) ilikuwa inajitahidi kuiteka Dola na kujaribu kuikumbatia au kuizunguka. Dola imeng'amua hilo na sasa Dola imeamua kupambana na serikali na ikibidi kuiangusha serikali, kuiua au kuisambaratisha kabisa. Ndani ya muda...
  5. LiFe 2-point-0

    Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

    Habari za jioni wakuu na ndugu zangu JF. Ni matumaini yangu tunaendelea vyema kila mtu kwa kiasi chake, maana changamoto hazijawahi kuisha. UTANGULIZI Kwa mara ya mwisho (naamini hivyo), nimerudi katika kutimiza ahadi yangu ya kuleta mrejesho juu ya suala langu ambalo lilishia katika uzi huu...
  6. D

    Hitimisho; Watu wote humu ni CCM!

    Ndiyo, hivyo ndivyo ilivyo humu jf mpaka Sasa baada ya uchunguzi wangu wa kina. Hoja za upingaji na upondaji huja tu ikiwa Inategemea pale ccm juu amekaa nani na anasema au kufanya nini kinachotofautiana na mawazo au uelewa wa mwanaJF. Tofauti na hilo, wote humu ni wanaccm tu kwa hakika kwani...
  7. Lord Denning

    Hitimisho: Watanzania mmejionea wenyewe, hawa ndo CCM, Kamwe msitegemee watatoka madarakani kwa njia za Kawaida au kubadilika

    Kama mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani jana bungeni haujawafungua akili Watanzania kuielewa CCM ni kina nani? Basi hakuna siku Watanzania watakuja kupata akili na kuielewa CCM hadi mwisho wa Dunia. Kama Majadiliano ya jana Bungeni hayajawafungua akili Watanzania kujua CCM...
  8. LiFe 2-point-0

    Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

    Habari ya muda huu wakuu na ndugu zangu JF. Mwezi mmoja na Nusu uliopita (about 45 days) nilileta hapa moja ya mtiririko wa jambo langu lililokua linaniandama kama ambavyo nilieleza hapa kwenye uzi huu 👇👇...
  9. ELI COHEN

    Hitimisho baada ya miezi 15 ya kupondwa Hamas na vibaraka wake, haimaniishi ndio kukoma kwao lakini pia haimaanishi ndio pumziko lao

    Jihad ni process, kwa hio magharibi wasichukulie poa. Amani na uhuru ni thamani, kwa hio itikadi kali wasichukulie poa. Hii vita imeipa shape ya kujua hali halisi ya middle east na namna ilivyo athiri duniani kote. Tumejifunza na kujua kuwa ile ni vita ya kidini na itikadi. Ni vita ambayo...
  10. Lord Denning

    HItimisho: Hayati Magufuli alikuwa tatizo ila shida kuu ni CCM

    Baada ya kuendelea kwa vitendo vya utekaji na mauaji ya watu walio na mawazo mbadala kuhusu uongozi wa nchi na demokrasia kwa ujumla hata baada ya kifo cha Magufuli swali kuu ambalo wanajiuliza watu wenye akili ni kwa nini matukio haya yanaendelea? Sote tunakubaliana kuwa Magufuli alikuwa...
  11. Rorscharch

    Hitimisho la Uchunguzi: Jiografia kama Sababu Kuu ya Kudumaa kwa Maendeleo ya Afrika (tumtue kidogo mkoloni mzigo wa lawama)

    Kwa yoyote ambaye amekuwa akifuatilia makala zangu za hivi karibuni, bila shaka ameona kwamba nimekuwa na mtazamo tofauti kuhusu sababu za kudumaa kwa maendeleo ya bara letu. Ingawa ukoloni mara nyingi hupewa lawama kubwa, uchambuzi yakinifu wa kihistoria na kijamii unaonyesha kwamba hata bila...
  12. M

    Tumewasikia watu wote, nini hitimisho la mjadala wa Bandari?

    Mjadala wa Bandari umeteka mitandao yote iwe Instagramu, Jamii Forums, Youtube, Twitter, Facebook na mitandao mingine, pia mjadala mkali kwenye vijiwe vya kahawa, mitaani na maeneo mbalimbali yanayokutanisha watu kila mtu akiongea la kwake. Tumeshamsikia Waziri Profesa Mbarawa, Tumemsikia...
  13. VUTA-NKUVUTE

    Hitimisho: Mkataba wa Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia DP World tumeukataa!

    Watanzania tumezungumza. Tumezungumza kwa kauli zetu kalikali kama msumari na waziwazi kuliko utandawazi. Tumezungumza kupitia Wanasheria, Maprofesa, Maaskofu, Masheikh, Wanasiasa, Wasomi hadi wananchi wa kawaida. Tumeuzungumza mkataba wa DP World kuliko hata Bunge letu. Tumeuzungumza makataba...
  14. J

    Rais Samia mgeni rasmi hitimisho la matembezi ya UVCCM kitaifa Paje, Zanzibar kusheherekea kumbukumbu za miaka 59 ya Mapinduzi

    Wazalendo amani iwe kwenu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya ufungaji wa Matembezi ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kuadhimisha Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Hafla itakayofanyika tarehe 10, PAJE - KUSINI...
  15. Kipenzi Changu

    Hitimisho: Chama ni Kiungo Bora wa Muda wote

    Bado tunawapa nafasi ya kutubu na kubadili mawazo kabla hatujaanza kuja na TAKWIMU ambazo hamtozipenda nina uhakika😀 Tunashuhudia sio tu Mchezaji bali Mchezaji bora kuwahi kutokea tangu Milenia ya 2000 kwenye ardhi hii, sio kwamba ni mimi na wewe tu bali kila Mtu anajua hilo ila ni ngumu...
  16. JumaKilumbi

    Hitimisho langu juu ya swali la Mungu na Atheists

    Katika uzi nilioufungua jukwaani hapa nilioutumia kuwaalika Atheists kuleta hoja za kuthibitisha kuwa Mungu hayupo ili tujifunze kuhusu misingi yao, wachache hawakunielewa kwa kudhani nilitaka mabishano, ila nimepata hitimisho lifuatalo Baadhi ya Atheists wanashindwa kuelewa Mungu huyu (kama...
Back
Top Bottom