Eng. Hersi Said ndani ya Afrika Kusini: Je, ni kuhusu usajili wa Lazarous Kambole?

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Mambo vipi wanajangani?

Leo asubuhi nilikuwa pande za Kariba Lodge hapa mkabara na barabara ya Devland road, kusini kabisa ma jiji la Johannesburg.

Nikashangaa sana kumuona mtu mzima Eng. Hersi Said ndani ya Chevrolet Nyeusi akielekea kwenye ofisi za Kaizer Chief. Je? inawezekana baada ya kumchinja mzungu kule Zaire kaamua kukwea pipa ku-negotiate dili la Lazarous Kambole, forward ambaye amekuwa akikosa nafasi ya mara kwa mara kwenye first 11 ya Kaizer Chiefs.

Tetesi za chini ya kapeti ambazo nimepasiwa kutoka chanzo fulani kutoka pale Ofisi za Jangwani ni kwamba Mabingwa wa Kihistoria a LigiKuu Tanzania Bara wameandaa offer ya Millioni 350 kuvunja mkataba wake ambao unaelekea mwishoni mnamo Disemba 2021.

lazarous-kambole.jpg

Kama ili dili likifanikiwa basi nitamvifa cheo kipya huyu bwana Eng. Hersi Said cha "Master Negotiator". Na nitafunga safari kufika Airport ya Dar es Salaam pale kumbeba kwenye machela ya heshima.

Ikumbukwe kuwa mwaka 2019 Simba SC ilimuhitaji Lazarous Kambole kwa bahati mbaya dau la milioni 121 lilikataliwa na Kaizer Chief.
 
Kila dili la yanga simba anahusishwa kulikoni?
Kunako elekea kila atakae sajiliwa yanga basi simba alishindwa kwanza tuendelee kusikia na kusoma tetesi
 
Hivi hawa wachezaji wanaosajiliwa bongo makocha na benchi zima la ufundi waga wanahusishwa kweli

Ndio mzee baba!

Ukiona mtu kama Hersi ameanza kazi mapema ujue ripoti imekwisha mfikia mezani kutoka kwa kocha.
 
Mambo vipi wanajangani?

Leo asubuhi nilikuwa pande za Kariba Lodge hapa mkabara na barabara ya Devland road, kusini kabisa ma jiji la Johannesburg.

Nikashangaa sana kumuona mtu mzima Eng. Hersi Said ndani ya Chevrolet Nyeusi akielekea kwenye ofisi za Kaizer Chief. Je? inawezekana baada ya kumchinja mzungu kule Zaire kaamua kukwea pipa ku-negotiate dili la Lazarous Kambole, forward ambaye amekuwa akikosa nafasi ya mara kwa mara kwenye first 11 ya Kaizer Chiefs.

Tetesi za chini ya kapeti ambazo nimepasiwa kutoka chanzo fulani kutoka pale Ofisi za Jangwani ni kwamba Mabingwa wa Kihistoria a LigiKuu Tanzania Bara wameandaa offer ya Millioni 350 kuvunja mkataba wake ambao unaelekea mwishoni mnamo Disemba 2021.

Kama ili dili likifanikiwa basi nitamvifa cheo kipya huyu bwana Eng. Hersi Said cha "Master Negotiator". Na nitafunga safari kufika Airport ya Dar es Salaam pale kumbeba kwenye machela ya heshima.

Ikumbukwe kuwa mwaka 2019 Simba SC ilimuhitaji Lazarous Kambole kwa bahati mbaya dau la milioni 121 lilikataliwa na Kaizer Chief.
Kwahiyo bakuli litatembezws tena kutafuta milioni 350?
 
Back
Top Bottom