King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
Nilichojifunza sio kila mtu anagusika .
Kuna jirani yetu ukimjaribu basi lazima mpoteane .
Nilimfata na kumuuliza inakuaje kila anayetaka kukufanyia ubaya au anayekufanyia anapoteana
Alinijibu kuwa hiyo hata yeye hajui na wamezikwa watu wengi na kupoteana tangia zamani.
Mimi mwenyewe...
Meneja Habari Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe anasema timu itawasili uwanjani saa 11:00 jioni kujiandaa na mechi ya leo jioni.
Itakumbukwa bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imetangaza kuahirisha Mchezo wa Yanga dhidi ya Simba kwa mujibu...
Hapa Simba angekwanguliwa points 15.
Sasa given Simba na Yanga ndio biashara ya Football Nchi hii, ukiachia Vigogo Wazito Wana maslahi Yao katika timu hizi, unadhani kweli Bodi na TFF zitadhubutu hili litokee?
Kwa hasira kali!
Kwa pamoja wananchi na wapenda soka wa Tanzania wamesikitishwa na suala zima la kughairishwa kwa mechi ya watani wa jadi baina ya Yanga na Simba.
Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wameonesha udhaifu mkubwa wa kusimamia hili sakata. Mbaya zaidi walitoa taarifa mapema kuwa mechi...
Kuna taarifa zinazozunguka kwenye mitandao kuwa mechi kati ya Yanga na Simba haitakuwepo kwa sababu Simba wamesusia mechi hii kwa sababu wananazozijua wao wenyewe.
Swali langu. Kama mechi haitakuwepo. Je wale waliolipa fedha zao kwa ajili ya kuangalia mechi hii, watarudishiwa fedha zao?.
Tukitoa mahaba na mapenzi na ushabiki wa hizi Timu mbili Simba na yanga ukweli usemwe tu.
Simba na yanga ni kurwa na doto ni Timu zinazo Juana nje ndani.
Akuna kitu amewahi fanya Simba yanga ajafanya. Hakuna njia alyopita Simba yanga ajapita.
Hiki kinachotokea Leo trh 8 hakuna jipya kwa...
Vibaby boy, last born, drama queens, leo vimethibitisha rasmi hawa watoto wanapenda sana kuonewa huruma na kutafuta sababu tu ili mradi watu wawaonee huruma. Unasusia derby ili iweje wewe?
Kwamba wiki nzima hukujiandaa na mechi kisa mazoezi ya siku ya mwisho ndio ususe mechi. Nawaonea huruma...
Unakuta jitu linakaribia kugonga 50 yrs , ila likiwa mbele ya hadhara linasema lina miaka 32yrs au hata miaka 15yrs, hii yote mnafanya ili iweje..??.. Kuna faida gani ukijulikana una umri mdogo ..?
Ebu hacheni huo uhayawani mara moja ,alaah!!.Tafuteni pesa nyie vijeba, sababu hata kama ukisema...
Siku moja asubuhi wakati natoka nyumbani kwenda mihangaikoni nikiwa stendi nikakutana na x- wangu, nilikuwa nina mwaka mzima sijawahi kumuona.
Nikasalimiana nae akaniuliza mbona nimepotea ananipigia sipokei, ni kweli aliwahi kunicheki WhatsApp sikujibu nilifuta kabisa. Nikamwambia mambo mengi...
Marekani inajulikana duniani kote kama taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi na kiteknolojia. Moja ya sababu kuu zinazochangia mafanikio haya ni msingi imara wa Kikristo uliowekwa tangu kuanzishwa kwa taifa hilo. Ukristo umekuwa na nafasi muhimu katika kueneza maadili ya kumcha Mungu, ambayo yamekuwa...
HabarinI ndug zangu
Leo nimekuja na mada inayowahusu watu waliopo kweny ndoa au waliopita kweny ndoa
Katika mahusiano Kuna hatua 5 kutonakana nadharia ya (chall Chapman).
Je? Wew ulio katika stage ipi kati ya hizi
1.romantic stage;hii ni hatua ya kwanza katika mahusiano yanapozaliwa na...
Mwalimu Kisogi wa shule ya Sekondari Mwilibona awapiga wanafunzi wake 2 na kuvimba mikono na damu kumwagika kisa wamechelewa kufika shule.
Wanafunzi wao wamesema walikuwa wanakwenda kusaini ofisini kwake kwa sababu walikuwa wanakosa shule. Kwahiyo walitakiwa kila siku wasaini saa moja na nusu...
Ni mashine ya kukaanga karanga.
Nataka kuinunua hii kwa ajili ya biashara, natamani kujua ulaji wake wa gesi upoje, yaani kwa mfano mtungi mdogo wa kilo tano unaweza kukaanga karanga debe ngapi.
Lakini pia natamani kufahamishwa nisiyo yafahamu kuhusu hii mashine.
Huwa nashangaa mtu anapata wapi ujasiri wa kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna aisee nashangaaga sana watu wa aina hii halafu unakuta ukifa familia yako inaporwa nyumba na ndugu...
..Lissu ameyasema hayo ktk mhadhara alioutoa Makerere University.
..foreign policy ni moja ya eneo ambalo Tundu Lissu anasema Watanzania tunapaswa kujivunia na kumuenzi Mwalimu Nyerere.
KARIAKOO DERBY
Usilolijua ni kwamba, Jumamosi ya wiki hii ni lazima siku yako itakuwa mbaya (itaharibika) kwasababu Jumamosi ya terehe 08/03/2025 team yako pendwa itafungwa.
Ili usiendelee kupata maumivu na kwa vile maisha ni matamu mno nakushauri baada ya Jumamosi; fanya uamuzi wa kuhama Team...
TFF imeipa onyo kali klabu ya Yanga kutokana na kitendo cha viongozi wake akiwemo Rais wake Hersi Said kuingia uwanjani na kupiga zogo na wachezaji wa Singida Black Stars baada ya mechi iliyochezwa hivi karibuni baina ya timu hizo mbili.
Kitendo hicho kilichofanywa na viongozi hao wa Yanga...