Hereni ni pambo linalotumiwa na wanawake tangu enzi na enzi za mababu zetu lakini kwa sasa hii imekuwa tufauti sana kwani hata wanaume siku hizi wanavaa.
Je, ni sahihi kwa mwanaume kuvaa hereni kwa sehemu yoyote kwa namna yoyote ile na kwa kisingizio chochote kile?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.