hii nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Akili za kuambiwa changanya na zako

    Katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2025, vyama vya siasa 18 vimehusika katika mchakato wa uteuzi wa wagombea wa nafasi ya Rais na Makamu wa Rais. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuwa vyama hivi vimewasilisha majina ya wanachama 36 kugombea nafasi hizo . Vyama vya Siasa...
  2. Hii nchi ya WESTERN SAHARA imeanza lini mbona sijaisoma shuleni

    Wakuu hii nchi mbona nimeanza kuiskia hivi karibuni na Katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama shule ya msingi nilisoma.
  3. Hii nchi tulipofikia:Mahakama ya wilaya watumishi wote wamekwenda ngorongoro kutembea mahakama imefungwa

    Sijui tunakwenda wapi hipo siku utasikia Hospitali imefungwa watumishi wote mpaka muhudumu wa mwochari naye kaenda beach. Kama mahakama zishafikia huku tumekwisha. Kuna mkoa wa X sitaki kutaja unapopatikana madini ya dhahabu ukisifika wilaya yake. Kwa hiyo wenye kesi au tunataka kesi tusubiri...
  4. Watanzania wanyonge wanajuta kuzaliwa hii nchi

    Tanzania, kanchi kazuri kenyewe ila sasahivi kuna kikundi cha watu wameanza kukaharibu. Hii nchi ina amani sana kwa maana ya kwamba hakuna vita, na ni nchi kubwa nzuri, ina miji mizuri, vijiji vizuri, watu wake ni wazuri pia. Ni nchi ya neema ambayo hata masikini hakosi chakula. Lakini miaka ya...
  5. Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

    Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ? Sasahivi kila...
  6. Hii nchi Idadi kubwa ya watu Wana IQ ndogo mno japo watu hawapendi kusikia hili

    Tusiongee mengi sana lakini picha inajeleza.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…