haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukiyaelewa maandiko haya vyema, hutaishi tena kwa mateso na unyonge

    Prof. Suleiman Daudi alikuwa genius sana. Aliweza kugundua vitu vya deep sana. Ukigundua alichokuwa anamaanisha Professor Solomon hapa utapunguza 50% -75% ya changamoto zako.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Haya matamasha ya kikabila ni janga la Taifa: sasa hivi Wanyakyusa wako ITV

    Hivi vinavyoitwa matamasha ya kikabila yanayojitokeza kwa kasi siku hizi havina afya ktk kujenga umoja wa kitaifa. Kuna ajenda gani imejificha humu? Walianza wasukuma, halafu wanaigana utafikiri sifa kumbe ni janga. Karne hii watu mnatukuza ukabila? Mnaunda vikundi vinavyohamasisha ubaguzi...
  3. JamiiForums Tanzania Haya wale Wazee wa Link hebu nipeni Link ya Kuangalia Mtanange wa Leo kwani Mtaalam wangu wa Zanzibar kaniambia nifurahi kuanzia sasa

    Kama unaijua Link yoyote ile ambayo itaonyesha huu Mtanange niwekee hapa kwani tayari Kazi imeshakwisha Zenji.
  4. JamiiForums Tanzania Tunaomba serikali ipige marufuku matamasha ya kidini

    Nimeona moja ya sababu ya kumwondoa Kiboko ya Wachawi ni wizi utapeli kumwona 500000 Nimeona pia mtudaiidie kuna dini zingine wanaanzisha matamasha tena kila mkoaaa na ule wenye hela nzuri wanaongeza viingilio Hapo hapo ukute wameshapokea mahela ya t-shirt soksi na majeans yao Haya matamasha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wasiokuwa waislam? Haya hamutaki kuyapata?

    Mithali 19:20 (Biblia ya King James) MAISHA BAADA YA KUFA Katika Uislamu, maisha baada ya kifo yanaelezwa kwa maelezo mawili makuu: Pepo (Jannat) na Moto (Jahannam). Hali ya maisha ya mtu baada ya kifo inategemea matendo yake, imani yake, na tabia yake. Pepo (Jannat) Picha ya Pepo: Hali ya...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hayana gharama lakini haya yanatugharimu sana kama taifa la vipofu

    Kuna baadhi ya mambo ya kiutendaji tu hayana gharama kabisa lakini yamegeuzwa kama utamaduni na sheria! Nitatoa mifano michache inayotugharimu na inaonekana ni sawa tu. Mfano 1.! Kuna umhimu gani kesi za ardhi kuendeshwa zaidi ya miezi 6? Yaani kielelezo cha mgogoro ambacho ni kipande cha...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Kila anayefanikiwa lazima aitwe Mwizi, atoa Kafara, Free mason, Tapeli

    Mi mtu Mzima Kidogo ambaye nimeishi miongo kadhaa na kushuhudia uongozi wa awamu zote na nimekaa vijijini na mijini Kwanini Kila mtaa au kijiji au mji mtu akionekana kupata maendeleo watu ukimbilia 1. Mwizi 2. Katoa Kafara 3. Free mason 4. Tapeli Kwanini uwa wengi hawasujudu nguvu za kazi...
  8. JamiiForums Tanzania Jiepushe na haya mambo kwa gharama yoyote hakuna faida utapata.

    Simba na yanga Ccm na chadema . Mke wa MTU na mme wa MTU . Kupiga mtungo na kupiga mende Hayo mambo yameaua focus za watu hapa Tanzania.✊🏿
  9. JamiiForums Tanzania TLS ya Mwabukusi: Anza na Haya: Majaji Wanaoharibu Kesi na Ucheleweshaji wa Kusikiliza

    1.0 Kuanzia Mahakama za chini hadi Mahakama Kuu suala la Hakimu au Jaji kuharibu kesi kwa manufaa yake ni la kawaida tu. HAWAJALI. Wanajificha kwenye mstari wa mwisho wa hukumu zao unaosema "mlalamikaji/ mlalamikiwa ana haki ya kukata rufaa kwenye Mahakama ya juu" Mfumo wa kutengeneza rufaa...
  10. JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo ya uhakika katika niliyojifunza katika ulimwengu wa roho

    KARMA - kuhusu karma hiii inafanya kazi kwa 100% jinsi unavyowaombea WATU mema hayo mema na wewe lazima uyapate Unaposaidia watu in positive way lazima na wewe uneemeke ikiwa sio wewe watoto wako. Kusaidia ni njia namba moja inayoleta MAFANIKIO kuna watu huwa hawaishiwi wala familia zao...
  11. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makonda? Kwanini Serikali mnaruhusu hali hii?

