hisense

Hisense Group is a Chinese multinational white goods and electronics manufacturer headquartered in Qingdao, Shandong Province, China. It started out making radios in 1969.At present, Hisense owns two listed companies, Hisense Visual Technology Co., Ltd. and HISENSE H.A., listed in Shanghai, Shenzhen and Hong Kong.Hisense retails products under several brand names. These include Hisense, Toshiba, Gorenje, Kelon and Ronshen. Hisense is also an OEM, so some of the products it makes are sold to other manufacturers and carry a brand name not related to Hisense. The main products of Hisense are televisions; their first TV model CJD18 was produced in 1978. It has invented a type of transparent television in 2013. In 2015 it acquired the right to sell televisions in the Americas using the brand name of the Japanese firm Sharp.In 2020, it introduced the world's first true 8K 10 bit HDR screen TV that is based on an AI-powered HDR algorithm and an image quality engine claiming 6.5T supercomputing power.With more than 80,000 employees world-wide Hisense Group has 14 industrial parks, which are located in Qingdao, Shunde, Huzhou, Czech Republic, South Africa, Mexico and so on. There are also 18 R&D centers located in Qingdao, Shenzhen, USA, Germany, Israel, etc.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyamwage

    TV gani hapo nichukue 50 inch 4K solarmax au 43 inch FHD Hisense

    Bei ziko sawa na zote ni smart
  2. Denis Dion

    Nauza Hisense nchi 43 smart UHD

    HISENSE NCHI 43 SMART UHD BEI 550,000/= USED ONE MONTH 0794626090 0688942700
  3. Vincenzo Jr

    TV4Sale Nauza Hisense Smart TV 65 inch

    Dungu jipya Hisense smart tv 65 inch naliuza kwa laki 7 punguzo lipo ukija na laki 6 fresh Carleen ephen_ min -me Mr Q Cookie dosho12 Fake P
  4. Apollo one spaceship

    Namna ya kuondoa tangazo la hisense

    Naangalia mpira hapa kwenye hisense smart tv ila kuna matangazo yanajitokeza mara kwa mara yanakera sana kwa sababu yanaziba baadhi ya sehemu ya uwanja. Naomba mnieleweshe namna ya kuyaondoa
  5. Mndengereko

    Msaada: Jinsi kuinstall vlc media kwenye hisense smart tv

    wakuu heshima yenu,naomba msaada wa kueleweshwa ni namna gani naweza kuinstall vlc media player katika hisense ambayo ni smart tv? kwa maana haina playstore hivyo siwezi kudownload adroid based programs! Natanguliza shukrani.
  6. M

    Naulizia wapi nitapata na bei ya TV Hisense 55" U7N.

    Naona nyingi ni U7K na kwa uchache U6N.
  7. Jbst

    Kati ya haier na hisense ipi bora?

    Kwa wataalamu wa au waliotumia hizi TV 2 naomba ushauri kati ya haier na hisense TV gani nzuri na mara. Nilikua na samsung imekufa sasa huku kwa samsung naona parefu sana. nimeshuka hapa kati kabla sijafika huko chini kwa wachina kina vitron na kina Alitop. Msaada wakuu.
  8. A

    Hisense SmartTv inauzwa

    Nauza SmartTv kampuni ya Hisense inch 40 kwa 500,000 tu. Box na Risiti vyote vipo. Tv haijawahi kwenda kwa fundi na wala haina shida yoyote. Mawasiliano 0626753305 Napatikana Dar es Salaam.
  9. Ayubugeorge

    Tv ya hisense inch 32 imevunjika kioo msaada wakuu

    Wakuu nimevunja baahati mbaya tiv yangu naomba msaada nakoweza pata kioo na bei yake plse niko Arusha
  10. Holden Homes

    Ijue tv ya hisense original na fake

    Tv brand ya hisense ni moja ya TV inayopendwa sana na inafanya vizuri, ila baada ya watu wasio waaminifu wakitaka kutembelea huu upepo na kutaka faida kubwa wameamua kufyatua tv za hisense fake Swali wewe kama mteja utajuaje hii ni TV ya hisense fake au original???? TV original ya hisense...
  11. Princep

    HISENSE Energy Fridge

    .
  12. M

    Anaejua ubora na udhaifu wa TV za Hisense anijuze

    Wanajamvi salaams Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naomba kujua ubora na udhaifu wa TV za Hisense ninawaza nikanunue. Nawakaribisha pia kwa ushauri wa TV bora Natanguliza shukrani
  13. M

    Msaada: TV Hisense Inch 55 imeacha kuonyesha picha

    WanaJF, Poleni na majukumu. Kama mada inavyosomeka kwenye kichwa cha habari TV ya Hisense imeacha kuonyesha picha na ninahisi kwamba kama bulb zake zimeungua. Msaada tafadhali kwa mafundi waliopo kwenye group ili niweze kuitumia bila gharama kubwa. Asante, Maramojatu
  14. A

    Hisense smart Tv inch 40 inauzwa

    Nauza Tv ya Hisense Smart Tv inch 40 kwa 500,000. Nakupa na Box lake kabisa. HAINA TATIZO LOLOTE. Napatikana Dar es Salaam.
  15. Mad Max

    Content Creators mnaoanza (Episode I): Unatumia camera gani kutengeneza maudhui yako?

    Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video? Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au TikTok, quality ya video na audio jumlisha na storyline nzuri ndio vitakavyokuweka tofauti na...
  16. hp4510

    Kuna mtu yoyote mwenye hisense TV ambae anaweza kuangalia Azam app?

    Wakuu habari Nina TV ya hisense ambayo ni smart TV Sasa kila nikitaka kuangalia Azam max siwez kulogin Nimeweka na video hapo chini Msaada please
  17. mossTV

    TV4Sale Tunauza smart TV

    Hisense smart 4k inch 55 Uhd frameless TV kama mpya Nauza 750,000 0744680670 Free delivery
  18. BEZO JR

    Mistari kwenye Tv ya Hisense

    Msaada wenu wakuu,Tv yangu aina ya Hisense smart (VIDAA) NCH 43 imechora hii mistari miwili miyeupe. Tatizo linaweza kuwa ni nini?
  19. Issuna

    TV4Sale Tv inch 65 Hisense Used inauzwa

    Bei ya Tv 1.2m (Fixed Price) Warranty 3yrs Used : Imetumika 1 month mpaka sasa. Milioni 1 na Laki Mbili (Bei haipungui) ipo Dar es Salaam - Kibanda cha Mkaa.
Back
Top Bottom