hiari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tozo ya uzalendo inatakiwa isizidi gharama za muamala, iwe 'fixed', iwe na muda maalum na iwe hiari

    Haya ni maoni yangu juu ya hii tozo ya uzalendo (Ingawaje hili jina limekaa fyongo sana, kwa nini unitoze kwa sababu mimi ni mzalendo?): Serikali hasa wizara husika inapaswa kuweka benchmark/fixed rate ambayo kila mzalendo atakatwa kiwango sawa bila kujali kiwango cha muamala anaofanya...
  2. JamiiForums Tanzania Chanjo ni hiari lakini ina umuhimu

    Tokea nimezaliwa na sio Mimi tu, watanzania wengi kama sio wote tumekua tunapata chanjo kutoka Kwa wahisani (mabeberu)..kila chanjo lazima iwe na side effects Kwa baadhi ya watu lakini sio wote. hanjo hizi zina umuhimu mkubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku!!..tuache propoganda mbaya za...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Rais alisema chanjo ni hiari. Mawaziri Mollel na Dorothy, wanasema 70% wasiotaka kuchanjwa ni wajinga

    Video imebeba ujumbe wote. Hapa chini akimjibu Spika na barua yake ya wito kumtaka atokee mbele ya kamati ya maadili, kinga na haki ya Bunge la JMT... Amesema, atakwenda Dodoma kesho J'3 tarehe 23/8/2021 kama barua inavyosema. Aidha kasema haogopi chochote, hayumbi ktk misimamo yake bila...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Chanjo ni hiari, wasiochanja wasibaguliwe

    Juhudi za ulimwengu kuudhibiti ugonjwa wa Covid-19 zimeendelea kuenea ulimwenguni kote baada ya mataifa kuanza kutoa chanjo zitakazowaweka wananchi wake salama dhidi ya maambukizi ya virusi wanaosababisha ugonjwa huo. Tanzania ni miongoni kwa mataifa ambayo tayari yamepokea chanjo kupitia...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

    Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni Kwa kauli moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu, mtu akitaka na...
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Chanjo ya Covid lazima kwa watumishi wa Umma

    Kuwa na dhamana ya maisha ya watu ni pamoja na kuwajibika zaidi hata dhidi ya ujinga wao. Babu wa Loliondo angekuwa hai Kenya lakini si Tanzania. Heko rais Kenyatta kwa maana heri lawama kuliko fedheha. Kenya kwa mtumishi wa umma, chanjo ni lazima. Pole pole tutafika tu. Kwanza Janssen...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Asia Halamga: Chanjo ya UVIKO-19 ni hiari, Serikali haiwezi kuumiza wananchi wake

    Leo Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mhe. Asia Halamga akiwa Mgeni Rasmi amefanya Uzinduzi wa Vijana Jogging Club Mkoa wa Kilimanjaro ambao una Kauli Mbiu "Amani Yetu, Maisha Yetu, Chukua Tahadhari Dhidi ya UVIKO-19" Akizungumza na Vijana mbalimbali waliojitokeza kwa wingi kushiriki uzinduzi huo...
  8. JamiiForums Tanzania Hiari yenye hamasa

    Hiari yenye hamasa, ni nini maana yake? Ni kutenda badala ya kusema, si kusema nitafanya ila ni kutenda na kuwa mfano. Ni kuamua kuwa mfano chanya kwa familia yako, rafiki zako, watu wanaokuzunguka, unaowajua na usiowajua. Ni kuamua kuibadilisha dunia kuwa bora kuliko ulivyoikuta. Ni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona iwe lazima kwa baadhi ya makundi yanayotoa huduma za kijamii

    Chanjo ya Korona inaweza kuwa hiari, lakini usiseme hutaki chanjo halafu uendelee kuwa konda wa basi au nesi hospitali, tafuta kazi nyingine. Katika hali ya haki za binadamu, kila mtu ana uhuru wa kufanya analotaka ili mradi asivunje sheria au kuingilia au kuathiri haki za watu wengine katika...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

    Kamati ya Corona imeishauri Serikali ya Tanzania; 1) Itangaze uwepo wa Corona 2) Iruhusu matumizi huru ya Chanjo sahihi za Corona 3) Ikubali maadhimio ya Kikanda na Kimataifa 4) Ipanue maktaba za kupima 5) Itoe takwimu sahihi za Corona 6) Tiba asili zitathiminiwe Kisayansi Rais Samia Suluhu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…