Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,872 Jan 15, 2025 #2 Kwa nini unaiuza? Ina matatizo gani? Au inachemka sana pembeni? Na converter inapata moto kupita kiasi? 600K unaweza kuchukua?
Kwa nini unaiuza? Ina matatizo gani? Au inachemka sana pembeni? Na converter inapata moto kupita kiasi? 600K unaweza kuchukua?
version001 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 1,073 Reaction score 2,489 Jan 15, 2025 #3 nilikuwa natafuta fridge sasahiv kwenye uzi mmoja mara ghafla naona yako, nibalikie 650,000 tsh nisiipeleke kariakoo kama hautojali
nilikuwa natafuta fridge sasahiv kwenye uzi mmoja mara ghafla naona yako, nibalikie 650,000 tsh nisiipeleke kariakoo kama hautojali