Askofu Shoo ameyasema kauli hiyo leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi uliofanyika kwenye Ukumbi wa Centre Hou, ukihusisha Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 nchini.
Kwa TZ, JPM was a prophet of our time , ni kama maji hata ukiyakataa utayanjwa.
Kwa uharamia uliotokea 29 baada ya mwendawazimu kupewa rungu, we learned kuwa JPM was a prophet of our time. Alikuwa mtume na alimaanisha mengi kwa watanzania.
Haya majambazi ya sasa yaliyoingiza ngono ...
Nimekutana na matokeo haya ya mikoa, ya kwanza ni kwa ufaulu wa division 1 hadi 3, ya pili ni division 1 hadi 4, Matokeo nayoamini yanaonyesha ufaulu wa uhakika ni division 1 hadi 3.
1. Division 1 hadi 3
Top 3 zote zinaenda mikoa ya kaskazini na wala hakuna kelele.
2. Division 1 hadi 4...
Moja kwa moja.
Wavuta bange wengi wanadai mtu ukivuta bange unawaza vitu mbali akili inakuwa kubwa hata uwezo wako wa kufikiri na kupanga mipango chanya unaongezeka.
Na wengine wanadai hata kwenye madoma darasani bangi inasaidia na wavuta bange wengi wanajiona wao maIntelligent kama Isac...
Kuna dada mmoja ni bingwa wa kupandisha wale wanaodai walisilimishwa huku imani yangu naita mapepo maana sijui elimu yake.
Sehemu yenye misiba,masoko yenye watu wengi hataki kwenda anasema yana mfanya kupandisha.
Na sehemu ambayo anaogopa sana kariakoo
Mbowe na Kikwete ni Elvis Presley wa Tanzania. Hawapendi kuondoka kwenye stage. Huyu mwanamuziki alijulikana kwa kungangania kubaki kwenye stage kwa kupenda kushangiliwa. Msinshangae Mbowe na Kikwete nao hawawezi kukubali muda wao umepita
Waraibu wengi hawapendi kumuona mraibu mwenzao anafanya jitihada za kujitoa katika matumizi ya vilevi kama kuvuta bangi, madawa ya kulevya na kutumia pombe.
Ikitokea unafanya jitihada kama kupunguza kuhudhuria maskani au vilabuni au baa wanakuona snitch, kama ulikuwa mlevi ukaanza kunywa juisi...
Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka.
Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni...
hakika
hawapendi
hii
kaka
kauli
kiumbe
kumsaliti
mchezaji
mke
mume
mume wake
mwanamke
sababu
sababu za
sana
soma
tofauti
wa zamani
waaminifu
wake
wanaume
wanawake
wapole
zamani
MAMBO SABA MUHIMU AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI KUYAONA.
1. 💘❤️MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA
Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima💘💞.
2. 💘💞MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA
Ukimuuliza swali halafu yeye anakua kimya au...
NDIYO:
Sio uongo wanawake wengi hawapendi waliowaoa Bali wanafurahia tu kitendo Cha kuolewa na kugawana Mali.
Kwa mwendo huu matatizo hayawezi kuisha.
Angalia tu mwenyewe we angalia tu:
✓ Pep Guradiola alimpoteza mke wake kwa sababu alilalamika kuwa alitumia muda mwingi na soka, soka lile lile...
Utaskia hua inaniwasha, mara ooh huwa inanisababishia fangas, ooh nina aleji na harufu yake ntapata mafua sasahivi n.k,
nini kifanyike ili jamiii hii ya wanawake na wanaume pia wapende kutumia kondomu wakati wa kufanya mapenzi?
huenda leo hii asubuh, kuna mtu kaamka na maambukizi ya vvu...
Ukweli Mchungu Ambao Wanaume Wengi Hawapendi Kusikia
Kisaikolojia, mwanaume anapoteza mvuto anapokuwa:
🌀 Hana malengo: Mwanaume asiye na ndoto au juhudi huashiria kutoendelea maishani.
🌀 Ana utegemezi kupita kiasi: Kutafuta uthibitisho au kuhitaji umakini kila mara huua heshima.
🌀 Hana...
Wanawake hupenda wanaume machachari ambao hawajatulia hata kidogo. Sie walokole tutaishia kupendwa na mama zetu tu. Nilibakisha kamoja, nako kameyeyuka yeyu kisa tulikuwa tukiongozana kuelekea somewhere, kwa bahati mbaya akakatiza mwanamke mmoja hivi ameushona mtrako wa kwenda, mlainiiii, halafu...
Kwanini wanawake hasa walio kwenye mahusiano hawapendi kuambiwa ukweli?
Ni rahisi sana mwanamke kukuamini pindi unapomdanganya kuliko kumuambia ukweli.
Mwanamke anaweza kukuvulia nguo kirahisi ukiingia na gia ya kutaka kumuoa, ukimdanganya kumuoa analoa chapachapa mana wanawake wengi au...
Nadhani wote mmesikia kilichomtokea Zuchu huko Mbeya, Sio kosa lake, Hakujua kwamba yupo eneo tofauti kabisa, Alikuwa akipigia sana debe viongozi bila kujua kufanya hivyo ni kuamsha hisia kali wasizozipenda wanambeya wasiopenda mambo ya kutukuza sana viongozi (Uchawa)
Na kama unaingiza mambo ya...
Msiamini saaaana mipango yenu bila kuchukua tahadhari, hawa wenzetu sio watu kabisa, hawapendi mafanikio yetu, wanataka mwaka huu washiriki kivyao ndio maana wameuacha uwanja, hawakuacha hv hv kwa namna navyowajua, unaweza kuta waganga wao wako kwa waarabu wanafukiza.
Mkifanya Mąkosa ya kuamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.