Wabara ni watu wenye urafiki, usio kujali dini ya mtu. .
Bara ni kawaida sana wacha mungu wa dini tofauti kuwa mabesty.
Bara muislamu hana shida akimpigia simu rafiki yake katikati ya week tukutane, na kujibiwa leo naenda kusoma biblia; tukutane usiku au kesho.
Bara mkristo anajua rafiki yake...