Hivi karibuni, tumeshuhudia video mitandaoni kutoka kwa kina Photogenic Mtoto na kikosi chake. Wametupitisha kwenye madaraja ya kifahari ya meli mpya ya MV Mwanza "Hapa Kazi Tu", kuanzia VIP hadi daraja la kawaida.
Kusema kweli, meli ni nzuri sana! Ina mvuto wa aina yake, na kwa mbali unaweza...