    Kwanza natanguliza samahani. Nimeona clip nyingi YouTube zikizungumza habari ambazo hazina Arya juu ya Arya ya makonda Inasemekana kwa week mobile RC makonda hajaonekana hadharani. Kama kuna mtu ana uhakika na habari hizi au anajua huyu kipenzi cha wa Tanzania alipo atujuze
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji aliyoyaweka Rais Samia kuna haja kweli ya kuajiriwa?

    Nashangaa vijana wengi bado wanatembeza bahasha mtaani kitafuta ajira ambazo ki ukweli ni utumwa. Kwa nini msifikirie kutumia hii golden chance ya uwepo wa mama madarakani kujitafutia vya kwenu. Mama ameweka mazingira mazuri kiasi ambacho biashara zimeshamili kila kona. Hata muuza karanga tu...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Makosa haya kujitokeza katika Michezo ya Olympics

    Julai 26, 2024: Bendera ya Olimpiki ilipandishwa ikiwa imegeuzwa, huku baadhi ya vituo vya televisheni vikionyesha bendera hiyo kwa mbali. Julai 27, 2024: Wanariadha wa Korea Kusini walitambulishwa kama raia wa Korea Kaskazini, na kupelea waandaaji kuomba radhi kwa lugha ya Kikorea kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Haya mabadiliko yangu ni noma

    Nilianza kama memory card isiyokuwa na chochote, empty nikiwa mtu na safi sijajitia unajisi na chochote.. ilikuwa hivi.. Naenda kiumri ~ Age 8 - Nilipendwa na mdada tulikua tunasoma nae mimi mtoto wa mwalimu na yeye alikuwa mtoto wa mwalimu, saa 4 tunaenda ofisini kunywa chai 👩‍❤️‍👨 sikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wakili Msomi Mwabukusi anza na shambulio la Lissu na kupotea kwa Ben Saanane

    Ndugu Rais wa TLS sisi watanzania wapenda haki tunaomba uanze na haya: 1. Shambulio la Tundu Lissu 2. Kupotea kwa Ben Rabiu Saa nanena Azory Gwanda. Ishinikizeni serikali juu ya masaibu yaliyowakuta hawa watu wakumbushe serikali ina jukumu la kulinda raia wake na si vinginevyo. Haya mambo...
  16. JamiiForums Tanzania Tafadhali mlio nje ya Tanzania mtatumia Mbinu gani kuangalia katika Simu haya Matukio ya tarehe 3, 4 na lile Kubwa la 'Kufa Jitu' la tarehe 8?

    Ni matukio ambayo GENTAMYCINE sitaki kabisa kuyakosa hasa hasa lile la tarehe 8 August, 2024 litakalokufa Jitu huko.
  17. JamiiForums Tanzania Haya chukueni hii mbichi kabisa na ya uhakika kwanini ghafla Dogo karudishwa japo Rais alikubali aache ili Rafiki yake arejee Kitini

    Baada tu ya Dogo kubwaga Manyanga ghafla Simu Nne Kubwa zilipigwa Kwake moja kutoka kwa mwana Bagamoyo kwa niaba ya Baba, ya Singida, ya Dodoma na ya Zanzibar kwa mwenye Timu yake katika Karatasi na Kumhoji kulikoni ndipo Dogo nae akafunguka mazito yafuatayo...... 1. Boss Mkuu hamtaki kwakuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Dada zangu ni vizuri kama mkiyafahamu haya

    Mwili wako sio Maonesho, kila mwanaume auone. Mwili wako sio Mdoli kila mwanaume Auchezee. Mwili wako sio dampo, upokee kila uchafu wa mwanaume. Mwili wako sio Mali ya umma kila mwanaume akutumie. Mwili wako sio kiburudisho, kila mwanaume Ajiridhishe. Mwili wako sio pazia la Sebuleni, kila...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa maelezo haya RPC angeachia ngazi kulinda heshima yake

  20. JamiiForums Tanzania Yanga yavunja rasmi utamaduni wake wa jezi

    Hawa Gen-Z ndiyo wanachukulia poa ila utamaduni wa Yanga miaka yote ilikuwa ni marufuku kushobokea rangi nyeupe au nyekundu. Hawa jamaa ilikuwa manjano na wao na wao na manjano. Kama ni mfuatiliaji mzuri utaona miaka ya hivi karibuni walianza taratibu kutoka huko. Wakaanza kuonyesha waziwazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…